GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,922
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia.
Jana tu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said bila ya Aibu na huku akisahau kuwa japo huko Yanga SC kuna Mazuzu wengi ila huku kwa wana Simba SC tupo Wanamichezo wenye Akili Kubwa na kamwe hatuko tayari Kukubali Kudanganywa kwa Usanii wake wa Mchana Kweupe.
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said jana kasema kuwa Kampuni ya GSM ambao ndiyo Kit Sponsors wa Jezi za Yanga SC wameingia Mkataba wa Jezi na Yanga SC wa Tsh Bilioni Kumi ( 10 ) kwa miaka Mitano huku kila mwaka Yanga SC ( Mazuzu FC ) wakipata Tsh Bilioni Mbili ( 2 ) tu tofauti na Tsh Bilioni Nane ( 8 ) ambazo Yeye Mwenyewe akiwa ni Muakilishi wa GSM ( kabla ya kuwa Rais hivi ) akisema ndiyo Pesa wanayoipata kutokana na Mauzo ya Jezi.
Hongereni mno wana Yanga SC ( Mazuzu FC ) kwa Kukubali rasmi kupokea Mgawo wa Mauzo ya Jezi zenu wa Tsh Bilioni Mbili na si tena Tsh Bilioni Nane na kumruhusu Rais wenu Yanga SC Injinia Hersi Said ajipatie 'Kiubwerere" Tsh Bilioni Sita kila mwaka zikiwa ni Pesa zake Binafsi.
Upuuzi huu hautoukuta Simba SC!!!!