tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

    Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana . Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Biblia haijamilika inahitaji msaada wa nje, haiwezi kujisimamia

    BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA, Huruhusiwi kuongeza mke Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya, Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo mahali, dola hakuna sekta binafsi zinakufa

    Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo. Je, kitu gani...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wiki yatatu sasa napiga chafya kila mara na kwa mfululizo, kuna tatizo?

    Ikitokea nimeigusa pua tu basi zinaanza kumiminika chafya nyiiingi hadi kero, Nikipisha na mtu aliyejipulizia unyunyu tu, chafya zinanitoka si za nchi hii, Shemeji yenu akiwa anakarangiza na ile harufu kunifikia, chafyaaaa. Wakati mwingjne nikikaa tu, chafyaaa. Nikiingia chumbani, chafya tu...
  5. JamiiForums Tanzania Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

    Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
  6. JamiiForums Tanzania Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

    Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Makonda ni tatizo, dalili mbaya au suluhisho?

    Paul Makonda ni zaidi Katibu Mwenezi wa chama Tawala. Tumewahi kuwa nao wengi na wapo wengi wa vyama vingine. Hakuna kama Makonda uzuri na kwa ubaya. Kwa nini? 1. Kama Makonda ni tatizo basi halina suluhisho. Kwa sababu ndani ya chama tawala huyu ndiye ameonekana. Na kama huyu ndiye bora zaidi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jamani mnajizuia vipi na aibu hii mnapopatwa na tatizo la tumbo la kuendesha kwenye nyumba za watu wengi uswahilini?

    Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko. Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la sukari ni kama biashara ya watu wachache walioweka vizingiti, tabia hii imeanza kitambo

    Kuna kipindi ilishawahi Azam cola kushtakiwa kwa sababu kutumia neno Cola sababu wenye Cola waliona ni neno lao. Hili jambo la sukari ni kama monopoly business ambayo haitaki mwengine kuanzisha kiwanda cha sukari. Ni kama familia fulani au watu fulani walijiwekea ili biashara hii ya sukari...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la madereva siyo pasipoti bali gharama kubwa za vibali Zambia wanapotumia pasipoti za vitabu.

    Nimeona Makonda akisema madereva wapatiwe pasipoti kwa gharama za Mhe. Rais nikashtuka sana kwamba nchi ina viongoz wasiojua tatizo la watu wake Nchi ya Zambia ukiingia kama dereva kwa kutumia pasipoti kubwa ya Tanzania unalipishwa zaidi ya milioni moja kama gharama za vibali. Hii kero hata...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO nini tatizo hasa?

    Ni kero kutwa nzima hakuna umeme na bado usiku mnakata tena umeme na hali hii ya joto Dar es salaam. Hakuna taarifa wala nini unakuta hakuna umeme. Mmetulaza giza usiku kuamkia leo na sasa mmekata tena umeme . Hali hii tuishi nayo mpaka lini? Mbona mvua mikoani zinanyesha Morogoro mvua kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Internet ya starlink inafanya kazi tanzania tatizo ISP Starlink ni vikwazo na sheria wala sio huduma

    Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari. nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la kizunguzungu yapata mwezi mmoja

    Wakuu Nina tatizo la kizunguzungu / dizness na kuona maluweluwe yapata mwezi mmoja sasa nimeenda dispensary naona miyeyusho tu daktari kanipima tu pressure basi kasema ipo sawa ila nikajiongeza mwenyewe nikamwambia acheck damu na maji akadai atanicheck mpaka jumatano- week ijayo kama mnavyojua...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Inonga ana viwango vya Laliga na EPL. Tatizo tupo timu mbovu sana ya Simba

    Nimemfuatilia kwenye hii michuano ya Afcon. Hakika jamaa ni bonge la beki. Sema aliyemshauri kuja Simba kamuharibia sana.
  15. JamiiForums Tanzania Bashe, Isaidie saccos ya uwamigo ili ituokoe kwenye tatizo la sukari

    Habari wanaJF. Hii makala ni kwa waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe. UWAMIGO SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED yenye namba ya usajili PRI-MRG-KLS-DC-2023-5249, inapatikana kijiji cha Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro. SACCOS hii ina wanachama zaidi ya mia nne(400) ambao kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu tatizo langu la meno liko complicated nataka ushauri wenu

    Wakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi comfortability hakuna. Nilienda hospitali wakataka kung'oa nikakataa ikabidi wanipe dawa za...
  17. JamiiForums Tanzania The problem of evil and jealousy solved. ( Suluhisho la kuondoa tatizo la wivu na husda duniani)

    Wakati akina mwenzangu na Mimi bado wapo gizani waki ji stress kutafuta hela za kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za English Mediums ili waje wapate ufaulu mzuri secondary ili wafike Chuo kikuu ili wakimaliza Chuo kikuu wawe marketable kwenye soko la ajira ( a very stupid mission), akina...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Edward Olelekaita: Hakuna tatizo kubadili jina la Tume ya Uchaguzi

    Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya Uchaguzi iitwe jina gani, hivyo hakuna tatizo katika kubadili jina la sasa ambalo ni Tume ya Taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Suluhisho tatizo la simu kukwama (ku-stuck)

    Habari zenu wakuu, Simu yangu (Infinix Smart 6) inakumbwa na tatizo la ku-stuck mara kwa mara. Nifanyeje kuondoa tatizo hili??
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, tatizo la kukatika Umeme na Maji bado lipo eneo lako? Je, Mwenezi Paul Makonda amepita eneo lako?

    Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!? Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!? Je, shida zako zimetatuliwa!? Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais Magufuli, je wewe una maoni gani!? Je, umefarijika na ziara anazofanya mwenezi paul makonda kutatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…