Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Wananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini.

Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji.

Serikali lione hili.

SAUTI YA WATANZANIA

Screenshot_20210401-121525.png
 
Nilishatumia miyandao yote, halotel ndiyo ilikua imebaki na vifurushi rafiki... Ila walichofanya leo ni uhuni wa hali ya juu kama wenzao waliopita... Kama lengo lao ni kupunguza ujazo wa kifurushi wapunguze na gharama
Tutawahama
 
Back
Top Bottom