tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Uteuzi wa Viongozi zinadhihirisha wazi kuna tatizo kwenye utaratibu wa "Vetting"

    Kwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu. Samia amekuwa akiteua na kutengua au kuwarejesha watu walioondolewa kazini kwa sababu mbalimbali. Na wapo ambao...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio sandaland, tatizo ni rangi za timu

    Huwezi pata jezi nzuri kwenye rangi nyekundu na nyeupe,ukijitahidi kuzichanganya zote mbili utapata vazi la mganga, unajua rangi za yanga nzuri sana,kwanza zinaonyesha vitu vilivyopo duniani, uoto wa asili na maji,pia dhahabu ila ukiangalia rangi za simba duuh nyekundu unamaanisha uchawi, hata...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume sio kwa wanaume tu siku hizi limehamia kwa wanawake

    Ibaki hivyo, wala sijakosea. Ipi ni maana sahihi ya nguvu za kiume? Nguvu za kiume ni uwezo wa kiumbe hai kulifurahia na kulistahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi. Hivyo hakuna kitu kinachoitwa nguvu za kike. Binadamu na viumbe vingine vyote vinavyojamiiana, vumeumbwa na uwepo wa nguvu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kiukweli hiki wanachoita eti ni tatizo la afya ya akili hakipo. Ni dhana tu au failure of thinking deeply

    Siku hizi Kuna dhana imeibuka karibu kila Kona eti tatizo la afya ya akili. Ki ukweli hakipo kwa sababu zofuatazo. 1. Mtua amemaliza chuo kikuu na alikuwa na malengo mengi ya maisha kama kupata kazi ya uhakika lakini miaka nenda Rudi kazi inakoseka. Sasa huyu mtu akianza kuchanganyikiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndio solution ya hili tatizo

    Tatizo ni nini? Sasa hivi kumekuwa na hofu kwa baadhi ya watu wanaokula samaki Sato na Sangara kutoka ziwa Victoria baada ya riport kuwa wakazi wengi wa kanda ya ziwa wanapata kansa na hili sio tu Tanzania imegundulika hata kwa upande wa wenzetu Uganda na Kenya kwenye jamii zinazozunguka Ziwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwenye pikipiki aina ya TVS, tatizo la kutochaji battery linasababishwa na nini?

    Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu chuki ni tatizo la kifikra zaidi na dawa yake hii hapa

    Sisi binadamu namna yetu rahisi ya kuelewa na kukumbuka mambo ni kwa kuyaweka mambo katika makundi mfano tunawagawa watu katika makundi kama marafiki, ndugu, watoto, maadui, warefu, wafupi, n.k. Makundi haya yanatusaidia kujenga picha ya haraka hata kama wakati fulani hatuwezi kuelezea wazi wazi...
  8. JamiiForums Tanzania Siku ya Afya ya Akili Duniani

    Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Oktoba. Lengo la siku hii ni kuongeza uelewa kuhusu masuala ya afya ya akili, kupunguza unyanyapaa, na kusaidia kutoa msaada kwa watu wenye matatizo ya afya ya akili. Inasisitiza umuhimu wa kujali afya ya akili kama sehemu muhimu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi hawa Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) ni tatizo, Waziri Aweso sikia kilio chetu Watumishi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji inayoongozwa na Waziri Jumaa Aweso. SUWASA inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Sebastian V. Warioba...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe vita vyote Palestina tatizo ni kugunduliwa kwa gas hapo Gaza

    Imefahamika Kwamba Gaza kumefanyika ugunduzi wa gesi. Kwasababu gas imegunduliwa kuwa na thamani ya USD Billion 500 lazima wazungu waingilie kati na kuwadhulumu wapalestina gesi yao. Popote kwenye mali hapakosi wazungu kuleta demokrasia. Popote kwenye mali asilia lazima wazungu waingilie kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda amwambia waziri wa Maji ndani ya wiki 3 tatizo la Maji katoro liwe Historia

    📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la kukosekana kwa Usd nchini! Mamlaka husika zina Habari?

    Kuna Tatizo kubwa la uwepo wa fedha Za dola nchini! Serikali imepiga kimya! Ni nini kifanyike?
  13. JamiiForums Tanzania Jerry Slaa, ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa umefikia wapi? Tinazikumbuka zile bilioni 350! Sasa mnazua zogo, wakati Hela mnayo ya kutatua tatizo

    Mwaka huu katika bajeti, Kuna bilioni 350 za ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa zilizua zogo, sijaona hata dalili ya mtu kuchimba msingi hapa Dodoma Wala Dar es salaam. Basi hizo Hela zielekezwe kununua vifaa vya upimaji, upimaji uwe bure nchi nzima, wanaodai fidia ya viwanja, walipwe humo.
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba ndio tatizo la kwanza kwenye klabu, wajitathimini wao kwanza kabla ya kuwatoa kafara wengine!

    Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao! Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa ni suala la muda tu ufike waumbuke, awa wakina Try again, mangungu, Mo mwenyewe, wamekuwa ni watu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi ya KVP Officer imetangazwa, wapiga zumari mko kimya! Tuna tatizo kubwa sana

    Tanzania ni Mojawapo ya Nchi inayopenda kuongozwa Kwa matukio, yaani akitokea MTU hasa MTU Mwenye njaa zake Huko basi mtatengenezewa tukio mtajiona nyie NDIO nyie. Miezi michache iliyopita Mwakyembe na mwandishi wake walijitokeza hadharani na kuja na allegations kibao, mitandao yote ikabeba hio...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ulinzi wa Israel Iron Dome wapata na tatizo la kutungua makombora

    Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la sikio kuunguruma au kama kuna maji sikioni

    Anayejua dawa asili au tiba asili ya tatizo hili natanguliza shukrani zangu.
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

    🤗
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nikilinganisha mapokezi ya Rais wa shirikisho la Ujerumani na Mfalme wa Uingereza, viongozi wetu hawajiamini. Tatizo ni nini?

    Juzi alikuja rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kutembelea nchi yetu kwa siku 3, wakati huo huo mfalme wa Uingereza Charles wa III aliitembelea nchi ya Kenya. Ukilinganisha mapokezi unaona Rais wetu kama ni mwoga hana muda hata wa kuchat na mgeni wake, vile vikundi vya...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Hizi mvua zote kwanini bado TANESCO wanakata umeme?

    Au ni mimi tu siyo sielewi chanzo cha huu mgao unaondelea sasa mwezi Novemba umeanza? Sasa hivi wamekata tena umeme na utarudi baada ya giza. -
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…