Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

naahjay

Member
May 13, 2023
25
39
Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi.

Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa.

Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na haraka, pia baadhi ya vipimo ECG ilisema Ischemia na Possible Heart Enlargement na echo EF 53-58 nna regurgitation ya valve Ila wanasema zipo sawa hazina shida.

Nipo kwenye dawa za presha so nawaza sana kwanini hospital nyingine waseme nina tatizo nyingine waseme sina?
 
Madaktari wa tz huwa wanabet kwemye afya zetu
 
Pole TZ pagumu, muhimbili nawaami hawabahatishi
 
Kama pesa ipo nenda nje, hapa utakunywa dawa hadi uupe shida moyo wenyewe.
 
Huwa nadhan wanashindwa kusoma na kuelewa vipimo. Huenda huna hilo tatzo maana kuna mtu alishaambiwa ana kansa wakataka hata kumkata ziwa alikuwa ashaanzishiwa radiotherapy, kwensa india kumbe kansa hana wakaishia mpa dawa in a month alikuwa ashaanza kupata nafuu
Kweli mkuu ngoja niendelee kumuomba Mungu na kufanya check up mara kwa mara coz namuwaza saba mwanangu
 
Sana ndugu yangu yani hadi nakata tamaa maana niliambiwa nmepata heart failure lakini pengine wanasema sina hapa nimejichokea tu
Nadhani mkuu utakuwa umepata Pre-eclampsia. Huwa inatokea normally after mimba ikifika week 20 au baada ya kujifungua. Tafadhali tumia google kusoma kuhusu Pre-eclampsia na ufananishe na unachoumwa. Kama Upo Dar Naweza kukuelekeza zaidi kwa good physicians au gynecologists wazuri.
Pole sana na get well soon
 
Thanks a lot nimeisoma vizuri mkuu nikasoma na kitu kinaitwa postpartum cardiomyopathy ambayo ndio niliambiwa ninayo hospital ya kwanza nikaona dalili zinaendana sasa nachanganyikiwa mkuu coz wanasema wanashindwaga kuitambua coz hiyo ppcm ina future za pre eclampsia
 
Back
Top Bottom