tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mpaka Leo tarehe 4.9.24 Kuna watu Bado wanaenda chumvini?!!!!

    Nauliza tu Ili nijue wakuu. Hii itaniwezesha kushangaa ya ulimwengu maana nilijua hilo jambo limeshakuwa historia Sasa hivi.
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania P.Didy kutoka gerezani mapema baada ya tarehe kubadilishwa

    Rapa na mfanyabiashara wa muziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ameongezewa matumaini ya kutoka gerezani mapema baada ya tarehe yake ya kuachiwa kusogezwa mbele kwa mara nyingine. Kwa mujibu wa taarifa mpya kutoka Bureau of Prisons, Diddy ambaye anahudumu kifungo katika Federal Correctional...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Mnyika anavyocharaza vingwendu mahakama leo tarehe 01.09.2026 Je apewe PHD?

    Wadau kichwa cha habari chajieleza hivyo naomba majibu yenu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho Leo September...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Nne, Kikao Cha Nne Tarehe 01 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=zPQSmOhrGS4
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatatu Agosti 31.2026, kama ilivyo kawaida mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Nne, Kikao Cha Nne Tarehe 31 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=2XmXCILzRxk
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Wanabodi Je wajua kuwa hapa tunapozungumza, Tanzania tunao Makamu wawili wa rais?,kati ya hao wawili,mmoja ni halali hadi tarehe 4 September, na mwingine ni batili kwa ubatilifu hadi tarehe 4 September ndipo anakua halali! Kwa mujibu wa barua ya kujiuzulu ya Dkt. Nchimbi aliwasilisha barua...
  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Nchimbi alijipangia tarehe ya kujiuzulu rasmi ambayo ni 04/09/2026 huo muda angefanya kazi na nani? Au hajui athari za tukio alilolifanya?

    Alitoa barua ya kustaff tar 25/9/2026 na kujipangia kuwa atajihuzuru tar.4/9/2026 sijajua alitaka afanye nini ofsni huo muda na nani na wapi ? Ili Hali ashaonyesha usaliti mkubwa kwa Taifa na kwa chama au naye hajui athari za aliyoyafanya? Au tuseme uchawi upo 🤣 Nadhani naye Bado hajui amefanya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Nne, Kikao Cha Kwanza Tarehe 26 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=8BRE4ErdPYg
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ona kosa la msimamizi wa haki. Kama anaweza kufaya hii akijua inakwenda hadharani, ya ndani je! Tarehe ya hukumu! Mwezi wa 19 & 21 Septembr, 2026

    Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje? Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya Mwisho ya MOU ya Iran/Marekani ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa kitafuata?

    Tarehe ya Mwisho ya Iran ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa? Tarehe ya mwisho ya Iran iliisha na Iran haikujisalimisha, haikufungua Mlango-Bahari wa Hormuz, na kulingana na ripoti ya Wall Street Journal ilitumia dirisha lote la mazungumzo kufanya jambo moja ambalo hakuna mtu huko Washington alitaka...
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tumsifu YESU KRISTO jumamos ya kesho tarehe 14 tutasherekea kupalizwa mbinguni kwa mama yetu HANGAYA bikira mariam

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tumekombolewa kwa mateso makali sana ya mwana wa MUNGU YESU KRISTO ambaye alipitia katika tumbo la mama bikira isaya 7:14 na pia soma isaya 9:6 Mama huyu bikira alizaliwa katika mji wa daudi mnamo miaka 700 toka nabii isaya kuishi alizaliwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane taarifa, Kesi ya Lissu tarehe 10 Agosti ipo kama ratiba inavyosema?

    Nakumbuka kama vile ilipangwa kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 10.8.2026. Ratiba bado iko hivyo au kuna mabadiriko?
  16. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Ni wale wanaopata pension zao kupitia msajili wa Hazina. Mpaka leo tarehe 2 bado hawajapata pension zao na wanateseka kweli.
  17. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  18. D

    JamiiForums Tanzania Pre-Session Meeting ya tarehe 05 Agosti 2026 - Ni mwanzo kwa ATL kuwa Huru na Masharti ya Common Wealth Kufuatwa???

    Mnamo tarehe 31 Julai 2026 Mahakama Kuu umetoka barua yenye kichwa cha habari Pre Meeting Session kuhusiana na kesi ya ATL. Je, huu ndiyo tutegemee DPP akisema Hana nia ya kuendelea na kesi hii ya Uhaini na baada ya hapo kumuona Mh. ATL akikaribishwa Ikulu kupiga picha na Namba 1??? Je...
  19. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Nina idea ya HIV POSITIVE CARRIER MARATHON itafanyoka Dodoma siku na tarehe kama ya leo mwezi wa 11.

    Nipo siriaz na nitajaza Dodoma mara kumi zaidi ya leo. Wadau na ambao mpo siriaz mnifuate PM NB: Hii idea kama IP ipo copyrited. Nawasilisha nikiwa na moet 3 pembeni hapa ya mfanyakazi wa zamani wa zile ndege za Dar to mbeya kwa elfu 60,000/=.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lipige marufuku na kuzuia mkusanyiko unaotaka kufanywa na BAVICHA mkoani Dodoma tarehe 12 Agosti kutokana na kuwa na viashiria vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa . Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
Back
Top Bottom