tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  2. Unafundishaje watu kuwafanya wenzao watumwa halafu unawafundisha kuheshimu na kumuomba Mungu huyo huyo ambae amewaumba hao utakaowafanya watumwa?

    Cha kwanza wanafuta utashi asilia kichwani mwako alafu wanakubandikia ustadi mpya katika fikra yako, kinachofata unadhani unasimama katika uelevu na utimamu ila kuhakika ni utumwa wa kifikra.
  3. Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

    Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari. Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi...
  4. M

    Ni kitu gani ulitamani kukijaribu lakini ulipojaribu ukaapa hutakuja kurudia tena

    WEKA EXPERIENCE YAKO YA JINSI KITU ULICHOTAMANI KUKIFANYA KILIVYOKUTIBUA SIKU ULIPOKIJARIBU, HUJI KURUDIA Kuna vitu unaweza kutamani kuvijaribu lakini vinakukataa kabisa. Mfano ni vilevi, baadhi vinakubali lakini vingine vinakataa kabisa, huna budi kuviacha. Experience yangu hii hapa Kwa muda...
  5. CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli. Siku tatu nzima hakuna huduma ya sim banking wala Tawi
  6. TTCL Mnazingua sana tena sana

    Hivi ninyi TTCL hii ndiyo nyumbani kumenoga? Yaani huduma za kifedha kwenu ni chamgamoto kubwa sana tena sana. Yaani mnashindwa kuunganisha na mitandao mingine. Pesa zikiingia kwenye namba ya TTCL ni lazima uende kwa wakala na mbaya zaidi mawakala wenu kupatikana ni mtihani mkubwa Hata...
  7. Kuna tabia gani ulikuwa nayo ila umejikuta tu haufanyi tena

    Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.
  8. Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

    Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !! Kwanza hawana stend! Hawana soko! Barababara kuu imekwama na pesa wamekula! Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango Britanicca
  9. Nimepona tena baada ya kuweka mkono na kukemea ugonjwa!

    Kama kawa, nimekuwa nikiwaletea habari za kweli kabisa, bila kuchanganya hata tone la uongo. Leo tena napenda kuwahabarisha kuwa jana, ghafla tu, nilipata maumivu makali sana katika sikio langu la kushoto. Ni maumivu makali yaliyoenea mpaka upande wa juu wa kichwa changu. Kama hiyo haitoshi...
  10. A

    KERO TOZO ZA SERIKALI kwenye MIAMALA ya Simu zimerejeshwa tena?

    Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu. Serikali ilisema kwamba tozo hizo zingetumika kujenga vituo vya afya, madarasa, kutengeneza madawati nk (kama sikosei, naomba nikumbushwe)...
  11. Mpenzi wangu amesema ikisimama asubuhi haisimami tena mpaka kesho asubuhi je hii ni kawaida au mwanaume ni shoga?

    Haya Marijali naomba mje mjibu swali Du, kwa siku mara moja, alooo!
  12. M

    Yanga watatufunga tena Ngao ya Hisani Tarehe 16 Septemba, 2025

    Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi. Yanga hawangaiki tena...
  13. Washabiki wa Simba amkeni, viongozi wenu wanawaburuza tena…

    Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club. Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi...
  14. Nimembagaza huyu Dada anataka tena nimbanange. Watanzania tukemee tabia hiyo mbaya

    Ni ujinga umekubuhu kwa sasa.wanawake wengi wanapenda kubanangwa. Yaani mtu unataka umheshimu anakuambia au nikupe na huuu.. .unibanange ndo utaridhika. Huku akioneshea kwa nyuma. Mara ya kwanza nilidhani anani test. Mimi natosheka na kumbagaza tu mwanamke.kumbananga hapana si jambo zuri. Ila...
  15. "Regime Change" kwa Tanzania haiepukiki tena!

    Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana. Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha hili, maana mabosi zake huwa wanaangalia zaidi "People's Opinions" kuliko mambo mengine. Tukumbuke...
  16. Niliahidi Sitacheza Tena Tanzania, Lakini Singida Imenibadilisha – Aucho

    Kiungo wa kimataifa kutoka Uganda, Khalid Aucho, amethibitisha rasmi kuwa ataichezea klabu ya Singida Black Stars, licha ya awali kutangaza hatacheza tena kwa timu yoyote ndani ya Tanzania. Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aucho amesema amebadilisha msimamo wake baada ya kuona...
  17. Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

    Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo. Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache. Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya...
  18. Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  19. Yote kwa yote Tume Mmejichanganya Tena

    Sheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi. Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act. Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je...
  20. Watanzania hasira zimekuwa kubwa sana jamaa kapata ajali ya pikipiki ambayo ni ya CCM imemlalia wanampita wakimwambia mitano tena.

    Siku hizi naona kama pikipiki za CCM zile za samia watu waliopewa wanaanza kuogopa kutembelea hata wakipeleka kwa mafundi na mafundi nao hawa zitaki,Mtaani zikipaki zinatengwa na wanazengo. Sasa kuna tukio limetokea jamaa kada mtiifu kapata ajali pikipiki anayotumia ikamlalia hakuna hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…