Malawi: Rais Chakwera atoa ufafanuzi kuhusu suala la kutovaa barakoa alipokuwa katika ziara yake nchini Tanzania

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,764
4,331
1602285931042.png

Rais Lazarus Chakwera Alhamisi alirudi nchini kwakwe baada ya kukatisha ziara yake nchini Tanzania kutokana na kupata dharura. Muda mfupi baada ya kufika katika uwanja wa ndege wa (KIA) Rais huyo alitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kutokana na madai ya Wananchi wa Malawi kwamba alikuwa akiweka maisha yao hatarini kutokana na kukiuka miongozo ya kupambana na Covid 19 alipokuwa nchini Tanzania.

Aidha, japokuwa Rais Chakwera hakuvaa barakoa wakati akiwa katika ziara yake nchini Tanzania, lakini aliivaa tu baada ya kufika nchini Malawi.

Katika kutoa ufafanuzi wa jambo hili, Rais Chakwera aliwaambia waandishi wa habari kuwa hakuvaa barakoa alipokuwa Tanzania kwa sababu za kidiplomasia kwani katika nchi hiyo inaaminika kuwa hakuna Covid- 19.

Zaidi ya hayo, Rais Chakwera alisema: "Kwa hali ilivyo sasa katika nchi ya Tanzania haikuwa utamaduni mzuri kuvaa barakoa kwa sababu katika nchi hiyo inaaminika kuwa hakuna ugonjwa wa Corona. Hivyo, kwa kuwa lengo la Malawi na Tanzania ni kujenga uhusiano mzuri na wa kweli halikuwa jambo la busara kuonesha kuwa hatuaminiani.
===
Zaidi soma
President Lazarus Chakwera on Thursday returned from Tanzania for an official visit but quickly defended himself from accusations that that he was putting lives of Malawians at risk for defying Coronavirus (Covid-19) guidelines when he removed his face masks during the tour to the neighbouring country

Throughout his two-days tour, Chakwera did not put on his mask but immediately had it when he landed in Malawi soil.

Chakwera told journalists on arrival at Kamuzu International Airport (KIA) in Lilongwe, that he had to balance Malawi’s tradition and diplomacy as Tanzania’a narrative is that there is no Covid-19 in that country.

Tanzania’s President John Magufuli declared the country “coronavirus-free” thanks to prayers by citizens and Tanzanians do not wear face masks and gloves.

Chakwera said: “In terms of what Tanzania has experienced, the tradition is not to wear masks because they believe the pandemic is over so it is a question of trying to balance what our tradition is and what our diplomatic preference will be in order to establish a true relationship based on trust.”

The World Health Organization (WHO) expressed concern over Tanzania’s strategy on Covid-19.

Magufuli has repeatedly said the health crisis has been exaggerated and urged people to attend services in churches and mosques, saying that prayers “can vanquish” the virus.

The Tanzanian President has also ridiculed the strict measures neighbouring countries have imposed to fight the pandemic.

But Chakwera said he remains committed to fight against the virus pandemic, saying all members of the Malawi delegation had medical certificates as evidence that they were Covid-19 free.

University of Malawi’s Chancellor College political science and public administration lecturer Professor Happy Kayuni said indeed Chakwera found himself in a “delicate situation.”

Kayuni said the “safest route” would have been for Chakwera to convince Magufuli that he needed to wear a mask because he was coming from a country which has Covid-19 hence he did not want to pose a threat to him.

Wearing a mask isn’t a political statement. It’s a scientific recommendation.
 
Jana mbona niliona mabalozi wanafanya mazungumzo na Prof.Kabudi na hawakuvaa face masks, hata Balozi wa China hakuvaa kabisa lakini wenzake wawili walivaa - binafsi naona ni vizuri kuchukuwa taadhari tusijisahau kabisa uginjwa huu bado hupo - hivi sasa nchi kana Ufaransa, Uingereza na Merikani umepamba moto upya - wataalamu waliwahi kuonya kuhusu ujio wa phase two - tuwe makini na watalii wanaotoka Mataifa tajwa hapo juu LA sivyo Taifa letu litajikuta kwenye maambuki upya, tusifanye mchezo.
 
Wanyasa lazima wamuwajibishe huyu rais kutokana na huo mwenendo wake ambao ni very irresponsible alivyokuwa ziarani Tanzania.
 
Hili jambo lingetokea kipindi kile kabla ya uchaguzi ,basi huu uzi pangakuwa hapatoshi hapa ila naona sasa uchaguzi umetufanya watanzania tuongee lugha moja kuhusu corona hapa nchini,maana hakuna aliyeacha shughuli zake kwa sababu ya corona hata zile taarifa za vifo vya kimyakimya hatuzisikii tena.

Tumekubali kuisha nayo kama magonjwa mengine.
 
Jana mbona niliona mabalozi wanafanya mazungumzo na Prof.Kabudi na hawakuvaa face masks, hata Balozi wa China hakuvaa kabisa lakini wenzake wawili walivaa - binafsi naona ni vizuri kuchukuwa taadhari tusijisahau kabisa uginjwa huu bado hupo - hivi sasa nchi kana Ufaransa, Uingereza na Merikani umepamba moto upya - wataalamu waliwahi kuonya kuhusu ujio wa phase two - tuwe makini na watalii wanaotoka Mataifa tajwa hapo juu LA sivyo Taifa letu litajikuta kwenye maambuki upya, tusifanye mchezo.

Korona ni issue ya kibinafsi, kama unajiona hali yako ya afya ni mgogoro. Bora ukachukua tahadhari mara dufu ya wale wengine. Lkn kwa ujumla ni kuchukua tahadhali kama ya magonjwa mengine bila woga wala hofu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom