Habari wanajamvi?
Nachukua fursa hii ili tuweze kujadili kwa pamoja hoja husika kuhusu wizara husika kwa upande wa mipango miji kwa nchi yetu ya Tanzania."
kwanza niipongeze Wizara kwa kujitahidi kusimamia utendaji wao japo si kwa kiasi kikubwa.
Kutokana na uzalendo na kupenda mandeleo...