tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Nyusi wa Msumbiji atoroka kwa helcopter kukimbia maandamano ya wizi wa kura

    habari hizi ni za kweli? Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua Sasa hivi Wanachinjana Huko' Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗠𝗔𝗣 𝗜𝗠𝗘𝗨𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗧𝗨

    𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗠𝗔𝗣 𝗜𝗠𝗘𝗨𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗧𝗨 Watu watatu wamepoteza maisha baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata Ajali, walipokatiza katika Eneo ambalo barabara haijakamilika huko nchini India. Google maps imewadanganya watu watatu na kupelekea kufa baada ya gari walilokuwa wamepanda kupotea njia na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa Muhimu kwa baadhi ya wateja kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani

    UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI NA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA MSONGO WA KILOVOTI 132 KINYEREZI-GONGOLAMBOTO Ijumaa 15 Novemba, 2024. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuhusu maboresho ya miundombinu yanayoendelea...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tetesi huanza na minong'ono

    Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news. Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia. Dunia haina siri tena! Unafanya jambo gizani. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa...
  5. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea. Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
  6. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania TFF na Takukuru ongezeni umakini mechi ya leo kuna tetesi waamuzi wamelipiwa kila kitu!

    TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote, Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
  7. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanakiri udhaifu wao kwa vitendo; Mbowe yuko busy anawajazia fomu wagombea wa CHADEMA uchaguzi wa serikali za mitaa

    mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo FRV. Gaspar E. Temba...
  8. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

    Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel. IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo...
  9. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti. Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe...
  10. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Tetesi "Taarifa Zinazopotosha Kuhusu Ununuzi wa Magari ya CCM"

    Katika siku za hivi karibuni, kumezuka taarifa za kupotosha kuhusu ununuzi wa magari na Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikidai kuwa CCM imenunua magari kwa bei ya juu sana. Taarifa hizo zimeambatanishwa na picha ambazo zimebadilishwa na kuwekewa maandishi ya uongo kwa lengo la kuichafua CCM. Picha...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Paul Kagame kufunguliwa mashitaka The Hague kwa uhalifu nchini Congo DRC

    Habari za siri zimeanza kuvuja kuwa Kagame kageukwa na wazungu. Leo mwendesha mashitaka wa mahakama ya ICC ameanza uchunguzi wa uhalifu wa kivita mashariki mwa Congo. Inadaiwa mlengwa sio mwingine bali ni Rais wa Rwanda Paul Kagame. Tusubiri tuone kama watafanikiwa kumnasa Chuma cha Pua.
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

    Wanaukumbi. ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo. Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV. Mvutano unaongezeka huku...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TETESI JOHN MNYIKA ATAPEWA KESI YA MAUJI NA UTEKAJI

    Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake. YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chama kumpelekwa kwa mkopo klabu ya Fc lupopo

    Hii ni kutokana na kutoelewana na Meneja wa Chama Mkataba unamtaka aanze kila mechi kama atakuwa fit .
  15. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Elie Mpanzu kutua Yanga kabla ya Weekend hii

    Kuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium. Boss huyo ambaye ni askari jeshi amesema kuwa mchezaji huyo yuko tayari kuja Yanga endapo atapata nafasi na...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa tetesi au mwanzo wa breaking news?

    Mfuatano wa matukio kama tarakimu mnyumbuliko Nambari 1 Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya kisha wahandisi wanamfyatua mafoto akiwa na wapendwa.. Wahandisi kupitia nukuu ya wapendwa wanasema mwana jangwa kaleta bure kabisa neema ya chemchem na vijito.. Huu ni upendo mkubwa kabisa na...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi: Binti aliyefanyiwa ukatili yupo salama salimini, puuzieni wanaosema amekufa

    Kupitia ukurasa wao wa X, Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kuhusu binti aliyefanyiwa ukatili Yombo kuwa amekufa, na kusema taarifa hiyo ni uzushi usiokuwa na utu na ubinadamu ndani yake, na kwamba binti huyo yupo salama salimini. Pia soma: Watuhumiwa wa...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

    Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese. Liwe tu...
  19. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

    Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
  20. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

    Friends and Our Enemies... Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani. Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka...
Back
Top Bottom