tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania asema maadili ya Uislamu yanataka marehemu wote wakumbukwe kwa mazuri

    Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021. Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu marehemu anatakiwa kukumbukwa kwa mazuri. Hivyo ametoa wito kwa watanzania kukumbuka mazuri ya Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Nimemsamehe aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli lakini sitomsahau kwa yote aliyonifanyia

    Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani. Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa karibu na mimi mwenyewe pia. Lakini inapofikia mtu akawa mgonjwa mahututi akiwa kitandani hana...
  3. JamiiForums Tanzania Shairi: Tanzania takumbuka, lala pema Magufuli

    MAGUFULI, DAIMA TUTAKUKUMBUKA Kifo hakina rufani, pia hakina huruma, Kimempoka kundini, Rais mwenye heshima, bado ali ujanani, mudawe umesimama, Daima tutakuenzi, Tangulia Magufuli Kifo hakina rufani, kwa kila mja lazima, Kwa uchungu na huzuni, natakabari Karima, Mjao yu mikononi, Dunia...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  5. JamiiForums Tanzania Daraja la Ileje kubomoka: Uhandisi Tanzania umeshuka Viwango?

    Nimeangalia picha ya daraja lililojenga na kuanguka nikajiuliza, ni mhandisi gani aliyejenga daraja lile, je bado amesajiliwa na leseni yake ya uhandisi bado iko hai anafanya kazi kama kawaida? Daraja hili limefeli kwa mchanganiko wa torsional deflection na bending deflection, na hayo ndiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itapata kiongozi kama Hugo Chavez? Watanzania hatunufaiki na rasilimali zetu

    Marehemu Hugo Chavez alikuwa kiongozi anayefaa na kama hapa Tanzania tungekuwa na kiongozi kama Hugo Chavez tungefurahia kuwa Watanzania. Leo hii hili taifa lina kila aina ya rasilimali ambazo kama tungekuwa na kiongozi makini basi tusingesikia wananchi wanapata tabu. Leo hii wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania KNCV Tuberculosis Foundation Tanzania Jobs, March 2021- (3 Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Research Assistant (Manyara)- 1 Post 2. Research Assistant (Mwanza)- 1 Post 3. Regional Technical Officer (Arusha)- 1 Post Deadline for applications: 02nd April 2021
  8. JamiiForums Tanzania Bei mbovu kuwahi kutokea ya zao la mpunga yadumu misimu miwili Tanzania

    Kwa miaka takribani 15 sasa hakujawahi kutokea kuanguka kwa bei ya Mpunga. Kilimo cha zao la Mpunga kwa msimu wa mwaka 2020/ 2021 kinaleta mashaka makubwa. Bei ya wakati wa mavuno kwa gunia la serikali la debe 6 kwa msimu 2020 kipindi cha mavuno Tsh 50,000 hii ni bei ya mwezi wa sita...
  9. JamiiForums Tanzania VSO Tanzania Jobs and Volunteering Opportunities, March 2021

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Food And Security Nutrition Adviser (Kagera) 2. Employability And Entrepreneurship Adviser (Shinyanga) 3. Employability And Entrepreneurship Adviser (Mwanza) 4. Project Officer (Tanzania) Deadline for applications...
  10. JamiiForums Tanzania Diva amenyanyulia mikono Diamond, ndio msanii namba moja kwa sasa Tanzania

    Habari wadau, Kupitia Instagram yake ameandika haya:- “Mtangazaji namba 1 wa kike Tanzania niliwahi Piga Picha Na Msanii Namba 1 Tanzania saa Hii na tuna wimbo wetu unaitwa Piga Simu .. so acha nipost. Apa tulikuwa Marafiki sana apa …sana… semeni ukweli asa hivi ni msanii gan anamshinda...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zuio la mahindi kuingia Kenya, ni kwasababu makamu wa Rais anataka soko la mahindi yake

    Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, amedaiwa kuwa na shamba la mahindi hekari 500,000 nchini DR Congo, ambapo ametumia nguvu yake kisiasa kupata uhakika wa soko la mahindi yake Baadhi ya wabunge wa DRC wamethibitisha hilo. Ili kupata soko la mahindi alilazimika kuzuia mahindi kutoka Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania ITM Tanzania Ltd Jobs, March 2021- (7 Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi: 1. Audit Associate -(3 Posts) 2. IT Supervisor- (1 Post) 3. Tax Senior Associate- (1 Post) 4. Marketing Manager- (1 Post) 5. Internal Audit Manager - (1 Post) APPLICATION INSTRUCTIONS Send your CV to:infotanzania@itmafrica.com
  13. JamiiForums Tanzania Hiki kitanda kinaweza kutengenezwa hapa Tanzania?

    Amani iwe nanyi wapendwa; Naomba kujua kama kuna fundi anatengeneza kitanda cha aina hii hapa Tanzania na bei yake pia;
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Democracy index 2021: Kenya lags behind Tanzania

    Sijui mijitu itajificha wapi leo https://www.the-star.co.ke/news/2021-03-15-kenya-ranked-95-in-democracy-index/
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote

    Ni wakati wa kumwomba Mungu. Ni wakati wa umoja. Tanzania nakupenda.
  16. JamiiForums Tanzania Bodi ya Nyama Tanzania yapiga marufuku uuzaji wa nyama za mafungu

    Bodi ya Nyama Tanzania imepiga marufuku uuzaji wa nyama kwa mafungu katika maeneo ya nje ya machinjio ya vingunguti kwani inahatarisha afya ya mlaji. . Hayo yamesemwa na Kaimu Msajili wa bodi ya Nyama Tanzania Bw. Imani Sichalwe alipofanya ziara katika maeneo ya nje ya machinjio ya vingunguti na...
  17. JamiiForums Tanzania SAKATA: Hii ndiyo tofauti ya Media za Tanzania na Nje

    Angalau huyu kwa kutumia katuni ameongea kitu kikubwa ambacho mwandishi wa kawaida story yake isingetoka👇🏾. Huyu ni mwandishi wa nje ya Tanzania au ni yule asiye na mipaka, yawezekana yupo hapa nchini ila katumia chombo cha nje, ambapo hapa ndani ni hofu inatawala 👇🏾...
  18. E

    JamiiForums Tanzania An open letter to all Hiring Managers in Tanzania

    Dear all Hiring Managers, Please stop asking 25-year-olds to have 15 years of industry work experience for entry-level jobs. Instead ask them if they will work hard and care about your company. I think you will get better results. Sincerely, Ellyskywilly Education: Masters in...
  19. JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu Tanzania, kuna haja ya kujipambanua

    Mimi Sio Mataga. Wasalaam ndugu zangu. Shirika la haki za binadamu ni muhimu sana hasa kwa nchi zinazokua na zenye demokrasia changa kama Tanzania Tanzania kumekua na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu; unafanywa na taasisi za serikali kwa sehemu kubwa pamoja na taasisi binafsi. Kwahiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania National Roads Agency (TANROADS) Vacancies, March 2021- (10 Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza hapo chini kudownload PDF:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…