Utumwa wa kuhonga honga siutaki tena

Utumwa wa kuhonga honga siutaki tena

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,924
Reaction score
61,684
Maisha yamekuwa magumu sana, imenibidi niitishe kikao cha dharula kwa hawa wapenzi wangu 11, kila mmoja aandike insha ya ukurasa mmoja yakueleza, zaidi ya tendo la ndoa wana nini cha kunipa?

Nimechoka kuwa mtumwa wa kuhonga honga mali/fedha au kutoa toa huduma zenye gharama kwa mbadala wa kupewa tendo la ndoa tu.

Kama hawana cha kunipa zaidi ya tendo la ndoa, nawapiga wote chini.

Hapo si nitakuwa nimewatendea haki?

Utumwa wa kuhonga honga siutaki tena.​
 
wataishia kusema kwamba kapige punyeto..hivi hawa mademu hawajui kwanza punyeto ni tamu na watu wanaipenda sio kama wanateseka hapana ni nzuri tu unachagua msichana unayemtaka,,teens,ebony,mature,wa kichina wa columbia
 
Nimemrubuni uyu... Ndio tunatinga gesti mazeee walau na mm nikojoee
1000400499.jpg
 
Maisha yamekuwa magumu sana, imenibidi niitishe kikao cha dharula kwa hawa wapenzi wangu 11, kila mmoja aandike insha ya ukurasa mmoja yakueleza, zaidi ya tendo la ndoa wana nini cha kunipa?

Nimechoka kuwa mtumwa wa kuhonga honga mali/fedha au kutoa toa huduma zenye gharama kwa mbadala wa kupewa tendo la ndoa tu.

Kama hawana cha kunipa zaidi ya tendo la ndoa, nawapiga wote chini.

Hapo si nitakuwa nimewatendea haki?

Utumwa wa kuhonga honga siutaki tena.​
Unawaonga wanandoa wenzio ili wakupe tendo la ndio!!?, kwani ulifunganao ndoa bila kulipa maali?
 
Mara ya mwisho kuhonga sijui ni lini

Daah.. kuhonga kumenipitia kushoto sana siku hizi hata kwenda kukodi chumba cha 10k-15k mpaka 25k-30k ili tu nilale na mrembo sitaki tena hizi mambo

Miaka ya baadae wanawake wengi watakuwa wanajiweza yaani wananyumba nzuri na uchumi mzuri kuliko wanaume.. wanawake siku hizi wajanja sanaa aisee

Wanaume tunaona tukipewa penzi ndio tumewapatia kumbe ni ujinga wenzetu wanajipanga na kununua viwanja na kujenga taratibu taratibu na kuinua uchumi wao
 
Back
Top Bottom