Habarini za jioni wanajamvi.
Mimi siishi Dar Muda mfupi uliopita niliona ujumbe kwenye WhatsApp ya ndugu mmoja ikionyesha magari yakipita Kariakoo yakifukizia dawa ya kuua corona, sawasawa na yale yaliyokuwa yakionekana kwenye miji ya Uchina.
Hii ni hatua kubwa na nzuri sana iliyochukuliwa...