tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania upole na unafiki wetu ndiyo sababu ya Umaskini wetu

    Ndugu zangu miaka ya 1960s kipindi tunapata uhuru wetu, Uchumi wetu in terms of GNP tulikuwa sawa kabisa na nchi kama Vietnam, Thailand, Singapore, Malysia, Uchina na Korea Kusini. Kwa kipindi chote hicho hakuna chama chochote cha upinzani kilichoingia madarakani na either tukakitupia lawama...
  2. JamiiForums Tanzania Nani ni wakala (agent) wa kampuni hii ya "Xorcom" kwa hapa Tanzania?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Nani ni wakala (agent) wa kampuni ya "Xorcom" kwa hapa Tanzania? Xorcom, established in 2004, designs and manufactures integrated business telephony solutions that support both traditional PSTN and VoIP. Xorcom...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC ndiyo inaweza kuleta vurugu Tanzania sio Vyama vya Siasa

    NEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe. Vurugu itatokea tu pale ambako hakutakuwa na uwazi kwenye siku ya kura na kuhesabu kura. Ukiangalia...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inavyonyanyasika na Tanzania

    Kuna hali ya sintofahamu inaendelea nchini Kenya inayoshindwa kutafsiriwa kama ni Kenya inferiority complex ama vipi Kenya ipo desperate sana kupambana na Tanzania kwenye maeneo ambayo imeachwa mbali. Tulifikiri wenge liliishia kwenye kupaka lipsticks barabarani kumbe wamekuja mpaka na...
  6. JamiiForums Tanzania Maswali muhimu Juu ya Mtaala wa Elimu Ya Tanzania

    Tujadili kidogo watanzania wenzangu! 1. Hivi ni kwa asilimia ngapi mtaala wa Elimu ya Secondary hapa Tanzania umetekelezwa ? 2. Je Mtaala unafatwa kama ulivopangwa? 3. Walengwa katika mtaala huo wamewekewa mazingira bora ili kutekeleza kiufanisi mtaala huo? 4. Je sera ya Elimu ya Tanzania...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania to assist in Botswana's pursuit to teach Kiswahili in her schools

    Kiswahili: Tanzania offers to assist Botswana By Jacob Mosenda Dar es Salaam. Tanzania said yesterday that it would cooperate in every possible way with Botswana after the southern African nation announced plans to start teaching the Swahili language as a subject in schools. On Tuesday, the...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania is more poverty stricken than her East African neighbors.

    World Bank data shows that Tanzania has more poor people who are living on less than the international poverty line($1.90 a day) in the region as compared to Kenya and Uganda. For a long time, the Tanzanian poverty line started at $0.69 a day compared to Kenya`s which starts at 1.90 dollars per...
  9. JamiiForums Tanzania WFP: Wakimbizi wengi wa Msumbiji wanakimbilia Tanzania kutikana na mapigano kuongezeka

    Kaskazini mwa Msumbiji, mapigano yanaendelea na kuongezeka hali ambayo imelazimisha maelfu ya watu kutoroka makazi yao. Sasa hivi idadi kubwa ya raia hao wanakimbilia nchi jirani ya Tanzania kulingana na mkurugenzi wa Shirika la Chakula Duniani eneo la Kusini mwa Afrika alipozungumza na BBC...
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzanian MP's still believe Kenya is the giant of East Africa

    Members of parliament from Tanzania still believe Kenya is the giant of East Africa.
  11. JamiiForums Tanzania People from USA & Europe are a big hope to many families in Tanzania when you visit, so welcome in Tanzania and to our families

    Sometimes when I see different race I feel happy especially people from USA and Europe because they are so peace people I know, I say this following saw one Either a European or USA woman carry an African baby on mean bus with her own hands while her mother of that daughter sitting beside them...
  12. JamiiForums Tanzania Ili Kupambana na 'Umasikini' Serikali ya Tanzania haiwezi 'Kutulazimisha' Watanzania wote tuutumie 'Ubini' wa 'Laizer' ambao una 'Nyota' ya Utajiri?

    Mshindi wa Jackpot ya SportPesa, Lilian Ngitoria Laizer, amekabidhiwa kitita chake kiasi cha Sh. 267,800,060 na Kampuni ya Michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, huku akieleza mipango yake ni kufungua biashara kubwa. Nipashe Kuna Mtu aliwahi kuniambia huko zamani kuwa Pesa, Elimu na...
  13. JamiiForums Tanzania Botswana yapanga mipango ya kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Shuleni

    Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday. At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's second-largest city, Fidelis Molao, Botswana's Minister of Basic Education, said that Swahili language will be...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi si dalili njema kuelekea Oktoba 28

    Wasalaam, Kitendo cha tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka haraka kukemea makusudio ya vyama vya upinzani kushirikiana katika uchaguzi huu ni cha kibaguzi hakikubaliki. Sababu iliotolewa na NEC ni dhaifu na ni dhahiri ni kuitetea CCM, eti wananchi watachanganyikiwa siku ya uchaguzi na eti...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Tanzania: Badala ya Mgombea kuulizwa maswali, yeye ndiye anawauliza maswali Wananchi

    Ni bahati mbaya mikutano ya CHADEMA na ACT wanaoulizwa maswali ni Wananchi waliokuja kuwasikiliza badala ya wananchi kuwauliza wao maswali. Kwa kuwa siku bado ningefurahi kama kuna atakayewauliza wagombea wakuu wa CHADEMA na ACT haya maswali yangu. Au tufanye mdahalo nao? Maswali yangu ni haya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

    Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa. Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa. ======...
  17. JamiiForums Tanzania Je, wajua gharama za upimaji wa vinasaba (DNA) nchini Tanzania?

    Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja. Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi laki 3.
  18. JamiiForums Tanzania Vodacom, huu wema umeanza lini?

    Vodacom, huu wema umeanza lini? Leo nimeona push menu za USSD, zikiniuliza na hatimaye kuniwezesha kujitoa kwenye matumizi ya salio kulipia huduma za mtandao wa intaneti kutoka kwenye salio la kawaida. Kwa hiyo kuanzia leo, hata bando la GB likikata, salio la kawaida lililopo halitaguswa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Freedoms in Tanzania threatened ahead of elections as authorities crack down on Opposition Parties, Rights Groups, Media

    Human Rights Watch, shirikika la kimataifa la kutetea haki za kibinadamu, limeiangazia Tz kuhusu ukiukwaji wa haki za kibinadamu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba. HRW inadai kwamba kwa muda wa miezi mitatu iliyopita wanachama wa upinzani 17 na watanzania wengine waliokashifu serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Kukua kwa Teknolojia ya Mawasiliano kunavyochangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi Tanzania

    Na Bindu Hassan, UDBS Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula wiki hii ameeleza namna sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inavyoweza kuchangia zaidi katika ukuaji wa sekta za kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Dkt. Chaula ameeleza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…