Tatizo la ngozi linanitesa

Mwendece

Member
Jun 23, 2021
35
47
Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada.

Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo nimeshatumia dawa mbalimbali kutoka kwa specialist mmoja (za kupaka) lakini bado.naomba anayejua wapi naweza kupata matibabu ya uhakika
 
Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo nimeshatumia dawa mbalimbali kutoka kwa specialist mmoja ( za kupaka) lakini bado.naomba anayejua wapi naweza kupata matibabu ya uhakikaView attachment 2650159
mboka kama kapiga picha kwenye kibaraza, naona kule chini ni kuelekea mabonde kuinama. hapo ni amenyoa nywele tu na mavipele, atumie sabuni nzuri tu yatapona au ayaache kwa muda mrefu bila kunyoa hadi ngozi itengamae.
 
Mabonde kuinama Tena hahaha
Sio huko Kama unavyodhani mkuu
 
Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada.

Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo nimeshatumia dawa mbalimbali kutoka kwa specialist mmoja (za kupaka) lakini bado.naomba anayejua wapi naweza kupata matibabu ya uhakika
Hivi kuna haja gani ya kupost picha alafu ukafuta? Au msaada ulioutaka ushaupata mkuu?
 
Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada.

Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo nimeshatumia dawa mbalimbali kutoka kwa specialist mmoja (za kupaka) lakini bado.naomba anayejua wapi naweza kupata matibabu ya uhakika

Habari!

Kuna mambo nithitaji kuyafahamu:

1: muwasho ulianzia sehemu ipi?

2: ni maeneo yapi yanawasha zaidi?

3: ni wakati upi unawadhwa zaidi?

4: kuna mtu mwingine kwenye chumba/nyumba unayoishi?

5: kuna mgeni alikuja au ulienda kutembrlra drhrmu/dhughuli yoyote kabla ya muwasho kuanza?

6: kuna mtu mwingine kwenye familia anawashwa?

7: ukifanya nini muwasho huongezeka?

8: kuna mabadiliko yoyote ya chakula, vitu vya kupaka ulifanya siku chache kabla ya muwasho kuanza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom