Hatimaye UK wamefanya yao baada ya kutusubiri tuchague baina yao na Tanzania

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,415
Juzi walitishia kutufungia kisa hatujafunga mipaka na Tanzania, haya sasa wamefanya kweli.....

The British High Commission in Kenya on Friday, April 2, announced that Kenya would be introduced in its red list - banning Kenyan citizens from entering the United Kingdom.

The decision was made after Kenya was categorised as a high-risk country in the spread of the Covid-19 pandemic.

From April 9, British and Irish citizens who have been in or transited through Kenya in the previous 10 days would be declined entry into England unless they undertake a compulsory ten-day quarantine. The same courtesy will be extended to Kenyans who already have residence rights in the UK.

"Irish and third-country nationals with residence rights arriving from these countries will be required to quarantine in a Government-approved facility for 10 days," the High Commission explained.

A photo of an immigration official serves travellers at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) in Nairobi.

An immigration official serves travellers at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) in Nairobi.

FILE
Kenya will join Tanzania, Rwanda, Burundi and South Africa, among other countries also listed in the red list travel banned countries.

Kenyans have strongly reacted to the new travel restrictions touching on travelers entering the United Kingdom from Kenya.
"The UK should deal with it's incompetent handling of Covid virus. If we (Kenya) had real leaders here, we should have stopped travel from the UK along time ago. UK is the hotbed of the virus with it's own homegrown variant," one Kenyan stated.

Kenyans blamed President Uhuru Kenyatta for not locking down the country, saying British militia were responsible for bring the virus into the country.

They also questioned the fact that travelers from the UK were exempted from quarantine with the only requirement being a negative Covid-19 test be taken within 96 hours of travel.

"It is crazy how busy we have gotten over the past months. We are full most weekends. A lot of Europeans and Brits are coming down to stay for long periods," the hotel's manager was quoted by British magazine The Independent.

This comes after the British High Commission in Nairobi had been quoted saying Kenya was likely to be added to the red list by March 29, 2021, due to slackness in closing the Tanzanian border.

“For weeks, red list rumors have been circulating Nairobi; a refusal to close borders with neighboring Tanzania, which has not published coronavirus statistics since May 2020, was touted as a key factor,” read a publication by the Telegraph newspaper in Britain.

The move will see travelers quarantine for ten days in Ksh226,971 government-sanctioned hotels.

A plane at a runaway

A plane at a runaway
(COURTESY)

Geza Ulole Kenya imechagua Tanzania. Natumai umefurahi. Sijui mbona tumewachagua nyie majirani vichwa mbaya.

Cc joto la jiwe
Tanzania ni Muhimu kwa Kenya kuliko UK, ukitaka kuthibitisha hilo, utaona lazima viongozi wa Kenya wayaachana na UK, Kenya haiwezi kuishi kwa muda mtefu bila Tanzania.

Tanzania ndio nchi pekee hapa duniani yenye makampuni mengi ya Kenya, viwanda vya Kenya vinategemea malighafi toka Tanzania, Kenya inaitegemea Tanzania kama njia ya kufikia masoko ya kusini mwa Africa, uchumi wa Kenya utacollapse bila Tanzania

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Juzi walitishia kutufungia kisa hatujafunga mipaka na Tanzania, haya sasa wamefanya kweli.....

The British High Commission in Kenya on Friday, April 2, announced that Kenya would be introduced in its red list - banning Kenyan citizens from entering the United Kingdom.

The decision was made after Kenya was categorised as a high-risk country in the spread of the Covid-19 pandemic.

From April 9, British and Irish citizens who have been in or transited through Kenya in the previous 10 days would be declined entry into England unless they undertake a compulsory ten-day quarantine. The same courtesy will be extended to Kenyans who already have residence rights in the UK.

"Irish and third-country nationals with residence rights arriving from these countries will be required to quarantine in a Government-approved facility for 10 days," the High Commission explained.

A photo of an immigration official serves travellers at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) in Nairobi.

An immigration official serves travellers at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) in Nairobi.
FILE
Kenya will join Tanzania, Rwanda, Burundi and South Africa, among other countries also listed in the red list travel banned countries.

Kenyans have strongly reacted to the new travel restrictions touching on travelers entering the United Kingdom from Kenya.
"The UK should deal with it's incompetent handling of Covid virus. If we (Kenya) had real leaders here, we should have stopped travel from the UK along time ago. UK is the hotbed of the virus with it's own homegrown variant," one Kenyan stated.

Kenyans blamed President Uhuru Kenyatta for not locking down the country, saying British militia were responsible for bring the virus into the country.

They also questioned the fact that travelers from the UK were exempted from quarantine with the only requirement being a negative Covid-19 test be taken within 96 hours of travel.

"It is crazy how busy we have gotten over the past months. We are full most weekends. A lot of Europeans and Brits are coming down to stay for long periods," the hotel's manager was quoted by British magazine The Independent.

This comes after the British High Commission in Nairobi had been quoted saying Kenya was likely to be added to the red list by March 29, 2021, due to slackness in closing the Tanzanian border.
“For weeks, red list rumors have been circulating Nairobi; a refusal to close borders with neighboring Tanzania, which has not published coronavirus statistics since May 2020, was touted as a key factor,” read a publication by the Telegraph newspaper in Britain.

The move will see travelers quarantine for ten days in Ksh226,971 government-sanctioned hotels.

A plane at a runaway

A plane at a runaway
(COURTESY)
Ndio mjue kwamba bila Tanzania Kenya haiwezi kufanya lolote, punguzeni ujuaji mwingi Tanzania ndio nchi muhimu zaidi kwa Kenya hapa duniani

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Watanzania wamefurahi kwenye uzi huu sana? Hehehe
Nilikuwa nataka mpigwe kibano kwenye border ili mtie adabu.

Kitambo nikiwa shuleni, kila nikitajwa kwenye baadhi ya wanafunzi watakao pokea viboko, nilikua naomba sana nisiwe mwenyewe au tusiwe wachache, sasa ndio hili la hawa majirani, wao kwao wameamua ukomando dhidi ya corona licha ya misiba hadi kwenye ngazi za juu, wamegomea tahadhari zote na kulimwa kibano, sasa walitamani sana watuburuze kwenye huo udwanzi.
 
Tatizo wakenya mnawaabudu sana wazungu na hili ni tatizo la kihistoria, wakati Nyerere aliwatimua wazungu wote na yale ma plantation yao wakawiwa wazawa Kenyatta iwakumbatia na wazungu mpaka leo wanamiliki estates kwa tenure ya freehold. Kwa kuwa wameshikilia sehemu kuu ya uchumi na kwa sababu wakenya weusi bado ni manamba kwa wazungu basi kila atakachokisema lazima wafuate. Suala la Corona sisi waafrika ndio tulitakiwa kuwazuia wazungu kuja kwetu kwani vifo vya UINGEREZA peke yake vimezidi vifo vyote vilivyotokea kwenye mataifa yote ya Afrika.
 
Kitambo nikiwa shuleni, kila nikitajwa kwenye baadhi ya wanafunzi watakao pokea viboko, nilikua naomba sana nisiwe mwenyewe au tusiwe wachache, sasa ndio hili la hawa majirani, wao kwao wameamua ukomando dhidi ya corona licha ya misiba hadi kwenye ngazi za juu, wamegomea tahadhari zote na kulimwa kibano, sasa walitamani sana watuburuze kwenye huo udwanzi.
Hahahaha, bila shaka sasa akili zimewatulia mnajua umuhimu wa Tanzania ukanda huu. Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

Hamna jeuri ya kuitenga Tanzania, nani atawapa chakula?, UK hawalimi mahindi wala pamba, wapumbavu sana ninyi.

Tanzania baba lao.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kitambo nikiwa shuleni, kila nikitajwa kwenye baadhi ya wanafunzi watakao pokea viboko, nilikua naomba sana nisiwe mwenyewe au tusiwe wachache, sasa ndio hili la hawa majirani, wao kwao wameamua ukomando dhidi ya corona licha ya misiba hadi kwenye ngazi za juu, wamegomea tahadhari zote na kulimwa kibano, sasa walitamani sana watuburuze kwenye huo udwanzi.
Yaani sisi ndio tunaumia kwa sababu ya kuwa na jirani mjinga namna hii. Hio ban tuliopigwa na UK ni kwa sababu sisi ni jirani na nchi kaidi.
 
Kitambo nikiwa shuleni, kila nikitajwa kwenye baadhi ya wanafunzi watakao pokea viboko, nilikua naomba sana nisiwe mwenyewe au tusiwe wachache, sasa ndio hili la hawa majirani, wao kwao wameamua ukomando dhidi ya corona licha ya misiba hadi kwenye ngazi za juu, wamegomea tahadhari zote na kulimwa kibano, sasa walitamani sana watuburuze kwenye huo udwanzi.
Sasa kama tumegomea tahadhari zote, vipi mumeamua kutuchagua na kuachana na mabwana zenu UK?

Back
Top Bottom