tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Nne - Tarehe 08 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Psny9WO33AE
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tarehe 29 Oktoba 2025 haitasahaulika. Ujumbe kwa Samia na CCM

    CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba 2025 walipokuwa wanalazimisha kuongoza Nchi. Hii Video ni Ushahidi kwamba tarehe 29 Oktoba 2025...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Pili, Tarehe 01 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Ku1LCNIqQq8
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Pili, Tarehe 01 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/live/y2tNlsDr__w?si=9IPAOA2qmJC0XXky
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sijawai kuelewa mfumo unaotumika kuamua Pasaka kuwa mwezi Machi au Aprili?

    Wakuu, Habari wana JF na ndugu zangu katika imani, Kuna hili jambo naomba kusaidiwa na kupewa maarifa juu yake maana hunipa utata kuelewa kuhusu sherehe ya Pasaka, Viongozi wa imani hutumia mfumo gani kudhihirisha kwamba siku fulani itakuwa ni Pasaka, maana kuna wakati inakuwa mwezi wa tatu na...
  6. adriz

    JamiiForums Tanzania Nimepiga Ban hawa members mpaka tarehe 11 /5 /2026

    Moja kwa moja. Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Miliki apartment yako kwa bei za chini kabisa kabla ya tarehe 1 mwezi wa 3 mwaka huu. Nipigie uje site

    Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara, Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2. Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote

    Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote. Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi anaumwa tumbo hajafika tuhairishe kesi.
  9. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda 45th Tarehe Sita Celebrations

    Today Uganda Commemorates the 45th Tarehe Sita anniversary honoring the Uganda People’s Defense Force(UPDF) for its role in maintaining national peace and sovereignty since its origins in the 1980s liberation struggle. It commentates the 1981 attack by National Resistance Army on Kabamba...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Tisa, Tarehe 06 Februari, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=qNSa_QV1MuI
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tarehe 09 Februari 2026. Twende Mahakamani kwa Lissu

    Twende kwa wingi. Kwa umoja, Kwa amani, Kwa utulivu Kusikiliza kesi ya Lisu kama itakuwepo maana wanaweza kupokea maagizo yoyote kutoka JUU. UPO HAPO MASAJU? USIRUHUSU MAAGIZO
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Sita, Tarehe 03 Februari, 2026

    Fuatilia LIVE HAPA: https://www.youtube.com/watch?v=wpq88St0dcA
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Sakata la Interview za Air Tanzania leo tarehe 31 January 2026

    Kama kuna siku vijana wamejisikia kama wako kwenye onyesho la futuhi—lakini lisilo na kicheko chochote—basi ni siku ya usahili wa ajira wa Air Tanzania leo pale DUCE. Kilichotarajiwa kuwa zoezi la kitaalamu, la haki na la kutoa matumaini, kimegeuka kuwa kilio chenye maswali mengi kuliko majibu...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Nne, Tarehe 30 Januari, 2026

    Baadhi ya wabunge wakiwasili bungeni jijini Dodoma leo Januari 30, 2026 kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa pili wa Bunge la 13. Katika shughuli za leo, kama ilivyo kawaida, kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge watauliza maswali na kujibiwa na serikali. Aidha, Bunge...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 29/01/2026 ni siku ya kumbukumbu ya mauaji ya MO29

    Tunawakumbuka waliouawa, waliojeruhiwa, walioumizwa, waliopewa ulemavu wa kudumu na serikali haramu ya Samia siku ya tarehe 29/10/2025. Vijana GenZ na Watanzania wote ili kuwaenzi wahanga itapendeza ukivaa nguo nyeusi ikiwezekana yenye picha za wahanga.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mishahara upoje iwapo kama mwajiriwa akiajiriwa na serikali tarehe za mwisho wa mwezi?

    Habarini wanajukwa? Naomba kujuzwa hivi kama ikitokea mtu ameajiriwa na serikali tarehe 23 mwezi wa nne je anaweza kulipwa mshahara wa mwezi wa nne au inabid aanze kulipwa mwezi wa 5?
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wazee wanatoa maazimio yao juu ya kilichotokea tarehe 29 Oktoba

    https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI MAAZIMIO YA MAZUNGUMZO YAWAZEE KUHUSU UJENZI WA AMANI, UMOJA NA HAKI NCHINI TAREHE: 22 JANUARI 2026 MAHALI: DARES ES SALAAM, UKUMBI WA MWALIMU NYERERE FOUNDATION Imewasilishwa na: Mzee Joseph W. Butiku, M/Kiti Bodi ya Wadhamini,Mwalimu Nyerere...
  19. passioner255

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29

    Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Marekani kusitisha kwa muda usojulikana utoaji wa viza kwa nchi 75 Duniani ikiwamo Tanzania rasmi kuanzia tarehe 21 January

    Kitengo cha serikali ya Marekani maarufu kama "State Department" kimetangaza kusitishwa kwa utoaji wa viza za kuingia nchini Marekani kwa nchi zipatazo 75 nyingi zikiwa ni kutoka barani Afrika Tanzania ikiwemo. Sababu ilotolewa na kitengo hicho imesema raia kutoka katika nchi hizo wafikapo...
Back
Top Bottom