tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania 5 Top Investment Opportunities in Tanzania

    Here are my favorite sectors for Tanzania for all those new investors coming to town: Telecom and ICT The potential in telecom and ICT in Tanzania remains largely untapped. But the potential is too great to ignore and movement in the sector has already showed that the country is on the right...
  2. JamiiForums Tanzania Wachezeeni na Waibieni Watu wote wa Makabila mbalimbali nchini Tanzania, ila Kaeni mbali kabisa na Wazanaki

    Watu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili. ITV Tanzania Wewe eneo limetoa Raia...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ipo sababu ya kuwa na Designated Survivor?

    Kwa tafsiri fupi wasiojua maana designated survivor, huyu Ni mteule wa hatamu ya uraisi ambae huteuliwa na raisi au kamati kuu ya usalama ya nchi au bunge, huyu mtu huteuliwa Palo ambapo viongozi wakuu wa nchi wanapokutana mfano leo Bunge lilipokuwa linavunjwa tumeona viongozi wakuu wamekutana...
  4. JamiiForums Tanzania Trachoma Focal Person at Crown Agents and ASCEND Tanzania

    Introduction Accelerating the Sustainable Control and Elimination of NTDs (ASCEND) is a £200 million investment from the UK government’s Department for International Development (DFID), to advance the impact and sustainability of national programs tackling neglected tropical diseases (NTDs). To...
  5. JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu wa Tanzania wapo Dodoma wakisubiri hotuba ya Rais Magufuli

    Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu Dr. Gharib Bilal wakiwa Bungeni mjini Dodoma wakisubiri kusikia hotuba ya kulivunja Bunge leo kutoka kwa Rais Dkt. John Magufuli.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtozi Aloyce Nyanda nini kilitokea jana kipindi cha Agenda 2020?

    Ndugu zangu habari za asubuhi! Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu (mwalimu, kamanda na kiongozi wa BAVICHA Taifa) huyu walikuwa naye Ilemela Mwanza studioni. Mwingine alikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kipanya: Muheshimiwa Supika umasikini wa Tanzania kwa kila nafsi umepungua sanaaa

  8. JamiiForums Tanzania Serikali: Kwa sasa Tanzania ina wagonjwa 66 wa Corona nchi nzima ndani ya mikoa 10 na mikoa 16 haina wagonjwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia leo mchana, kulikuwa na wagonjwa 66 wa #COVID19 katika mikoa 10 hapa nchini. Akihutubia Bunge JijinI Dodoma, Waziri Majaliwa amesema mikoa 16 ikiwemo Arusha, Pwani, Manyara, Katavi, Rukwa na Kagera haina mgonjwa wa Corona. Ameongeza...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, Sh34.88 trilioni

    Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, 2020. Katika kipindi hicho Serikali imepanga kutumia Sh34.88 trilioni kutekeleza shughuli zake zikiwemo za maendeleo. Kura 304 kati ya 371 zilizopigwa. Kura 63 zimepigwa...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Ruja, mwanamama aliyewatapeli watu pesa yenye ukubwa wa nusu ya bajeti ya Tanzania na kupotea kwenye uso wa Dunia

    Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maendeleo Norway yakanusha taarifa ya Daily News kuhusu Tanzania na mapambano dhidi ya COVID-19

    Wakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachina walilia serikali yao waondolewe Kenya

    Kama ilivyo kawaida ya kenya ile tabia yao ya kwamba kila kitu kinzuri ni cha kwao, hatimaye wamefanikiwa kuwapiku wachina, kwani wanadai ugonjwa wa corona umeanzia kwao na ni mali yao, na sasa hawauiti corona virus au Wuhani virus bali unaitwa Nairobi virus. Wachina bahada ya kugundua njama...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji: Sheria mpya inaenda kuua uzalendo na uwajibikaji wa viongozi wakuu wa mihimili, na nguvu za mihimili anaenda kupewa Rais

    Tanzania abolishes Public Interest Litigation (A Comment on the Amendment of Basic Rights and Duties (Enforcement) Act (Cap. 3 of the Revised Laws of Tanzania) By Issa G. Shivji Emeritus Professor of Public Law University of Dar es salaam The National Assembly of Tanzania on 10 June 2020...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda katika picha

  15. JamiiForums Tanzania Kwanini sukari imekuwa ni kama anasa kwa Tanzania na kwa mwelekeo hapa Serikali imechemka

    Ndugu zangu wana jukwaa hebu tujadili pamoja jambo hili la Sukari kwa Tanzania na bei yake ambayo sasa ni kero kwa nchi nzima, tulishuhudia Waziri akitangaza bei elekezi lakini cha ajabu bei iko juu palepale kwa maana ya Tshs 3000 na kuendelea. Sasa tuamini hii ni biashara ya vigogo wenyewe...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi ya teknolojia ya kidijitali katika kuendeleza uchumi wa Tanzania

    Katika miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara imeongezeka mara dufu. Kwa mujibu wa GSMA (Shirika la Kimataifa la Makampuni ya Simu), mpaka mwisho wa mwaka 2018, idadi ya watumiaji wa simu za mkononi katika eneo hili ilikuwa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Vyama vyote tumuunge mkono Rais Magufuli kwa maendeleo ya Tanzania

    Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi nchini Tanzania. Kwa uchapakazi, uzalendo, uthubutu, ujasiri na Uungwana wa mheshimiwa Rais Magufuli, wananchi wengi ndani na nje ya bara la Afrika wanatamani sana angekuwa Rais wa nchi zao. Kama taifa, ushahidi upo wazi katika kasi ya miundo mbinu ya maendeleo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi ipi yenye wasichana warembo zaidi?

    Kuna battle nimeiona sehemu fulani kati ya Wakenya na Watanzania kila upande ukijinadi kua na warembo wazuri kumshinda mwenzake, binafsi mimi mara yangu ya kwanza kufika Kenya nilipata shida sana kutofautisha kati ya mwanaume na mwanamke kwani wanawake wengi wa Kenya hawana tofauti na wanaume...
  19. JamiiForums Tanzania Lack of competence: Dr. Imni Patterson is slowly dragging the American Embassy in Tanzania in "Muddy" water

    Dear JFnetizens, It is with deep sorrow that I write this piece of thread regarding the "dirty" status of the American Embassy in Tanzania and the EU after their articles of condemnation on the fabricated attack of the leader of the opposition party- Mbowe, A quick links to the articles of...
  20. JamiiForums Tanzania Bajeti inayothibitisha azma ya kuwa na Tanzania ya viwanda na taifa linalojitegemea

    Habari wanaJF, Sina shaka na weledi wa wanaJF wengi humu jamvini, ndio maana nina ujasiri wa kuleta thread hii njema kabisa kwa mustakabali wa taifa letu. Tukiondoa tofauti zetu za kiitikadi na kuja pamoja kama taifa tutatambua kuwa kwakweli bajeti hii ya 20/21, imelenga moja kwa moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…