tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Wajasiriliamali wa Tanzania tuna lipi la kujifunza kutokana na makosa ya kiufundi / kitaalam ya Mr. Kuku?

    Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming. Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yapaa tena kimataifa

    Wana-JF, Nimeangalia Al-jazeera kipindi kifupi kilichopita. Nchi yetu imepaa tena kwa taarifa za kuzuia uhuru wa vyombo vya habari. Safari hii ni habari za kuvibana vyombo vya nje ya Tanzania:
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa 2020 unaenda kuitambulisha Tanzania ya miaka 100 ijayo

    Huu uchaguzi una maana kubwa sana kwa taifa la Tanzania. Ni uchaguzi unaoenda kui 'define' Tanzania kwa karne moja ijayo. Nchi hii iko katika njia panda, kuna hatma za aina mbili au tatu nchi inayoweza kuzifuata na yote hayo yanategemea mambo kadhaa. Ila ninachoweza kusema ni kuwa haijalishi...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania: Meet the Only Electricity Power Train In East Afrika

    Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania pekee ndiyo yenye treni ya aina ya SGR inayoendeshwa kwa umeme. Wengine wanayo, lakini inaendeshwa kwa makaa ya mawe. Kwa maelezo zaidi ona video hapo chini.
  5. JamiiForums Tanzania Propaganda za CCM kuwa Upinzani umekufa Tanzania aibu yao

    Kweli kwa mwendo huu upinzani umekufa Tanzania?Au walikuwa wanaota ndoto za mchana.
  6. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aliwahi kuisaidia nini Tanzania? Mwenye uelewa atuelezee

    Ndugu wana bodi! Habari zenu! Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague viongozi watakao lisaidia taifa letu. Mwalimu alisema kwamba ,miongoni mwa siasa za kiongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna shehena za Ammonium Nitrates?

    Moja ya matumizi ya kemikali ya Ammonium Nitrate Ni kutengenezea mbolea za viwandani zenye Urea na Nitrate ambazo zinatumiwa na wakulima wetu nchini pia. Kemikali hii tumika kwenye maabara zetu mbalimbali hata mashuleni na vyuoni. Ammonium Nitrate Ni explode (lipuka) Kama ikikutana na joto Kali...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

    Could this ever happen in Kenya? The Tanzanian government has banned Local Media from broadcasting 'foreign made content', wait for it... without permission from the government and the relevant authorities. Content and direct broadcasts from international media like BBC, VOA, DW etc will now be...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Likija kwenye suala la miundo mbinu, University of Ghana imeshinda university yoyote ya Kenya au Tanzania

    University of Nairobi imeishinda university of Ghana kimasomo, (tukizingatia ranking) lakini university of Ghana ina miundo mbinu (infrastructure) ya ajabu. Imejengwa ikajengeka. Ina majengo mengi na yenye hadhi ya juu. Hakuna university hapa A.M imeikaribia kwa majengo.
  10. JamiiForums Tanzania Upo uwezekano mkubwa Rais Magufuli hatoivusha Tanzania salama

    Kwa jinsi mambo yanavyoenda na huko tulipotoka, naamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa Rais Magufuli kutokuivusha Tanzania salama. Nimeona vihashiria kuwa sasa wananchi wanaonyesha kuchoshwa kweli na mwenendo wa siasa za kibabe za nchi yetu. Hili ni jambo la hatari. Ni kweli kuwa kwa muda wa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
  12. JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ukweli: 'Tuilete Maldives hii kwetu Tanzania!'

    Wakati nachakura chakura mitandaoni nimebahatika kupata clip kutoka kwenye Channel ya YT ya Kara and Nate. Clip inaonyesha sehemu ya kupumzika na mashamsha ya ufukweni huko Maldev. Maldev ipo bara la Asia. Clip hii inafikirisha mengi ila sehemu yenyewe inavutia kutazama na ikipendeza mmoja...
  13. JamiiForums Tanzania Vituo vya utangazaji vyatakiwa kuomba kibali TCRA kurusha matangazo ya Vyombo vya Habari vya Nje

    Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020. Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
  14. JamiiForums Tanzania Digital Finance Officer at the Savings and Credit Cooperative Union League of Tanzania (SCCULT)

    Introduction: The Savings and Credit Cooperative Union League of Tanzania (SCCULT) is the umbrella organization for SACCOS in Tanzania mainland. It was established in 1992 under Cooperative Act No. 15 of the year 1991 and was given registration no. 5480. The Union was established to promote and...
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja na kukandamizwa sana kwanini wanachama wa upinzani nchini Tanzania bado wamejawa na furaha tele?

    Hili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe. Wanachama na viongozi wa upinzani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wamenyanyaswa kuliko miaka yote ya ukoloni nchini Tanganyika enzi zile, wameteswa , wamepotezwa, wamepigwa risasi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Otoplasty surgery inafanyika Tanzania?

    Je otoplasty surgery inafanyika Tanzania? Kama ndio, ni hospitali gani na kiasi gani cha fedha? kwa yeyote anayefaham tujuzane. Nawasilisha
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuikabidhi Msumbiji uenyekiti wa SADC 17/08/2020!

    Tanzania itakabidhi uenyekiti wa SADC kwa nchi ya Msumbiji 17/08/2020 Kabla ya hapo vitaanza vikao vya makabidhiano kwa makatibu wakuu na basdaye baraza la mawaziri chini ya mwenyekiti wake Prof Palamagamba Kabudi jijini Dodoma. Source Channel ten.
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

  19. JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nikiapishwa kuwa Rais wa Tanzania viongozi wote wa dini (mashekhe) watarudishwa Zanzibar

    Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar. Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao? Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka...
  20. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Kwanini mnataka kunisitishia huduma ya kukopa M-PAWA halafu tena mnaniuliza kama ninahitaji mkopo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…