tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, kwa hii Kauli yake dhidi ya Rais Dkt. Magufuli, huyu Mchungaji ameponya tatizo au sasa ndiyo amelizidisha zaidi?

    "Makabila yote yana umoja wao, sisi hatukuwa na umoja kabisa hatuna desturi kama za Wachaga wanavyokuwa pamoja mwishoni mwa mwaka, niliamua kuwaunganisha pamoja kuna Watemi wa Kisukuma ukienda kule Usukumani utawapata watu. Lengo lilikuwa ni kuwa pamoja katika kusaidiana, tuwe pamoja na...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ikitoa milioni 50 tatizo la Umasikini Tanzania litaisha

    Takwimu zinasema watanzania idadi yetu ni milioni 50 Bila shaka serikali inaweza ikasaidia kukazua vyuma kwa kutoa milioni 50 Ambapo hapo sisi kama taifa tuna uhakika wa kila mwananchi kujipatia milioni moja keshi kabisa iliyokamilika. Hesabu zinakuwa hivi; Pesa taslimu milioni 50...
  3. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tundu Lissu hadai hata mia!

    Spka job Ndugai amesema kuwa wamekwisha mlipa Tundu Lissu ,aliyekuwa mbunge stahiki zake zote Ameyasema hayo Leo akiwa bungen Dodoma ----
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo hili linanitisha juu ya mwanangu. Msaada jamani!

    Mwanangu baada ya kumpa uji leo asubuhi niliochanganya na mafuta ya Habbat souda na asali... Akawa anajiangalia tumbo lake kama analipiga piga.. Nikadhani linamuuma labda au ameshiba sana... Shida alipojisaidia toka asubuhi yake kabla sijampa huo uji nilioeleza hapo. .. ALIJISAIDIA KINYESI...
  5. JamiiForums Tanzania Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

    Hey Hey JF, Maisha ya binadamu kwa kawaida yamejaa majaribio kwa maana ya 'Trial & Error'. Leo unaanzisha kitu, ukidhani kita work out lakini kinaishia pabaya kuliko hata ulivyodhani. Hili limekuwepo sana kwenye kila tufanyacho yakiwemo pia mambo ya mahusiano. Watu wanakutana leo, wanaanza...
  6. JamiiForums Tanzania Lipi ni tatizo lingine la Honda CRV(RD5)?

    Kwenye baadhi ya thread wana JF wamelalamika kuwa gari hii vipuli vyake ni ghali!!,Je kuna udhaifu mwingine wa gari hii? ikiwa utazingatia service kwa wakati? Nataka niagize gari hii kwa ajili ya kazi zangu huko Mbeya (vijijin) na Mahenge (Morogoro).
  7. JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Zuku kushindwa kukamata signal, tatizo nini?

    Habari wakuu, king'amuzi cha zuku kushindwa kudaka signal ili hali dishi limetegwa vizuri na ving'amuzi vingine vikikamata katika dishi hilohilo, tatizo inaweza kuwa ni nini?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Si tatizo kwa Makonda kumwita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina ikiwa Chadema na Act wanaweza pia kumwita Magufuli hivyohivyo, ndio siasa

    Inaonekana wengi wamekasirishwa au kufedheheshwa sana na kitendo cha Makonda kuwaita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina. Sioni kama hili ni tatizo. Alichofanya Makonda ni kuweka utangulizi au precedent ya aina ya mipasho ya kisiasa unayoweza kufanya kwa kiongozi wa chama cha siasa...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpina: Operation Sangara imeongeza tatizo la rushwa Kanda ya Ziwa

    Kuna kiongozi wa CHADEMA amewahi kusema bungeni juu ya mwenendo wa kushughulikia mambo ya wizara ya uvuvi kwa operations. Pamoja na waziri Mpina kuitetea wizara yake, kumbukumbu yangu inaonesha hakuna operation ambayo imewahi kufanikiwa bila matatizo kwa wananchi, bahati mbaya wanaoendesha...
  10. JamiiForums Tanzania Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best!

    Wanabodi, Tangu kuibuka kwa Mlipuko wa Corona, umetufundisha mengi, moja wapo ni jinsi wanasiasa wetu, mawaziri wetu, madaktari wetu, na wataalamu wetu kuchanganya siasa na professionalism katika kukabibiliana na tatizo kubwa kama hili ukiwemo uwezo duni wa kutoa elimu ya kueleweka kuhusu...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuhama hama

    salute wakuu nimekuwa nakutwa na hili tatizo la kupenda kuhama hama. Yaani nikiwa mkoa mmoja lazima nitahama niende mwingine. Kama nimepanga nyumba labda mbagala nitahama niende bunju then makongo. Hata shule ilikuwa lazima nihame shule moja niende nyingine. Hata masomo nilihama toka sayansi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwahiyo, tatizo la kuchanganya sauti r na l katika uandishi tumenyoosha mikono?

    Suala hili limeshajadiliwa mno na wadau mbalimbali, hivyo, mimi ninapendekeza sauti hizi zipitishwe rasmi kuwa kitu kimoja. Yani, watumiaji wachague kile wanachoona kinawafaa. Utafiti wangu mdogo unaonesha hata walimu, wapo wengi wana tatizo hili. Kiambatisho kwenye bango hili ni ushahidi wa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu tatizo la vijipu kwenye makalio nateseka

    Habar za jion wakuu nmekumbwa na tatzo LA kutoka vijipu kwenye makalio yangu hadi inafikia wakati nikiendesha baiskel au nikikaa kW muda mrefu napata maumivu nifanye nn?
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo la Intaneti mtandao wa Airtel

    Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? Maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu...
  15. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dr. Bashiru: Kama Membe anasema tatizo ni Urais agombee kwa chama chochote tukutane uwanjani

    Katibu mkuu wa CCM amesema kama Membe anasema kilichomfukuzisha CCM ni nia yake ya kugombea urais basi agombee kupitia chama kingine na wakutane kwa debe. VIDEO: Dk Bashiru asema kama tatizo urais tukutane na Membe
  16. JamiiForums Tanzania Nimerudi tena wakuu na hili tatizo la programming

    Habarini wana programmers.. Nina tutorials nilisoma kwenye w3schools nikadownload codeblocks kwa ajili ya kufanya practice, lakini tatizo ni kwamba ninapotaka ku-run code inazingua sasa sijui tatizo nini. Na kwenye ile tutorial naona cout iko na rangi iliokoza sio kama yangu TATIZO NI WAPI...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni- Pata ufafanuzi wa kina, ushauri na tiba ya tatizo hili

    UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI Hakika mapenzi ni matamu hakuna asiyelifahamu hili na mapenzi kwa kawaida hushirikisha vishiriki ngono kama kupapasana, kubusiana na hata mambo fulani ya kula koni na kuzama chumvini. Hakika uke ni sehemu muhimu sana ya mwanamke inayoweza kuamsha hisia za...
  18. JamiiForums Tanzania HATARI: Dini inatumika na wanasiasa kama mwamvuli lakini tatizo liko hapa

    Sikia kwa makini Dini uliyonayo ni ujinga Usijivunie dini Dini ni udanganyifu Dini ni upotofu Dini ndio inakuzuia kufanikiwa Dini ndio imefunga Afrika kuendelea Dini inatumiwa na wanasiasa kama mwamvuli Dini ni takataka kama zingine Aliyoandika biblia ndiye aliyekuja kuipinga Aliyeandikwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka Vodacom: Internet imerejea kama kawaida yaahidi kufidia mb's zilizopotea

    Huduma ya INTANETI sasa imerejea. Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu ulioupata leo. Vodacom tunaahidi kufidia MB zako ulizopoteza kuanzia kesho asubuhi. Ila kwa uhalisia bado haifungui chochote bado isipokuwa Facebook tu labda.
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna tatizo la msingi sana la ujinga na upumbavu

    Tuna tatizo la kusoma na kutoelimika, Tuna tatizo la upumbavu ambalo unakuta mtu ana mpaka degree lakini bado ni mpumbavu. Tuna Tatizo la kutokuwa na elimu ya uraia, Tuna tatizo la kuamini CCM CHADEMA au ACT watatuletea maendele. hakuna mwanasiasa ambaye anaweza kuwaletea maendeleo sababu yupo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…