tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. The Father of All

    Napendekeza taifa litumie bendera kama taswira yake badala ya rais tena wengine mafisadi na machawa

    Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa. Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil Je wewe unaonaje na kusemaje? Nafikiri kimya kimya.
  2. Nyani Ngabu

    GE2025 Punde mtaanza tena kumsifia Samia!

    Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela. Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu. Mbowe alisota jela takriban miezi nane. Sasa, itakuwa hivi: Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo...
  3. Mshana Jr

    Mwaka wa tabu tena?

    Mwaka wa taabu tena? Huku chama chawala huku Yanga.. Kwani mganga wao nani? Tumewachoka sass🥱
  4. Dr Luu

    VPN imenirudisha tena JF

    Hello ndugu zangu, Am back from cell, nilikua sielewi why siwezi reach jf tena then nikagundua baada yakuingia jf Facebook kuwa kuna Barn, then @Tatizo_la_pre_ejaculation akanitonya baada ya kuanzisha group lengine la kutoa huduma na elimu ya afya kwakua yeye alishakuwa kwenye cycle yangu...
  5. DELETED ACCOUNT

    Narudia tena, hakuna uwanja utajengwa pale Jangwani

    Wanasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Nilishatoa angalizo mara nyingi, hakuna uwanja wa mpira utakaokwenda kujengwa pale Jangwani. Hizo habari za hati ni siasa tu. Ina maana uwanja wa Kaunda haukuwa na hati? Tutarudi katika uzi huu mwaka 2030 hakutakuwa na uwanja...
  6. mwanamwana

    Onana kwaheri Manchester United, hakuna tena kufungwa ovyo

  7. N

    Kampuni ya CATL ya China imezindua betri za gari linalotumia umeme (EV) za kizazi kipya mjini Munich

    Kampuni ya CATL ya China, kampuni kubwa zaidi ya kutengeneza betri duniani, jana Jumapili imezindua betri za gari linalotumia umeme (EV) za kizazi kipya mjini Munich, Ujerumani, kwa ajili ya soko la Ulaya, ikionyesha ushawishi wake na dhamira yake inayoongezeka katika kanda hiyo. Uzinduzi huo...
  8. Sifi Leo

    Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  9. ELI COHEN

    Unafundishaje watu kuwafanya wenzao watumwa halafu unawafundisha kuheshimu na kumuomba Mungu huyo huyo ambae amewaumba hao utakaowafanya watumwa?

    Cha kwanza wanafuta utashi asilia kichwani mwako alafu wanakubandikia ustadi mpya katika fikra yako, kinachofata unadhani unasimama katika uelevu na utimamu ila kuhakika ni utumwa wa kifikra.
  10. DELETED ACCOUNT

    Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

    Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari. Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi...
  11. M

    Ni kitu gani ulitamani kukijaribu lakini ulipojaribu ukaapa hutakuja kurudia tena

    WEKA EXPERIENCE YAKO YA JINSI KITU ULICHOTAMANI KUKIFANYA KILIVYOKUTIBUA SIKU ULIPOKIJARIBU, HUJI KURUDIA Kuna vitu unaweza kutamani kuvijaribu lakini vinakukataa kabisa. Mfano ni vilevi, baadhi vinakubali lakini vingine vinakataa kabisa, huna budi kuviacha. Experience yangu hii hapa Kwa muda...
  12. ELI COHEN

    CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli. Siku tatu nzima hakuna huduma ya sim banking wala Tawi
  13. Mwanongwa

    TTCL Mnazingua sana tena sana

    Hivi ninyi TTCL hii ndiyo nyumbani kumenoga? Yaani huduma za kifedha kwenu ni chamgamoto kubwa sana tena sana. Yaani mnashindwa kuunganisha na mitandao mingine. Pesa zikiingia kwenye namba ya TTCL ni lazima uende kwa wakala na mbaya zaidi mawakala wenu kupatikana ni mtihani mkubwa Hata...
  14. Desierto

    Kuna tabia gani ulikuwa nayo ila umejikuta tu haufanyi tena

    Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.
  15. britanicca

    Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

    Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !! Kwanza hawana stend! Hawana soko! Barababara kuu imekwama na pesa wamekula! Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango Britanicca
  16. Setfree

    Nimepona tena baada ya kuweka mkono na kukemea ugonjwa!

    Kama kawa, nimekuwa nikiwaletea habari za kweli kabisa, bila kuchanganya hata tone la uongo. Leo tena napenda kuwahabarisha kuwa jana, ghafla tu, nilipata maumivu makali sana katika sikio langu la kushoto. Ni maumivu makali yaliyoenea mpaka upande wa juu wa kichwa changu. Kama hiyo haitoshi...
  17. A

    KERO TOZO ZA SERIKALI kwenye MIAMALA ya Simu zimerejeshwa tena?

    Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu. Serikali ilisema kwamba tozo hizo zingetumika kujenga vituo vya afya, madarasa, kutengeneza madawati nk (kama sikosei, naomba nikumbushwe)...
  18. Money Penny

    Mpenzi wangu amesema ikisimama asubuhi haisimami tena mpaka kesho asubuhi je hii ni kawaida au mwanaume ni shoga?

    Haya Marijali naomba mje mjibu swali Du, kwa siku mara moja, alooo!
  19. M

    Yanga watatufunga tena Ngao ya Hisani Tarehe 16 Septemba, 2025

    Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi. Yanga hawangaiki tena...
  20. Gang Chomba

    Washabiki wa Simba amkeni, viongozi wenu wanawaburuza tena…

    Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club. Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi...
Back
Top Bottom