Jeshi Letu la JWTZ Linatumia Teknolojia ya AI Kuboresha Ufanisi Kwenye Ulinzi?
Katika mifumo ya ulinzi ya jadi inayotumia rada za kawaida, changamoto kubwa imekuwa uwezo mdogo wa kuchambua taarifa kwa haraka na kwa kina. Rada za zamani zinaweza kugundua kitu angani au baharini, lakini mara...
Native ni nini ?
"Native" inamaanisha kwamba programu imeundwa kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mfumo maalum wa uendeshaji wa kifaa, kama vile Android au iOS, na hutumia lugha na zana za maendeleo za asili za mifumo hiyo.
HTML, css, js ni nini ?
HTML, CSS, na JavaScript ni teknolojia za...
Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa unaosaidia mabadiliko haya ni ChatGPT.
Kwa lugha rahisi kabisa, ChatGPT ni programu ya AI (Akili Bandia)...
biashara mtandaoni
chatgpt
kamili
kazi mtandaoni
kuhusu
kujifunza
kupata pesa online
maisha
maisha na kazi
mtandaoni
mwongozo
teknolojiateknolojia ya ai
Ni kwa sababu hii ni dunia ya mwenye nguvu na mamlaka, kwa maana hata machifu/watemi waliokuwa na nguvu na mamlaka kuliko babu zetu ndio waliowakamata babu zetu na kuwauza kwa wazungu na waarabu kama kuku.
Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
Ninashauri Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuachana na mfumo wa zamani wa kutoa semina kwa kukutana ana kwa ana (physical workshops), ambao unatumia gharama kubwa za usafiri, malazi, na muda, na badala yake kuhamia kwenye mfumo wa kisasa wa kidijitali.
Mapungufu ya Mfumo wa Sasa:
* Gharama...
Mwaka 2025 kulitokea vurumai nchini Israel pale kundi la wanazuoni wa Kiebrania wajulikanao kama Haredi lilipotakiwa kujiunga na jeshi la nchi hiyo kisheria.
Hoja kubwa iliyojengwa na Serikali dhidi ya kundi hilo ni kwamba hakuna sababu inayozuia wao kujifunza mambo ya dini yao wakiwa kwenye...
Naziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho.
China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie.
Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila...
Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza.
Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
Hallo. Hbr wana JF.
Natumaini kila mtu atakuwa ashasikia kuhusu CLOUD SERVER, kama vile DropBox, Google cloud etc. Hizi huduma huwa zinapatikana kwa mothly rental fee au bure kwa limited access. Mfano Dropbox wanakupa only 2GB, huku Google wakikupa bure 15GB ya kuhifadhia data zako.
Huduma...
Airtel Africa imetangaza ushirikiano na SpaceX kuanzisha teknolojia ya satellite ya Starlink inayowezesha mawasiliano ya simu moja kwa moja kwenye nchi 14 za Afrika.
Huduma hii ya satellite itazinduliwa mwaka 2026, kwa awali ikilenga kusaidia matumizi ya data na ujumbe mfupi (SMS) kwa simu...
Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali.
Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50,000...
Wenzetu wanazidi kusonga mbele.Usalama wa dubai swala la wizi unaweza kuwa umezibitiwa sana.
Sasa wamekuja na ATM ROBOT ambayo itajileta yenyewe na kutoa pesa.
😄 Kibongo itakuwaje ikaitwa uswahilini si wanaikaba huko huko.
Wachina wengi wanakimbilia sana kusoma nchi zenye teknolojia kubwa sio kwa ajili kusoma bali kuchukua maarifa kupeleka kwao ambacho hizo teknolojia zimetumia mda mrefu kiutafiti.
Nchi kama USA wanatumia bajeti kubwa za utafiti ukilinganisha na wachina.
Sasa hapa unaweza kusema mchina ni mkali...
Teknolojia zina shika kasi sana.Kwenye Iphone 17 nimeona mfumo wa setelite ina maana mbeleni kutaweza kuwafanya watu wapate wanachokitaka sehemu yoyote.
Huku kwetu tumeona hii tabia ya kuzima internet likuwa jambo la kila uchaguzi unapofika.
Je TCRA mumejibangaje kufika angani na mkasi.
Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama.
Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama.
Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia,
Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu.
Angalia video yake sio poa 👇
Kutokana na China kuwa na teknolojia kubwa hasa katika utengenezaji wa bidhaa za high technology imeanza kuwekeza viwanda katika mataifa ya Ulaya kutokana na mataifa hayo kuwa nyuma katika teknolojia hizo.
Hatimaye EU imeona hii ni fursa ya wao kujifunza kutoka kwa Wachina. Ila wanapokosea...
Wakati mwingine tunapigwa changa kwa kujazwa ujinga.
Israel inaaminika iko juu kiuslama na kijeshi. Je ilikuwaje ikashindwa kuwaokoa mateka wake kwenye eneo dogo kama hili tena lisilo na nchi wala jeshi?
Wazungu wamejua kututenda kwa kutujaza ujinga na woga.
Hata wewe unaweza kuproove.
1. Tumia app ya kuedit picha kama Photoshop, unaweza tumia ya online photopea.com
2. Download logo ya chatgpt
3. weka logo 2 za Chat GPT ( Duplicate )
4. Logo ya kulia ipindue juu kwenda chini (Flip Vertical)
Muonekano mpya
5. unganisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.