tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Academic weapon, weapon of propaganda, ugonjwa wa uongo ambao wazungu wameuleta Tanzania

    Leo 17:55hrs 06/09/2020 Wazungu walituletea Nuclear weapon ikaua wajapan kule Hiroshima na Nagasaki, Majiji Makubwa mfano wa Tokyo, Majiji ya Hiroshima na Nagasaki yaliteketea ndani ya dakika, dunia ikapoteza mainjia wa daraja la juu, wasomi wa daraja la sita, Maguru wa elimu, Academician wenye...
  2. JamiiForums Tanzania Kukundi cha kigaidi cha Msumbuji chadai kuua wanajeshi 20 wa Tanzania

    Tanzania deploys troops at the Mozambique border
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa kijamii Marekani watupia jicho kampeni za Uchaguzi Tanzania

    5 September 2020 Tundu Lissu na Magufuli, Viongozi wa Jamii Marekani wajadili Amani, Haki, Upendo Na Ushirikiano Kutoka Washington DC pamoja na Studio zetu za South Carolina, leo hii tumepata nafasi ya kuongea na Pastor: Absalom Nesuwa na Anna Ngoti, kutoka Kanisa la Umoja International Out...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inside Kenya's Tiff With Somalia and Tanzania

    Kenya’s persistent trade tiffs with neighbours may be a result of dynamics beyond the region, which could require political solutions. Two of Kenya’s neighbours, Somalia and Tanzania, have recently stalled business ventures for Kenyans over alleged bad policy by Nairobi. Tanzania cancelled...
  6. JamiiForums Tanzania Total Tanzania promises it is in Tanzania to stay as it launches Total Mchinigani Service Station in Goba Dar Es Salaam

    Wanabodi, Haya ni mambo ya Total, TOTAL TANZANIA PROMISES IT IS IN TANZANIA TO STAY AS IT LAUNCHES TOTAL MCHINIGANI SERVICE STATION IN GOBA DAR ES SALAAM. Goba, Dar es Salaam, September 6, 2020: Total Tanzania Managing Director Mr. Jean Francois Schoepp, has promises that Total Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la gonjwa la sukari Tanzania

    Kwa tatizo hili la ugonjwa wa kisukari hapa nzchini kwanini wanasiasa wanaotengeneza ilani ya vyama vyao asiwepo mmoja akaliona hili tatizo na kuja na sera ya matibabu yake yawe bure Kama magonjwa ya TB na Homa ya ini, hasa chanjo. Kwani kwa Sasa swala la chanjo ya Homa ya ini ni tatizo kuipata...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Pentagon 2020 kwenye Bunge la Marekani: Uchina ina jeshi kubwa la maji kuliko Marekani, Tanzania yatajwa

    Pentagon wamepeleka ripoti yao ya mwaka 2020 kwenye bunge la Marekani kuhusu nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina. Uchambuzi huo umezungumzia ukuaji wa kasi wa nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina tokea mwaka 2000 hadi 2020: Kuna mambo ambayo yameshangaza wataalamu wengi wa Marekani kwasababu...
  9. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hali ya uchumi wa kati wa Tanzania na rekodi saba za kimataifa zilizowekwa chini ya uongozi wa Rais Magufuli

    ~Na David KAFULILA. email: davidkafulila0@gmail.com 02 Septemba 2020. Julai 1, 2020, ni tarehe itakayokumbukwa katika historia ya Tanzania. Ilikuwa tarehe ya kwanza ya utekelezaji wa Bajeti ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Utawala wa Rais JOHN MAGUFULI; na muhimu zaidi, ni siku...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ipi inatekelezeka kati ya Wali kuku kwa watanzania (Hashimu Rungwe) VS Tanzania kuwa kama Ulaya (Magufuli)

    Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha CHAUMA, Hashimu Rungwe amejikita katika ahadi ya kuhakikisha watanzania wanapata lishe bora kwanza, wali-kuku imekuwa ndio kibwagizo chake, na amekuwa akijitahidi kulitekeleza hilo kwa vitendo kwenye kampeni zake kwa kuleta kweli wali na kuku, na wananchi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Nigeria waiiga Tanzania, wapiga marufuku KLM, Lufthansa

    Nigeria bans Lufthansa, KLM, Air France, others, as international flights resumes - NewsWireNGR Nigerian Government has placed ban on Lufthansa, KLM , Air France, amongst other notable international airlines, as the country commences international flights from the 5th of September, after about...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Since when Trump cares about Tanzania after banning us to get US visa?

    Tanzania is sovereign country, we are not a colony no more, we have our sovereignty. Otherwise remove all sanctions against Russia for your speculations of interference in your democracy. More you interfere more we like Magufuli, get that. Since when you even care about Africa never mind...
  13. JamiiForums Tanzania Qatar Airways Offers More Global Connectivity Than Any Other Airline

    Airline’s young fleet of sustainable aircraft has enabled it to continue flying throughout the pandemic and rapidly rebuild its global network to more than 650 weekly flights to over 85 destinations Qatar Airways’ passengers can enjoy more flexible travel options via the most connected and Best...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

    Pombe Magufuli nakushauri usisahau kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania ya viwanda kama umeifanikisha, maana 2015 ulipigiwa kura na watu wengi kwa namna ulivyonadi sera zako, hasa iliyonivutia mimi mpaka nikakupa kura ni Tanzania kuigeuza nchi ya viwanda. Sasa hivi sisikii ukinadi umeifanikisha...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi hii work placements system inaweza kufanya kazi kwetu Tanzania?

    Hello JF, Nadhani nishawahi kulileta before.. Ningependa kuona serikali yetu.. ina invest kwenye skills za vijana/graduates wetu... Kwa mfano Jeshi lingefutwa, badala yake vijana watafutiwe ajira zile za temporary... 3-6 Months! za masomo waliyosomea Hio hela inayotumika kuwa train vijana...
  16. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

    Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya.... 1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya? 2. Ni kwanini anahusisha Tukio...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya 88 kwa Uvumbuzi (Innovation) Duniani na ya pili kwa Afrika Mashariki

    Jarida la Global Innovation Index limeionyesha Tanzania kuwa nchi ya 88 katika ugunduzi kwa mwaka 2020. Jarida hilo linatolewa na World Intellectual Property Organization, WIPO. Tanzania imekuwa ni nchi ya pili kwa Afrika Mashariki, ya kwanza ikiwa ni Kenya ambayo imeshika nafasi ya 86. Rwanda...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu with a failed mission to distract General Election in Tanzania

    Blessed is thyloard our CREATOR Tanzania has so long be in a glorified fight against barbarism and planned colonialism. We have eversince survived the actions of non mercy bandits of humanity our fathers and grandies bitten and strangled to death with the same blood pretending to love us now...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi 33 za kazi, sifa lazima uwe na Driving License Class C or E

    POSTCIVIL ARTISAN II - 33 POST POST CATEGORY(S)HR & ADMINISTRATION EMPLOYERTANZANIA RAILWAYS CORPORATION (TRC) APPLICATION TIMELINE:2020-09-02 2020-09-16 JOB SUMMARYN/A DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Packing of the railway track as directed by the supervisor; ii.To clear grass and bushes...
  20. JamiiForums Tanzania Balozi kumi zaitakia kila la kheri Tanzania kuelekea Uchaguzi

    Wakuu wa Balozi za nchi ya Ubelgiji, Canada, Denmark, Finland, Ujerumani, Ireland, Netherlands, Norway, Sweden na Uswizi zilizoko kwa pamoja zimeitakia Tanzania uchaguzi mwema Katika tamko hilo la pamoja, wameonyesha kuwa wanatumaini Uchaguzi utauwa wa huru na wa haki utakaoruhusu kila mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…