Hakuna ubishi kwamba kilimo ndo kimekuwa nguzo kuu ya uchumi wa Tanzania, ambapo kilimo kinachangia 24.5% kwenye GDP.
Kilimo kinachangia asilimia 85 kwenye total export, na pia nusu ya waajiriwa wote wanatokea kwenye sekta ya kilimo, kwa mujibu wa data zilizopo mitandaoni. Lakini kwenye uchumi...