tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

    Wakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao. Viongozi wengi wanapopata madaraka wamekuwa watu wa dharau na kufoka kwa walio chini yao. Wengi wamekuwa watu wakuona mapungufu...
  2. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

    Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania. Tukirejea kwenye mada, aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa...
  3. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao. Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo. Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote...
  4. kidadari

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuchoma tena vifaranga kutoka Kenya?

    Vifaranga kutoka nchini Kenya vyenye thamani ya Milioni 40 vimekamatwa na mamlaka ya serekali Tanzania bila ya kuwa na vibali halali. Kwa kujibu wa taarifa toka mamlaka husika Tanzania wamesema wataviteketezwa kwa mujibu wa sheria inavyotaka. Japo vifaranga hivyo havijathibitika kuwa na...
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Viatu na Kivuli cha Magufuli kwa Tanzania ya Samia - Kuna cha Kuhofia?

    Na. M. M. Mwanakijiji (Makala hii imetoka kwenye gazeti la Raia Mwema, Jumatano Machi 31, 2021. Picha juu kutoka kwa Michuzi Blog). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan ana kibarua kigumu. Anakabiliwa na kuridhisha pande nyingi kiasi kwamba upande wowote ambao...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wabana waachia, sherehe za Pasaka ruksa

    Jeshi la Polisi leo April 2, 2021 wametoa ufafanuzi juu ya kauli waliyoitoa kuhusu shamra shamra za kusheherekea sikukuu za Pasaka. ‘Taarifa ya Jeshi la Polisi niliyoitoa jana (pamoja na mambo mengine) ilisema tuna imani kama kila Mwananchi atafuata Sheria na kujiepusha na vishawishi vya...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye UK wamefanya yao baada ya kutusubiri tuchague baina yao na Tanzania

    Juzi walitishia kutufungia kisa hatujafunga mipaka na Tanzania, haya sasa wamefanya kweli..... The British High Commission in Kenya on Friday, April 2, announced that Kenya would be introduced in its red list - banning Kenyan citizens from entering the United Kingdom. The decision was made...
  8. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tobacco Board Transfer Vacancies, April 2021- (8 Posts)

    JOB VACANCIES See the document below for more information: TANZANIA TOBACCO BOARD JOBS PDF
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)

    Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)
  10. King TKM

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anae fahamu hili swali, an appraisal of handling of exhibits in law enforcement agencies practice: Tanzania police force

    Habari za mda huu, Ikiwa kama kuna regulations, laws au Act zozote zinazoweza kutoa majibu ya hilo swali naomba mnisaidie.
  11. lendila

    JamiiForums Tanzania Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru. Mama endelea kutumia hii salamu kila mara. Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ndugulile: WhatsApp call zimeathiri simu za nje

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Dkt. Faustine Ndugulile amesema ukiangalia simu zinazopigwa kwenda nje au kuingia kutoka nje zimepungua. Amesema watu huzungumza na watu wa nje kupitia mitandao kama whatsapp, skype nk hivyo ni lazima serikali ichukue hatua kurekebisha hilo. Waziri...
  13. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Leo katika Historia Tanzania

    Leo Aprili 2,2021imetimia miaka minne tangu samaki aanze kupimwa kwa kutumia rula nchini Tanzania
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma. Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa? Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  15. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

    Habari za muda huu jamiiforums Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Matarajio ya watanzania kwa Mhe. Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni makubwa

    MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na uapishwaji wa Makamu wa Rais. Katika kuendelea kuhakikisha matarajio aliyonayo ameendelea kupanga...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

    Wananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini. Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji. Serikali lione hili. SAUTI YA WATANZANIA
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri

    Wanabodi, Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kwa mwaka huu, kwanza tutakiane heri ya mwaka mpya. Pili tupeana pole sana kwa msiba mkubwa wa kumpoteza JPM. Tatu, nitoe pongezi kwa President Samia kuwa rais wa JMT, kuongoza awamu ya Sita, hongera sana Mama Samia, umeanza vizuri kwa...
  20. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

    Basi leo ngoja nikueleze habari ya kufurahisha kuhusu nyoka huyu, kwanza ni miongoni mwa viumbe ambao wamesaidia lugha ya kiswahili kukua, kwa waliosoma kiswahili wanaweza kufahamu vyema kuwa miongoni mwa mambo ambayo husaidia kukua kwa lugha ni pamoja na lugha kukopa maneno, misimu pia...
Back
Top Bottom