tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukichaa wa akili ya mwanadamu tatizo kubwa Duniani

    Hakuna kipindi ambacho jamii yetu inahitaji elimu ya kujifahamu "consciousness education"kama sasa. Tunapita kwenye kipindi chenye upotofu mwingi juu ya "mtu ni nani " kuliko kipindi chochote kile. Taasisi za misingi ya jamii kama familia, shule na maeneo ya ibada leo kwa kiasi kikubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali haina Msemaji kwa siku kadhaa sasa na hakuna Tatizo , kwanini cheo hiki kisiunganishwe na Waziri wa Habari ?

    Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali . Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna matatizo gani yaliyofanyika na kutokea wakati Jakaya Kikwete yupo madarakani yanashabihiana na haya yanayoendea sasa nchini?

    Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu. Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu. Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika. Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo na wateule, washauri au wateuaji?

    Tatizo la kubadilishwa vituo na kurejeshwa kwenye madaraka kwa wateuliwa ni kukosekana na kwa makatibu wakuu aina ya akina Segue, Opio na Luanjo au nimteuaji kukosa muda wakukaa na katibu mkuu kiongozi kupanga safu? Au wanaoteuliwa wanatumia nguvu za giza kuwachanganya wateuaji? Kwanini...
  5. JamiiForums Tanzania Bado nawaza na kujiuliza Sakata la Bandari. Tatizo ni urefu wa mkataba, terms and conditions zilizomo au tatizo ni kuvuja kwa mkataba?

    Wakuu samahani naomba ufafanuzi Kwa suala la bandari linaloendelea kuwa kubwa nchini. Hizi kelele za upingaji MKATABA ni kutokana na nini? Muda wa MKATABA kuhusu bandari? Terms and conditions zilizomo? Udini? Au kelele hizi ni kutokana na kuvuja kwa MKATABA? Mikataba mingine tusiyoipigia...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo sio uhaba wa umeme nchini. Tatizo kuu ni mazoea tuliyojijengea

    Kama Taifa tumejijengea mazoea mabaya na yanatuumiza wenyewe! Mazoea ya kuwa maji ndio chanzo KIKUU cha umeme kwenye Taifa ndio yanatuumiza,ni nani alituloga!!? HIVI hapa nchini maji pekee ndio chanzo cha umeme!? Ina maana ukame ukitokea tu umeme wa kipimo na hakuna namna nyingine ya kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Oilver Semguruka Atatua Tatizo la Ukosefu wa Maji Shuleni

    MHESHIMIWA OLIVER ATATUA TATIZO LA UKOSEFU WA MAJI SHULENI 🏷️Leo Tar 22 September, 2023 Mhe Oliver Daniel Semuguruka (Mbunge Viti maalum Mkoa wa Kagera) alikuwa Mgeni rasmi katika mahafali ya shule ya Msingi Mgeza Mseto Bukoba Mjini, ambayo shule hiyo ni ya watoto wenye MAHITAJI MAALUMU. 🏷️...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania kila kitu ni siasa. Hatuna useroius kwenye kutengeneza na kusimamia mipango madhubuti

    Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha Sasa wameenda na Zimbabwe. Kwa uzoefu...
  9. JamiiForums Tanzania Hili tatizo la ardhi linaumiza akili mno na linachanganya

    Habari wanajamvi, Siku ya juzi tarehe 19 september 2023 tumeletewa notisi ya malipo ya kodi ya ardhi (nimeambatanisha) ikiamrisha tulipe kodi ya ardhi jumla ya shilingi 244,700/=tshs Kodi ya mwaka huu ni 7,500/=tshs Baada ya kuulizia afisa mtendaji yeye anadai jumla ya hilo deni ni tangu...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la Umeme ni kielelezo cha kushindwa kwa CCM

    Tangu IPTL, RICHIMOND, DOWANS, PAP, Gesi ya Mtwara na migawo yote unayoijua, lakini bado tatizo halijaisha Huu ni ushaidi wa wazi wa kushindwa kwa ccm kuwasaidia Wananchi. Nashauri iondolewe Madarakani
  11. JamiiForums Tanzania Tunatamani kuishauri serikali tatizo haishauriki

    Tunapenda nchi iendelee lakini wenye madaraka hawapendi iendelee kwa kuwa hawapo tayarhi kupokea ushauri,mwaka 2016, 17 nilifanya kazi hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa kujitolea kitengo cha damu,kuna kipindi mashine ya kutengenezea blood components (PACKED RBCs,FFP, Plateletes nk) injinia...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi sasa wanatumia mahusiano as a cover for free sex

    Wanaume wengi sasa wanatumia mahusiano as a cover for free sex and babe to do house chores. KE nao wanatumia relationship as poverty alleviation scheme, wanaumiza vichwa,kuroga, kuganda etc ili wapate wanaume wenye pesa ama unafuu wa Maisha. Katika mzunguko huu mnakutana watu wawili wenye...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuanguka ghafla

    Ni tumaini langu wote mu wazima wa afya. Kama mada ilivyo hapo juu,leo nimekuja kuomba msaada. Nina ndugu,mwana mama mtu mzima. Kwa mda wa miaka 10 sasa,ana tatizo la kuanguka. Kwa siku inaweza tokea zaidi ya mara tatu. Na si kwamba ni kila siku,inaweza ikapita hata wiki au wiki mbili. Na si...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Serikali inunue umeme Ethiopia, tatizo ni kubwa mno. Pole Biteko

    Biteko anawaambia TANESCO kuwa wananchi wanataka umeme, wananchi hawataki kusikia sijui kuna mipango na porojo gani kama alivyokuwa anasema Makamba, lakini hata akiwaambia wananchi wanataka umeme huo umeme utatoka wapi? Kwanini wananchi tusiwapime CCM kwa kutumia umeme? Jinsi na kadiri siku...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kula samaki na dagaa

    Habari zenu wanajamvi Mimi nina tatizo la kushindwa kabisa kula samaki, dagaa na vitumbua. Vitu hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo vilikuwa ndio vitu navyovipenda sana nilipokuwa mdogo mpaka kufikia umri wa miaka 13 ndipo mambo yakaanza kuharibika. Tatizo lilianza kwa kushindwa kula samaki...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mkopo wa kuongeza kwenye biashara yangu

    Mimi nimefanikiwa kujenga nyumba ya kupangisha eneo la chuo cha mipango Dodoma, ina vyumba kumi na tayari watu wanaishii. Nina shida ya mkopo mil 20 kwa ajili ya kuchimba kisima na kujenga uzio nimeenda bank wanataka cash flow ambayo mimi sina. Msaada tafadhari.
  17. JamiiForums Tanzania Kuruhusu watu binafsi kuzalisha na kuuza umeme inaweza kuwa suluhisho la tatizo la umeme?

    Habari. Nasikia zamani Dar watu binafsi hawakuruhusiwa kumiliki daladala za abiria. Usafiri ilikuwa shida sana. Baadaye serikali ikaja kuruhusu na ahueni ya usafiri ikapatikana. Serikali kuruhusu watu binafsi kuzalisha na kuuza umeme. Huku miundombinu ya umeme iwe kama barabara zinavyotumika na...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
  19. JamiiForums Tanzania Mafuta yamejaa kila kona ya nchi, tatizo lilikuwa ni nini?

    Baada ya bei mpya kutangazwa jana, leo asubuhi, mafuta yamejaa kila kituo cha mafuta.
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la serikali hii ya Awamu ya Sita si wateule bali ni Mteuzi na Mwapishaji

    Ifike mahali sasa tuache kuzunguka mbuyu samia kwa sasa anatakiwa awajibike kwa kila ovu au zuri linaloikumba nchi yetu. Kwa sasa tunasema she is responsible for everything tuache kusingizia mawaziri anaowateua. Kama ni kuunda serikali mda umepita ana zaidi ya miaka miwili sasa. Kama. Ingekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…