HIVI INACHUKUA MDA GANI MPAKA UTAKE TENA

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
622
1,643
Guys, ukiwa na girfriend wako uka do nae inatakuwa u do nae tena baada ya mda gani, maana huyu wangu namuomba kwa wiki mara 4 anasema nampleka sana na hata sijamuoa, nikioa si ndio atakuwa hafanyi kazi zingine ni kunipa tu. Ndio nawaza mda gan upite ili mtu asione uko na ugwadu sana
 
Kwa Girlfriend, mara 4 kwa wiki is too much, utamchoka mapema sana. Huyo ni mjanja amestuka ameona ukimuoa utakuwa umemchoka, utakuwa unapiga kwa mwezi mara moja. 🤣
 
Guys, ukiwa na girfriend wako uka do nae inatakuwa u do nae tena baada ya mda gani, maana huyu wangu namuomba kwa wiki mara 4 anasema nampleka sana na hata sijamuoa, nikioa si ndio atakuwa hafanyi kazi zingine ni kunipa tu. Ndio nawaza mda gan upite ili mtu asione uko na ugwadu sana
Sasa kijana ,kupeana hiyo kitu ni formula lazima twende sawa hadi uulize?

Nyie tandikaneni vile mnaona sawa na wala msifuate maneno/namna wengine wanalimana.
 
Guys, ukiwa na girfriend wako uka do nae inatakuwa u do nae tena baada ya mda gani, maana huyu wangu namuomba kwa wiki mara 4 anasema nampleka sana na hata sijamuoa, nikioa si ndio atakuwa hafanyi kazi zingine ni kunipa tu. Ndio nawaza mda gan upite ili mtu asione uko na ugwadu sana
Mhh...
Unamlisha vzr...?,
Km unamlisha mabaki lazima uwekewe kiwango..., unamiandaa ki phychologia kabla.. au unarukia km unapanda guta...
Kk hivi vitu havina formula... inategemea ntu na ntu... kuna watu hyo nne ni ndan ya siku...

We ongeza care af uone tofauti...
Ila na ww kula ss usidhanie pool table lile..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom