2025 kama naona ndio ajira zinaelekea mwishoni nchi nyingi sana na afrika.
Sasa hakuna ulazima wa kuendesha magari wakati magari yana jiendesha.
Uwezi kuajiri wafanyakazi wengi wakati kuna mashine zinazoweza kufanya kazi zaidi ya wafanyakazi.
Jeshini na polisi nako naona marobot yanaanza...
Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini.
Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alipokutana na Mwenyeji wake...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam...
Wacha nikwambie kitu moja straight up bila kuzungusha — hii AI ni kama dope mpya ya kizazi cha dot com. Inakufanya ujione mwerevu, lakini deep down ina-slow kill akili zako. You feel me? Yani mtu anakaa home, hawezi hata kuandika paragraph bila kumtumia ChatGPT. Bro, that’s soft! That ain’t it...
Habarini wana JF;
Hebu tuchangamshe genge Kama Title inavyosomeka hapo juu,
Katika dunia ya sasa, teknolojia imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Simu zetu mahiri, mitandao ya kijamii, na majukwaa ya mawasiliano yamerahisisha sana kuwasiliana, lakini swali linabaki: Je, tunazidi kujitenga...
We fikiria,
Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri.
Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia?
Yani kwanini watu wa kijijini watembee kwa miguu umbali mrefu km ungo upo?
Kama internet ingegunduliwa Africa, watu...
Wakuu,
Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.
Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum...
JE, TEKNOLOJIA INATUIMARISHA AU INATUFANYA TUWE WAZEMBE?
Teknolojia imeleta maendeleo makubwa, lakini pia imeibua changamoto. Inawezesha maisha rahisi kwa kurahisisha kazi, kuongeza ufanisi, na kurahisisha mawasiliano. Watu wanapata elimu mtandaoni, fursa za ajira zimeongezeka, na dunia...
Jinsi Teknolojia Inavyoboresha Maisha ya Watu Wenye Ulemavu
Katika dunia ya leo ya kidijitali, teknolojia si tu nyenzo ya maendeleo bali pia mkombozi mkubwa kwa watu wenye ulemavu. Iwe ni ulemavu wa kuona, kusikia, kutembea au kujifunza, kuna suluhisho nyingi zinazorahisisha maisha na kuongeza...
Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa
Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria.
Mwaka...
Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli.
Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
"Nawaonea wivu kwasababu sisi tulikuwa tunatuma habari kwa simu. Baadaye zikaja teknolojia nyingine. Ninyi mmepiga hatua lakini hata nyie msilemazwe na kufubaa na teknolojia, hata hii akili mnemba imeundwa na binadamu na inachukua maudhui kutoka kwa watu.
Nawashukuru wadau wote na mliotoka nje...
Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda...
TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU
Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba 202504102000008606 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu kwa njia ya mtandao, kupitia tovuti rasmi...
Mwijaku anachofanya ni kuua destiny za hawa watoto wa kike.
Mfano hawa mabinti wote unafikiri nani atakaa aoe wanawake wa sampuli Kama hizi.
Ukiachana na Mwijaku kuendeshwa na ngono Ila bado hajui kuwa privacy is power .
Mwanake Anategema past yake ili aolewe Ila mwanaume hategemei past wala...
Leo nilikuwa napitia tovuti ya The New England Journal of Medicine, na nikakutana na taarifa muhimu iliyotolewa mwaka 2020 kuhusu utafiti wa CRISPR-Cas9.
Ripoti hiyo inaelezea jinsi wagonjwa wawili waliopokea matibabu kwa kutumia CRISPR-Cas9 walivyoonesha matokeo mazuri.
Kwa wale ambao...
Unakumbuka enzi zile ambapo mtu alikuwa akienda benki kuweka au kutoa pesa, lazima apange foleni ndefu na asubiri kwa muda mrefu? Au enzi ambazo ukienda mgahawani, mhudumu ndiye aliyekuwa anakusikiliza na kuandika oda yako kwa mkono? Sasa hivi mambo yamebadilika—ATM zimeshika nafasi ya wahasibu...
Binafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
Kitabu “The Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni.
Katika kitabu hiki, waandishi walitoa makadirio kuhusu maendeleo ya teknolojia, uchumi, na...
Habari wanaJF,
Natumaini mmeshinda salama. Mimi niko hapa naaga ijumaa taratibu. Kwa wasabato ni siku ya maandalizi, na kwa walokole na waroma itakuwa mfungo endelevu, bila kusahau mwezi mtukufu wa wenzetu waislamu.
Haya. Jana nilikuwa Dar, msanii mmoja ana biashara ya samaki. Akaniita kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.