Love bites kwa wadada hutokea kwa wingi Mwisho wa wiki na Mwanzo wa wiki tatizo ni nini?

Hyrax

JF-Expert Member
May 20, 2023
604
1,534
Pamoja na kaajira kangu ka kubangaiza mimi pia ni dereva bajaji huwa nikichomoka kwenda job asubuhi lazima niitumie bajaji kukusanya watu kituoni na kuelekea nao posta na nikirudi pia hivyo hivyo.

Katika harakati zangu za kipimbi kuna kitu nimegundua wadada wengi kipindi cha mwisho wa wiki yaani ijumaa kuamkia jumamosi au jumapili asubuhi unakuta shingo za wadada hawa zimekuwa na mabites ya kutosha kama sio moja basi utaziona mbili au tatu yaani Jumatatu ndio kabisa katika wadada kumi nitakaowaona vituoni basi wadada wawili tu ndio wamenusurika wengine wote washaliwa kama swala sasa najiuliza kwani huko wikiendi mnachezaga mieleka au ngumu za kulipwa mpaka mibites yote hiyo huko shingoni??

acheni hizo waungwana kitandani sio uwanja wa vita tafadhali sana waungwana mtakuja kuuana bure. mimi naenda zangu niwahi wateja hapo mbezi mwisho muda huu. vuuuuumuuuuu!!!
 

Attachments

  • Love-bite-e1622841646808.jpg
    Love-bite-e1622841646808.jpg
    14.6 KB · Views: 11
Ni ujinga mwisho uoze meno buree
Au donda lisilopona maana meno mengine yana tetenus...
 
Back
Top Bottom