Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:03:00 katika 42km full marathon..
Tutegemee medali!!
Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha..
Kenya wenzetu kupitia Ntv
Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza.
Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo.
No reforms no ELECTION
Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ?
Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea.
Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Usiandamane kwa...
Kutoka Twitter anasema alitaka kujinyonga kutokana na depression za maisha, lakini ameahirisha hadi siku ya maandamano ya Mange Kimambi tarehe 29/ 10/ 2025.
Rais wa Nepal, Ramchandra Poudel, amelivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya utakaofanyika ifikapo Machi 5, 2026. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja ya machafuko makubwa yaliyosababishwa na maandamano ya vijana.
Uamuzi huo ulitangazwa jana Ijumaa, saa chache baada ya Rais Poudel kumteua na...
Siku hii inashikwa kwa nguvu ya yamba 9, namba ambayo inatoa ukamilifu wa mzunguko kabla ya mzunguko mpya, ni siku muhimu sana kwa sababu inatoa nafasi ya kumakizia Ili kuanza tena namba Moja katika mfumo wa dijiti moja (1-9).
Ikumbukwe kila namba Ina nguvu na mtetemo wake unaovuta hali na...
Habari
Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi
Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya
Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa
Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare...
Uongozi wa Simba umempa kocha mechi 1 ya angalizo ambayo ametakiwa kushinda ili kuendelea kubaki klabuni hapo.
Endapo Simba itafanya hivyo, basi zigo la lawama atakuwa akisukumiwa Fadlu kipindi yeye hayupo kila timu ikifanya vibaya.
Ndugu zangu watanzania,
Tarehe 8/9/2025 ndo WATANGANYIKA tunaanza harakati za ukombozi huru wa taifa letu. Kama wewe kijana mpenda nchi yako tukutane mahakamani siku hiyo kwenda kumpa sapoti na kumpigania shujaa wetu,
Ni siku muhimu sana kwetu kwenda kuiandika historia mpya ya kumuunga mkono...
Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki.
Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana...
Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi.
Yanga hawangaiki tena...
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi.
2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya mikopo imesogezwa mbele kutoka tarehe 31 Agosti hadi tarehe 14 Septemba, 2025.
Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu...
Hakuna siku kama ya Leo muda unaenda taratibu kama konokono.
Yani kesho tu inachukua karne kufika.
Mwamba britanicca katuahidi atasimamisha taifa kwa kutuletea habari Kali na nyeti.
Yani tunavyopenda umbea hatuwezi subiri.
Hapa nilipo najilazimisha kulala ili masaa yaende faster lakini...
Habari ya Wednesday Wana Jf,
Neno la Leo Kwa ufupi,
Watu tunasahau sana tukidhani tutatawala daima. Tukumbushane tu ZAMA hupita. Leo watu Wanadai Haki na mambo mbalimbali Kuna viongozi hawaumizi kichwa Katika Hilo lakini miaka MITANO iliyopita waliitaka hiyo Haki.
Nani asiyejua kuwa Kuna...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata
Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team
Simba acheni uoga...
Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo
Ulishawahi kufikiria hili?
Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo.
Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu:
BC (Before...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.