tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Wale tuliokula mishikaki ya paka enzi za kituo cha Ubungo na Mwenge tujuane, nini kifanyike tusile tena?

    Hii habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somo zuri sana, kizuri gharama. Zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho. Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia, adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora...
  2. Vingunguti: Watu wawili wauawa kwa kupigwa na risasi

    Watu wawili Wakazi wa mtaa wa Majengo, kata ya Vingunguti, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam wamefariki baada ya kupigwa risasi jioni ya Jumatano, Desemba 27.2023. Akizungumza na Jambo TV leo, Ijumaa Desemba 29.2023 Kaka wa mmoja wa marehemu hao aliyejitambulisha kwa jina la Omari Shomari ambaye...
  3. DINI zimetugawa sana; Ikitokea Africa tukatawaliwa tena, basi tutasema ni mpango wa MUNGU

    Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu. Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU Unateseka...
  4. 2023 /2024 Arsenal hatoambulia kikombe chochote tena , Mashabiki wake jiandaeni kisaikolojia

    Hii ndio taarifa ya upendo ya leo ambayo tumeona ni vema tusiwafiche washabiki wake ili visukari visije kuwapanda hapo baadaye . Arsenal 0-2 Westharm
  5. Chanjo ya COVID-19 mbona sisikii kampeni tena?

    Lile dili la kuchanja watu nchi nzima limeishia wapi? Maafisa, wameshakula pesa zao na kununua Apartments Dubai, wamesizi wanasikilizia mchongo mwingine? Aisee mjini mipango!
  6. Ukiona kuna Nafasi ya Uteuzi iko wazi na anafutwa Mtu halafu kisha akajadiliwa mno JamiiForums jua kwa 100% hapati tena

    Kabla ya Kukurupuka kuja Kubishana nami juu ya hiki nilichokisema tuliza Kwanza Akili yako, fanya Utafiti wako hapa JamiiForums na nina uhakika mwishoni utakubaliana nami 100% Na mara nyingi hii huwa ni Strategy ya System na Wasaga Kunguni ( Watu wasiopenda na kukupenda ) katika kutaka kujua ya...
  7. Wayemeni wamekinukisha tena Red Sea, wameishambulia manowari ya kivita ya USA

    Wayemeni kiboko, hawangoji, wakiamuwa wanafanya tu. Wameishambulia manowari ya kivita ya USA kwa missiles za za Dollar 2,000 nne, ote zimepigwa na missiles za Kamarekani zinazosikiwa kuwa zinagharibu zaidi ya Dollar million moja mpaka million 10 kila moja kwa uchache. Fikiri hasara za...
  8. M

    Yanga bingwa tena msimu huu wa 2023/2024 , wanasimba tujiandae kisaikolojia

    Nikiwa kama shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba sc ,nathubutu kusema kwa kinywa kipana kuwa Yanga atatwaa tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024. Naitazama Yanga kwa jicho la kimpira naona kabisa kuwa wameizidi simba kwa vitu vingi sana. Wachezaji wa Yanga wana ari na shauku ya...
  9. Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

    Majuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea? Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta. Mwingine akaniambia kama nawataka wamakonde haina haja ya kwenda Newala bora niende Masasi kwa sababu Masasi...
  10. M

    Hamas yasema haitawaachilia tena mateka hadi Israel ikomeshe vita

    Hamas inasema kuwa makundi ya Wapalestina yamepinga matarajio ya kuachiliwa zaidi kwa mateka hadi Israel ikubali kumaliza vita Gaza. Katika taarifa ya Kiarabu iliyosambazwa kwenye Telegram, Hamas ilisema: "Kuna uamuzi wa kitaifa wa Palestina kwamba kusiwe na mazungumzo kuhusu wafungwa au...
  11. Ex kaachwa Tena, wahuni tuna-pop Champagne 🥂

    Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾
  12. A

    Dr Mathayo David Mathayo "Mwananwa Kaya" mitano tena!

    Msomi (PhD) na Kiongozi mashuhuri dunian na Mbunge wa Same (M) karibu tena jimboni uhudumie wananchi kipindi cha 2025-2030. NB: safari hii TOA misaada ya pikipiki 3000 (Kwa mchanganuo ufuatao 1500 ukanda wa miliman, 1500 tambarare) kwa vijana badala ya ambulance. Hap bodaboda ndio uzunguke nao...
  13. Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

    Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi. Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote. Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho. Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli Waefeso...
  14. HIVI INACHUKUA MDA GANI MPAKA UTAKE TENA

    Guys, ukiwa na girfriend wako uka do nae inatakuwa u do nae tena baada ya mda gani, maana huyu wangu namuomba kwa wiki mara 4 anasema nampleka sana na hata sijamuoa, nikioa si ndio atakuwa hafanyi kazi zingine ni kunipa tu. Ndio nawaza mda gan upite ili mtu asione uko na ugwadu sana
  15. Mnamjua kakakuona wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda?

    1. Huyu bwana nyakati za vipindi vya kawaida kumuona shuleni ni nadra sana kwa mwezi anaweza kuhudhuria vipindi siyo zaidi ya mara 4. 2. Majukumu mengi ya kituoni mfano kusimamia mitihani ya ndani huwa hayafayi kabisa na tangu aajiriwe kajaribu mwaka Jana tu mwishoni baada ya taarifa zake...
  16. Tafadhali kama Serikali imeshindwa Kuwadhibiti Wanawake wanaokata Mauno Madirishani katika DalaDala niruhusiwe Kuwadhibiti na hawatorudia tena

    Nina Dawa yao moja Mujarab kabisa ya kuwapa ambayo nina uhakika wa 100% kuwa si tu itawatia Adabu lakini hawatorudia tena na Watahimizama Dar es Salaam nzima Kuacha ili wasije kukutana na Mimi GENTAMYCINE ambayo nina PhD ya Kuadhibu na kutoa Adhabu tukuka na takatifu hasa kwa Wapuuzi, Washamba...
  17. Ukikosa Goma la bure Kesho ( Leo ) Mkeshani kwa Mtume wao 'Cow Way' Tanganyika Packers basi una Nuksi ya Milele

    Ili ung'oe Goma la bure hakikisha unaandaa Tshs 1,000/ ya Ugali Dagaa na Tembele au 1,500/ ya Ubwabwa Maharage. Na baada ya Kung'oa hayo Magoma ambayo GENTAMYCINE kwa Uzoefu wangu tukuka huwa yana Gono na Kaswende huku Ugonjwa Sugu wa 1981 ukiwa Umeshawakomaa wahi upesi Duka lolote la Dawa na...
  18. A

    Profesa Mkumbo mitano tena

    Ubungo tunahitaji mtu Msomi kama wewe Professor. Dira ya Taifa Lazima uizindue ukiwa Waziri Mkuu 2030, Kassim Makam. Inshallah
  19. Corona imerudi tena, chukua tahadhari l

    Dudu limerudi tena, mwendo ni uleyle maombi jumlisha tiba mbadala na mazoezi. Ni Mungu peke yake atakayetuvusha
  20. J

    Biden: Ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi itakapohakikisha Hamas imefutika na wamebaki raia Wema wa Palestine!

    Rais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika Source BBC news
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…