Mliokuwa hamjui ni kwamba;
Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..."
Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
Na katika hali ya sasa katiba imeshindikana kabisa kupatikana kwa njia ya kidiplomasia
Kwa muda mrefu zimekuwa ni sinema zetu za kujirudia
Vijana wengi sana tumewapoteza waliouwa wakitaka katiba mpya na kilele kilikuwa ni October 29
Je muda huo Nchimbi alikuwa wapi akikemea ? ndie anataka...
Mbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani.
Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua...
8/8/2026 utafanyika uzinduzi mkubwa sana wa kampeni ya OPOWAZ hii ni kampeni rasmi ya kuwaondoa wazanzibari Tanganyika na watanganyika warudi nyumbani kila mmoja akae kwake ajenge nchi yake hivyo basi kama umepangisha mzanzibar jiandae kumuondoa kwaamani kukwepa hasara ,
Nduguzetu watanganyika...
Hello wanajukwaa,
Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
Anonymous
Thread
afya
jamiiforums
kigamboni
kituo
kituo cha afya
mrejesho
taarifa
tarehe
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu
Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu kuandamana muda mrefu zaidi kuliko waandamaji wenyewe jambo ambalo linachosha vyombo vyetu .
Kama wataamua kuahirisha hiyo tarehe na kutangaza tarehe nyingine wataendelea kuleta mzigo mkubwa na uchovu Kwa vyombo vyetu kwakweli
Maandamano yanaruhusiwa...
Wamesahau kuwa waafrika wengine ndio waliowaunga mkono katika mapambano yao dhidi ya ubaguzi wa rangi! Leo waafrika toka nchi zingine ndio wanaowindwa na kufurumishwa bila heshima yoyote!
Kwa maneno wanadai wanapinga wagamiaji haramu, kakini kwa vitendo wanavamia waafrika wowote na kuwatimua...
Wananchi wa Tanzania wanaendelea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7.
Wanataka TUNDU LISSU aachiliwe huru.
Wanadai Katiba Mpya
Kutaka Mateka wote waachiliwe huru
Na utawaka haramu utoke madarakani.
Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe:
4 Oktoba 1966:
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea.
Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejiandaa kikamilifu kwani huwa mnakosa tactical na kutangaza mapema mtachafua sana Lami...
Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia
Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira.
Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na...
Wakuu baada ya kuona wenzetu wa Kenya Uganda Ethiopia na kwingineko Duniani wakifurahia ubingwa WA timu pendwa ya Arsenal na hapa Dar nilipanga niende viwanja vya posta lakin baada ya kuona wameingiza siasa na kuweka mgeni rasmi siwezi kwenda tena kama kuna chimbo jingine naomba nielekezwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.