FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Wayemeni kiboko, hawangoji, wakiamuwa wanafanya tu.
Wameishambulia manowari ya kivita ya USA kwa missiles za za Dollar 2,000 nne, ote zimepigwa na missiles za Kamarekani zinazosikiwa kuwa zinagharibu zaidi ya Dollar million moja mpaka million 10 kila moja kwa uchache.
Fikiri hasara za kumlinda Myahudi, watakuwa na missile ngapi kwenye meli zao za kivita kuzuwia mashambuli ya drones za dollar 2,000 kila kukicha?
Hapa USA ama waikimbie Red Sea ama wawachwe uchi na visilaha vya kutengezea uwani.
USA bado wanatumia manowai za kivita ambazo zilikuwa tishio miaka ya 40 na 50 huko, sasa hivi watu wanazihambulia na drones tu. Meli moja ya kivita inabeba missiles 90 za kushambilia labda na 90 za kujihami pamoja na meli za supplies.
Hapo ndiyo maana Mmarekani alikuwa anatafuta vibaraka wake wasaidiane, wamejuwa kuwa wapo "vulnerable."
Myemeni karudia tena kuwa sasa licha ya meli zinazokwnda Israel tu, meli yoyote ya kivita inayokaribia maji yake nayo ni target yao.
Chanzo:
View: https://youtu.be/N9tozCflir8?si=BphkQb8cJ9tGTutS