tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kama Una Akaunti ya Mitandao ya Kijamii Uliyoisahau au Hutumii Tena, Nenda Ukaihakiki Mara Moja

    Ndugu wanajukwaa, Naomba jamii iwe makini na kuchukua tahadhari inapostahili, hasa katika kipindi hiki ambacho mijadala kuhusu matukio ya mauwaji ya Oktoba 29 hadi Novemba 4 pamoja na maandalizi ya maandamano ya Desemba 9 yamezidi kushika kasi. Leo nimejulishwa na rafiki yangu kuhusu matumizi...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amos Makalla: Hatutotaka tena vurugu za Oktoba 29, zitokee Tena Arusha

    "Hatutotaka tena vurugu hizo za tarehe 29, zitokee Tena katika mkoa wetu wa Arusha. Tumejipanga, tutahakikisha tunawalinnda watanzania, tunawalinda wananchi, tunawalinda watalii" Amos Makalla, mkuu wa mkoa wa Arusha akizungumza mbele ya waziri mkuu Mwigulu Nchemba leo Novemba 30, 2025
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Desemba twapanda ngazi ya pili. Mje mtuue tena sawa nye immortal

    Hehee! Mwajiona mashujaa kuua watu wasio na silaha hee! Mabingwa hao wa kuua ndugu zetu. Walahi msifikiri waliwaogopa wakipata silaha mtajua hamjui. Mwajiuliza watapata wapi sio. Heee! Viwanda viko peponi sio. Hehee! Mlianza wenyewe. Desemba haichekeshi. Hizo silaha mwaziamini mtageuziana. Niko...
  4. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maria Sarungi: Tutawashitaki mitandao ya Simu ikishiriki Tena kwenye kusaidia Serikali uzimaji wa mitandao

    Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9 atawafungulia mashitaka haya yote ameyazungumzia kwenye kipindi chake cha Maria space.
  5. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Polisi tunajua nyie hamfi mnapewa pesa kuua maskini wenzenu. Tunakuja tena mtuue sawa

    Nye si mwapewa mamilioni ili muue maskini wenzenyu wanaotetea haki zao. Mwataka muwe tajili kama Elon Muski. Hehee! Mwatii amri haramu kumwaga damu za wenzenyu mliambiwa nye hamfi. Mayii! Mwambieni awaongezee posho zaidi ili mtuue zaidi. Twataka mwaka huu muwe mamilionea. Mle bata kwa pesa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania My memory is very fresh, walikana kuwa hawajalifungia Kanisa la Gwajima. Leo tena eti wamelifungulia

    Mfa maji hutapatapa! Mlisema hamjalifungia, leo mnafungulia lipi? Mna dhambi kubwa
  7. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna ambao wanajifanya maandamano ya kudai uhuru wa kiraia,kukataa ubadhirifu na mauaji hayawahusu, ndio hao haki ikipatikana wataanza tena kufurahia

    Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno. Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
  8. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania its happening, ballot or bullet, hawajifichi tena, muslims!

    muslims wanataka kulazimisha sharia in the USA kwa namna yoyote ile, wanaita jihad, wasikilize mwenyewe, wanasema democracy is haram ... https://x.com/i/status/1986085984128172528
  9. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini cha kufanya, endapo internet itazimwa tena…

    Maelezo yafuatayo kwa msaada wa Chatgtp yatakuwa msaada mkubwa sana endapo tutarejeshwa tena gizani. Kama kauli mbiu ya 9D inavosema wakati huu hatuendi kinyonge. Basi ungana nami hatua kwa hatua namna ambavyo kwa upande huu wa mawasiliano haswa kwenye eneo la internet tunavoenda kuwapiga bao...
  10. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yaliyotokea Oktoba 29 tusingependa yajirudie tena. Tuweke hoja mezani

    Watanzania wenzangu, Tukio la Oktoba 29 lilileta maumivu, sintofahamu na migawanyiko ambayo hatutamani ijirudie kamwe. Amani ya nchi yetu ni hazina kubwa, na kama taifa, tunapaswa kutafuta njia mbadala, zenye hekima na utulivu ili kufikia makubaliano kwa hoja, si chokochoko. Ndugu zangu, hebu...
  11. 888I

    JamiiForums Tanzania Makosa Yale Yale yanafanyika tena

    Yale ya kabla ya Oktoba 29 ndiyo yanarejea tena tujipange ikiwa litatokea la kutokea uwe na chakula ndani na vitu muhimu kwasababu hatuwezi kuona yajayo ila tunahisi
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanganyika msipojikomboa sasa, basi tena

    Hapa sizungumzii mambo ya chama, nazungumzia icon muhimu ya Tanganyika ambayo Nyerere aliitupa baharini. Kuna baraka watu wanashindwa kuzipata kwakuwa Mungu akituma anakuta hakuna adrees ya kueleweka hivyo zinakuwa suspended. Kusubiri CNN au BBC wakukomboe ni mstumizi mabaya ya akili. 2015...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza. Hamtaweza kusingizia TEC, Chadema wala Diaspora. Tatizo la yote ni moja tu HAKI bila kuweka utaratibu wa kupata HAKI yote mnayofanya ni bure. Mazoea ya kujidanganya yamefika mwisho
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gari limefeli breki hakuna tena wa kulisimamisha

    Watanzania gari limeshakata breki, pisheni njia. Derereva hana uwezo tena wa kulidhibiti. Pona yake atafute namna ya kujirusha nje kutokea dirishani, ila aking’ang’ania kulazimisha kulidhibiti ataenda kutumbukia nalo korongoroni na kuwaka moto.
  15. Candela

    JamiiForums Tanzania Polisi sio mahala salama tena

    Guys sasa hivi ukigombana na mtu au kwa namna yoyote ukapata jambo linalokulazimu kwenda kituo cha polisi kushitaki aisee kama ni mtu samehe tu na kama ni deni la pesa angalia namna nyingine ya kumdai Why nasema hivi, kuna taarifa imelenea huko Kinyerezi Daslam watu waliibiwa wakapiga simu...
  16. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kulikoni sioni tena vitisho vya polisi na wakuu wa mikoa juu ya D9

    Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona. Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji. Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa...
  17. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia samsung hauko salama tena

    Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa. App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa imara, Kidumu Chama cha Mapinduzi (Jipangeni tena for 25 years)

    Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele. Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa. Wao wanapanga CCM inapanga. CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito. Imepenya majaribio mengi. Walitumia maafisa...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tumeshashinda mapambano wanapumulia kisoda mafisadi, tumesha wapoteza hawaaminiki tena na wananchi wala kimataifa

    Utaona wanajifanya wapo bize kana kwamba hakuna kinachoendelea kumbe presha zao zipo juu sana, Tukutane kwenye Final #D9 tuwakimbize kwenye nchi yetu
  20. S

    JamiiForums Tanzania Naenda kufa Desemba 9, hakuna haja ya kuendelea kuishi tena

    Rejea kichwa cha habari .
Back
Top Bottom