tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kutokana na mwenendo wa Spika wa bunge , Je, kuna haja ya Raia kuendelea kuiheshimu Katiba ya Tanzania ?

    Wakuu naomba kukiri kwamba mimi si mtaalam wa sheria za Tanzania , hivyo uzi wangu waweza kuwa na mapungufu kadhaa , lakini ni dhahiri kwamba kwenye nchi hii sheria za uchaguzi zinawataka wagombea kudhaminiwa na chama cha siasa , kwa maana kwamba ili uweze kukubaliwa na Tume ya uchaguzi kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

    Imeshatua wakuu, tusubirie dawa. Hao hapo madaktari wetu bingwa ambao ni ujumbe kutoka Tanzania wakiwa Antananarivo. UPDATES Hatimaye Waziri wa mambo ya nje Prof. Palamagamba Kabudi amekabidhiwa mzigo wa kutosha kabisa wa COV tayari kuuleta Tanzania kuanza kutumika kwaajili ya Covid 19.
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wahitimu wengi nchini Tanzania lugha ya Kiingereza ni tatizo! Hii ni hadi kwa waalimu na viongozi wakubwa tu!

    Habari wakuu Mimi binafsi nimejaribu kuangalia mwenendo wa watanzania, elimu yetu na kujua lugha ya kimataifa (Kiingereza) ambaya usipoijua kwa dunia hii ya sasa basi unapoteza fursa nyingi sana hapa duniani na kuonekana mtu ambaye hujasoma (kukaza) (,"kitu ambacho sio kweli kwa upande...
  4. JamiiForums Tanzania Territory Sales Manager at Airtel Tanzania Plc

    About us Bharti Airtel Limited is a leading global telecommunications company with operations in 20 countries across Asia and Africa. Headquartered in New Delhi, India, the company ranks amongst the top 3 mobile service providers globally in terms of subscribers. In India, the company's product...
  5. JamiiForums Tanzania Zitto aituhumu Serikali kuficha takwimu za wagonjwa na vifo vya COVID-19, adai Zanzibar pekee vifo ni 32 na wagonjwa 235

    Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
  6. JamiiForums Tanzania Shirika la Fedha Duniani (IMF) laidhinisha fedha kwa ajili ya Kenya na Uganda kusaidia kupambana na makali ya uchumi

    Shirika la Fedha Duniani leo limeidhinisha fedha kwa ajili ya nchi za Kenya na Uganda. Fedha hizi ni kwa ajili ya kusaidia kupambana na makali ya kiuchumi yaliyosababishwa na janga la Corona. Kenya imepatiwa Dola za Marekani milioni 739 huku Uganda ikipewa Dola milioni 491. ====== The IMF...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Private Sector kwenye mfumo wa kiuchumi Tanzania

    Ninaendelea kuiboresha pole pole kadri nipatapo muda, lakini hoja itahusu yafuatayo : 1. Mtazamo wa jamii kuhusiana na wafanyabiashara sector binafsi. 2. Mfumo wa uchumi kwa ujumla kuhusiana na secta binafsi. 3. Mtazamo wa wanasiasa na serikali kuhusiana na Biashara na secta yote. 4...
  8. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

    Hii nchi ina maajabu sana, pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la Ndanda kupitia CHADEMA kutangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na Ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni...
  9. JamiiForums Tanzania Zabuni kutoa huduma mbalimbali serikalini mikoa yote Tanzania

    Kama kuna mdau/Mzabuni anatakaa kutoa huduma mbalimbali Serikalini za (Vifaa vya Ujenzi, Stationary, Vinywaji, vyakula, vipuli vya Magari, Mifumo ya IT, n.k) kila mkoa-Tanzania kwa mwaka 2020/2021 ( *Tambua-bila kusajiliwa hutatoa huduma serikalini*) Kazi zimetangazwa na GPSA kupitia Mfumo wa...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA: Mkurugenzi wa ICAP Tanzania, Dkt. Fernando Morales afariki Dunia

    Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na masuala ya Afya – ICAP kutoka Chuo Kikuu cha Columbia New York, Dkt. Fernando Morales amefariki dunia Habari zaidi kukujia punde WASIFU WAKE (KWA UFUPI) Dr. Fernando Morales is ICAP’s country director in Tanzania. In this role, he...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jinsi corona inavyoshughulikiwa Kenya na Tanzania

    Kenya wamefanya lock down na hasa katika miji mikubwa kama Nairobi na Mombasa ambayo ndio malango makuu ya Kenya. Sasa wana visa 490 wakati Tanzania ina visa 480. Kenya wanaripoti visa vipya (updates) kila siku, sisi mara moja kwa wiki 2. Kenya wamepima watu 24,784, Tanzania imepima watu 652...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A night Kajiado's Governor closed the border btn Tanzania and Kenya, this happened

    Road linking 3 counties closed as cracks develop on bridge Hundreds of commuters heading to Bungoma, Kakamega and Busia counties were Monday morning forced to seek alternative routes to their destinations after part of the bridge linking the three counties collapsed. The river has burst its...
  13. W

    JamiiForums Tanzania President Magufuli Queries Tanzania Coronavirus Kits After Goat Test Positive (+)

    Coronavirus test kits used in Tanzania were dismissed as faulty by President John Magufuli on Sunday, because he said they had returned positive results on samples taken from a goat and a pawpaw. Magufuli, whose government has already drawn criticism for being secretive about the coronavirus...
  14. JamiiForums Tanzania Dodoma: Pamoja na katazo la Kiongozi wao, Wabunge kadhaa wa CHADEMA wakiwemo Silinde na Lijualikali wahudhuria bungeni

    Wabunge wawili wa Chadema, David Silende (Momba) na Peter Lijualikali (Kilombero) wamehudhuria bungeni leo licha ya chama chao kuwataka wabunge wake kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona Mbunge wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali, Hivi karibuni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

    Baada ya kunyanyasika vilivyo nchini Rwanda madereva wa malori wa Tanzania wamejichukulia sheria mkononi kuyazuia malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini. Inasemekana baada ya Rwanda kuudhibiti ugonjwa wa Corona vilivyo nchini mwao, kitisho pekee kwa sasa kimebakia kuwa kutokea kwa wageni...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni msanii gani Tanzania unatumia nguvu kubwa sana kumtetea utafikiri unalipwa?

    Hey Hey! Note: COVID-19 is REAL Chagua kwa uangalifu wa kumskiliza. BACK TO THE TOPIC. Je, ni msanii gani hapa Tanzania umekuwa unaumia sana akitukanwa au kukosolewa na hivyo kupelekea wewe kutumia nguvu kuuubwa sana kumtetea mitandaoni na vijiweni utadhani unalipwa?
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tukio la kijiografia la mwezi mpevu sana (Supermoon) litatikea Nchini Tanzania siku ya Alhamisi tarehe 7/5/2020 saa 13:45

    Inafakamika kila baada ya miaka kadhaa kutokana na njia ya mwezi angani kuna wakati mwezi kupita karibu sana na na Dunia. Hali hiyo ya mwezi kupita karibu na Dunia ndiyo inayoitwa mwezi mpevu sana ambapo mwezi huonekana kwa karibu na kwa uku wa zaidi kuliko nyakati nyingine. Tukio hili...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Tanzania kutoendelea ni unafiki wa watu wake

    Naomba niwe mkweli kwa roho na mwili sababu kuu ya watanzania kutokuendelea ni tabia yetu ya unafiki. Siamini macho yangu Kama kwa madudu yote ya awamu ya tano bado Kuna watu wanasabotage upinzani imara. Mheshimiwa Mbowe nakuomba Sana uwe na moyo mkuu utapita kwenye kila changamoto Ila ujue...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu zaidi ya 400 wamekwama India na wanapigana kuja Tanzania wamekwama

    Please Serikali iwasaidie ndugu zetu zaidi ya 400 waliokwama India wanataka kuja nyumbani. Ubalozi wa India utoe ushirikiano wa kutosa watu mpaka wanalia hali ngumu walipo wanaogopa kwamba hawapo salama. Wapo wanafunzi, wagonjwa walioenda kutibiwa, wafanyabiasha. Please Air Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

    Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19. Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…