Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
Kama ambavyo Abel alivyomlilia Mungu damu yake ilivyomwagwa na Cain, ndivyo hivyo damu za watanzania zaidi ya elfu 10 waliokuwa wanadai Tanzania bora vilimlilia Mungu.
Kama ambavyo Mungu alivyosikia kilio cha Abel vivyo hivyo kwa watanzania. God'sJustice is inevitable and it is comming.
Nilikuja na post Zawadi yangu ya kuzaliwa: Kuwapa wengine tabasamu
Jioni ya juzi, tarehe 24 Desemba, nilihitimisha safari yangu ya kuwasaidia familia kadhaa. Ingawa hazikuwa nyingi, familia wachache tulizozitembelea walifurahia msaada wetu. Kila familia ilipokea mchele, sukari, na kuku mmoja...
Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa.
Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period.
Kwa vilaza 👇👇👇
Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
Effective January 1, 2026, at 12:01 a.m. EST, in line with Presidential Proclamation 10998 on “Restricting and Limiting the Entry of Foreign Nationals to Protect the Security of the United States,” the Department of State is partially suspending visa issuance to nationals of 19 countries –...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1
Itolewe kwa Uharaka
Dar es Salaam, 12 Disemba 2025
Na. 028
Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
Yaani Samia na genge lako mnataka tu maandamano yaishe kirahisi rahisi tu?
Wakati ujinga na upumbavu bado unaendelea?
Maandamano yaishe Lissu akiwa bado gerezani?
Maandamano yaishe Polepole akiwa bado anateswa kigamboni kwenye safehouse?
Maandamano yaishe kesi na kamata kamata kwa Watanzania...
Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo.
Kwanini ulinzi wa kuilinda Dola, usitumike kulinda Rasilimali za Nchi na kuzuia ufisadi na mafisadi. Nafikiri Kuna haja...
DeletedMember281674
Thread
december
dola
katika
kulinda
nchi
rasilimali
rasilimali za nchi
tarehe
ufisadi
ulinzi
Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea.
Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata watanzania wa kawaida wataanza rasmi kuandamana.
Hakuna Kiongozi wa Chama chochote, wa Taasisi yoyote aliyepeleka barua polisi kuwajulisha kuwa wataandamana,kuruhusu jambo ambalo haliko official utakuwa ni uwendawazimu mno.
Taarifa za mitandaoni haziwezi kuwa official, kama kuna viongozi fulani walikataa wito wa polisi kwa kudai hawajaitwa...
Maoni yangu kwa Wananchi na Gen Z. Kwenye maandamano yatayofuata tufuate siku ambapo kuna public event ambayo lazima watu watatoka.
Siku ya uchaguzi ilikuwa rahisi kwa sababu hawakuweza kuzuia watu wasitoke maana watu walitakiwa kwenda kupiga kura.
Awamu nyingine iwe kwenye mikutano ya...
Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini...
Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
serikali
serikali ya tanzania
siku
suluhu
tanganyika
tanzania
tarehe
uhuru
uhuru wa tanganyika
watanzania
Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana.
Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
Anonymous
Thread
amani
chuo kikuu huria
december
dhidi
huria
kikuu
maandamano
maandamano ya amani
mbovu
open
open university
tarehe
university
uongozi
uwajibikaji
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika...
Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa.
Nikashangaa maana sio kawaida.
Mzuka wana Jamvi ?
Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
Naona mashekh wanaendelea kukiwasha kuwajibu TEC lakini bila hoja za maana. Hii vita sasa ni mbaya kunakoelekea!
===================
Wanaokusudia kuandamana tarehe 9 Desemba, sisi kama Waslam tutatoka kwenda kukabiliana na watu hao kwa sababu tunahitaji amani yanchi. Hapa Tanzania tunahitaji...
Mambo si mambooooo!!
Vijana wadogo lakini Wenye Akili kubwaaaa ,Akili nyiiingi !!.
Toeni Pesa Bank.
Nunueni Vyakula Kwa ajili ya Wanafamilia.
Waandamani tuonane Field !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.