teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Vita ya Teknolojia: Toyota wamegundua injini inayoendeshwq na maji, hamna haja ya battery wala umeme. Maji TU yatosha

    In a move that will shake up the global auto industry, Toyota has just unveiled a water-powered engine powered by hydrogen created through electrolysis — emitting only water vapor! No lithium. No charging stations. Just pure disruption. With this bold move, Toyota isn’t just competing with EVs...
  2. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wadau hakuna kitu kizuri kama Teknolojia ila unapokosea kuitumia inakuadhibu vibaya mno

    Binadamu wa sasa hatuna capacity ya kupima matokeo(consequences) mipango (means) yetu imekuwa ya kijanja janja mno kitu ambacho kinafanya tujiumize na kuteseka mno,tunapenda kuiga mambo na kufunika kombe ili mwanaramu apite. Juzi nilikuwa naangalia Movie ya kizungu kama kawaida yao kuna part...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu web 3 (blockchain),..Siri, fursa na utatuzi wa matatizo ulioletwa na teknolojia hii

    Web 3 ni neno linalotumika kuelezea hatua ya tatu ya maendeleo ya mtandao ambayo inatarajiwa kubadilisha jinsi tunavyotumia intaneti. Ili kuelewa Web 3, hebu tuchukue hatua nyuma kidogo na tuangalie historia fupi ya mtandao. Web 1.0 ilikuwa "mtandao wa kusoma tu" miaka ya 1990 hadi 2000...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya web 3( blockchain technology)

    Jaman watanzania nahamasisha muamko katika teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology ) kwa sababu kuna baadh ya nchi za Afrika zimepiga hatua katika hii teknolojia na zinaitumia katika ustaw wa Jamii na nchi zao,.. Nchi kama Kenya, .Ghana, Nigeria na kadhalika zimesharasimisha...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Zijue dondoo muhimu kuhusu kiwanda cha kwanza cha kuchenjua shaba kwa kutumia teknolojia ya kisasa cha Mast- Chunya Mbeya

    KUANZISHWA Mineral Access Systems Tanzania Ltd (MAST) ni Kampuni ya Kitanzania, iliyoanzishwa mwaka 2011, ikiwa na dhamira ya kuendeleza biashara ya madini kwa njia shirikishi na endelevu. Imekuwa ikifanya biashara ya madini ya kimkakati (strategic minerals) ndani na nje ya nchi mfano Zambia...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) atuhumiwa kumuua Mwanafunzi mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22]. Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Miradi ya JKT na JWT/Shirika la mizinga, ni miradi ya kusikitisha sana, ni kipimo cha level ya uwezo wetu sisi Watanzania

    JWTZ na ndugu yake JKT, waliapaswa kuwa ndio centre ya kuibua viwanda vya kizalendo Tanzania hii, Walipaswa kuwa ndio sehemu ya watu kwenda kujifunza uchumi wa kizalendo, Watu kwenda kujifunza kuto penda bidhaa za nje na wathamini bidhaa za ndani ya nchi kamam sehemu ya Uzalendo. Centre ya...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vita vya iran na israel umbali wa nchi hizo unafanywa teknolojia hivi TZ tutaweza.

    Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali. Sasa hapa kwetu tuna uchumi mzuri kuliko marekani na ulaya ndio natafakari. Nimeona aina za makombora wanayotumia...
  9. U

    JamiiForums Tanzania IRGC inasema Israel inatumia teknolojia ya kufuatilia simu za mkononi kutekeleza mauaji ndani ya Iran, ikiwa ni pamoja na wanasayansi wa nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Iran Urusi na China wameipata teknolojia ya f 35 stealth kiuwepesi kabisa

    Mara baada ya f 35 stealth kudunguliwa sasa Urusi na UChina wataenda kuchukua teknology ya f35 Iran Hii ni Faida kubwa sana kwa Iran,Urusi na UChina Mmarekani hataki kumuuzia yeyote hio f35 zaidi ya Muisraeli huyo Uturuki kanyimwa kuogopa teknolojia itaibwa.
  11. syndicate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia teknolojia ku'bold' hoja kwa wananchi wakati wa kampeni

    Wasalam! I declare! PATRIOTISM FORWARD PIA SIASA NI DINI MPYA. Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku. Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wa Kenya wakumbatia teknolojia ya kisasa ili kuongeza mavuno yao

    Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa linaonekana kupatwa ugonjwa. "Zamani nilikuwa nikisubiri mtu aje kusaidia. Tena baadhi ya wakati alikuwa...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukiwaza kwa Kina Utatambua Kuwa Si Tu Tunategemea Teknolojia Kwa Maisha Yetu Ya Kila Siku Bali Tumekuwa Watumwa wa Teknolojia Hizo

    Na je, tuna sababu ya kuamini kuwa akili ya bandia ni rafiki wa binadamu? Miezi kadhaa iliyopita, nilikuwa nikisikiliza vijana wawili wakijibizana katika basi la mwendo kasi kuhusu programu mpya ya simu inayoweza kumfanyia mtu kazi ya uandishi wa habari, tafsiri, na hata ushauri wa kisheria...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Gari za Tesla aina Cybertrack kama huna ufahamu wa kompyuta na teknolojia achana nayo

    Gari ya cybertruck kama mwanamke yani ukitaka kupata rahaa lazima kumtayarisha ili utumie. Sasa kitu ambacho nimefikiria haya magari kuleta bongo unaweza kulipark uwani na kufa mazima. Gari ya cybertruck ukilipeka kuoshwa lazima ulitambulishe la sivyo litakugomea kufungua chochote na kuondoka...
  15. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Ya Vitambulisho Vya Taifa Nida Tumieni Teknolojia Kurahisisha Upatikanaji wa Huduma Kwa Jamii

    Baadhi ya wananchi wamekumbana na changamoto ya kufungiwa namba zao za Nida kwasababu ya kutokuchukua kadi zao za Nida. Tatizo hili limesababishwa na serikali yenyewe kwasababu imekuwa ikitumia muda mrefu kutoa Vitambulisho na wananchi wengi kutokana na harakati za utafutaji wamejikuta wakihama...
  16. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi. MTU Kama mirradayo , diamond n.k Max Melo Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
  17. black-tz

    JamiiForums Tanzania NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Tanzania tuna teknolojia inayoweza kuangalia Saratani inayoweza kujitokeza miaka 10 ijayo mwilini

    Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Sekta ya Afya imepiga hatua kubwa nchini kutokana na maendeleo mbalimbali yaliyofanyika kutokana na uwekezaji uliofanywa na Serikali. Dkt. Godwin Mollel amesema Shilingi Trilioni 6.7 zilizotolewa na Serikali...
  19. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ni nini?

    Guys nisaidieni kujua maana ya teknolojia
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Walimu na kada nyingine zikipelekwa Qatar yatajirudia ya madereva, bado tuko mwaka 47 wakati wenzetu wanakimbia na teknolojia!

    Wakuu, Katika kada karibu zote tuko nyuma sana kitekknolojia, hata ambao ungetegemea wawe updated nao mambo ni yale yale. Mfano waandishi wa habari, mambo yanabadilika kila leo, sasa tuna mitandao ya kijamii na nyenzo za kadhaa ambazo ukilinganisha na vinavyofundishwa huko vyuoni ni huzuni na...
Back
Top Bottom