tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Haki na Demokrasia havitakuja Tanzania kwa Rais kuwapa vyeo Serikalini Viongozi wa Upinzani

    Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni mbinu za kijanja janja za kurudisha utulivu wa kisiasa nchini baada ya ule uchafuzi wa wazi aliofanya...
  2. GwaB

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kwanza na Air Tanzania

    Amani iwe kwenu wadau wa JF. Leo ndio siku niliyopanga kuanza kuiunga mkono Air Tanzania katika safari zangu zote za anga nitakazofanya katika maisha yangu yaliyobaki. Leo naelejea Geita, pamoja na kwamba naenda kwenye msiba, nimepata nafasi ya kujaribu ufanisi wa Shirika letu na kuliunga mkono...
  3. Kansigo

    JamiiForums Tanzania Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

    Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano. Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya wasio na ajira Tanzania (Tanzania Unemployed Community (TEC). Hiki kitu tukiunde!

    Kwa hali ilivyo watu wasio na ajira Tanzania ni ngumu kuwasaidia kwa kuwa hawana mobilization yeyote. Ile fursa ya Jana ya Mama yetu kuongea na wazee ilikuwa ni fursa nzuri ya kuwasiliana na viongozi wa wazee ili waweke maneno ya ajira Kwa wajukuu zao kwenye hotuba yao. Kundi la wasio na ajira...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Naiona Tanzania iliyopoteza muelekeo. Kama ni bichwa la treni limepoteza uelekeo

    Kama ilivyo kwa treni kichwa kikipoteza uelekeo basi mabehewa yote yanakuwa yamepoteza uelekeo. Ndivyo ilivyosasa ile hali ya taifa kutengemaa kidogo sasa inakwenda kupotea kabisa. Nidhamu kwa watumishi wa umma, nidhamu ya wananchi kutii sheria inakwenda kupotea. Ufisadi nao utarudi kwa kasi...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina mikoa 26 na kila mkoa una wazee. Kwanini Rais wa JMT azungumze na wazee wa Dar pekee?

    Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa. Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo. Kwani Dar es...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri BASATA wasanii wetu kazi zao ni za kimataifa sio Tanzania pekee

    Ushauri wangu kwa Basata ni huu kazi za wasanii sio za Tanzania pekee na hamuwezi kukaa vikao bila kuelewa hilo. Usanii ni biashara ambayo serikali inanufaika kwa ubunifu sasa cha ajabu ni watu kuwa katikati na kutaka kuwaeleza wabunifu etu wabuni vipi!. Dhana ya hiki chama ni kusaidia kusiwepo...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama. Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Manufaa ya Ushirikiano wa Tanzania na Kenya

    Tanzania na Kenya zimekubaliana kushirikiana kuondoa vikwazo vya biashara na kufungua milango Zaidi ya kuwekeza na kuinua uchumi baina ya nchi zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kufuatia Ziara ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan nchini Kenya ikiwa...
  10. thetallest

    JamiiForums Tanzania Tanzania inayotaka kujitegemea kiuchumi sasa inarudi zama za kutembeza bakuli ughaibuni

    Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani. Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia kauli ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini Rostom Aziz aliyoitoa akiwa ziarani Kenya aliyeambatana...
  11. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 6 New Jobs At RTI International Tanzania, May 2021

    JOB TITLE: ADMINISTRATIVE ASSISTANTS Position Location: Iringa, Morogoro, Mtwara, Zanzibar, Dodoma, Ruvuma This position is responsible for assisting the Teaching and Learning Specialist in managing general activities of the Office Administration. Primary Responsibilities:  ● Handle...
  12. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?

    Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru. Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa? Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia? Au Citizen wanamchafua rais wetu? ===== Serikali ya Tanzania yakanusha...
  13. Namichiga

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lini propaganda zitakoma kuwa ndio injini ya kuendesha siasa za Tanzania?

    Kwanza nianze na ufafanuzi wa kimantiki wa neno utawala, utawala(Excutive) katika nchi ni genge(syndicate), kwa maana ya kuwa ni kundi la watu lililojumuika pamoja na kujiwekea mienendo, kanuni na utaratibu wa kuongoza na kutawala nchi. Na genge hilo lina msambao kuanzia ngazi za juu kabisa za...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuhuma za Rostam Aziz zichunguzwe. Wawekezaji walikuwa wanaikimbia Tanzania na kama tusingewapokea ungekuwa ujinga

    Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote hiyo tukamtupia nje, ichunguzwe kwenye ngazi zote. Ikumbukwe kwa kipindi cha JPM wawekezaji wengi...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Dhahiri Mbowe ni Mwalimu wa siasa Tanzania

    Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania

    Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji...
  17. kapyela

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kwanini utekelezaji mradi wa LNG Tanzania umechelewa?

    Na David KAFULILA KUNA sababu nyingi za kuchelewa kwa LNG yetu kulinganisha pengine na tulivotarajia kama nchi lakn pia kulinganisha na washindani wetu eneo hilo kama Mozambique. Sababu kubwa kwa maoni yangu mimi ni anguko la bei ya gas duniani kwa karibu muongo mzima. Tathimini ilofanywa na...
  18. zimmerman

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya MATAGA - Make Tanzania Great Again

    Wale wanaobeza wengine kwa kuwaita MATAGA wanafanya hivyo wakielewa hata maana ya neno MATAGA "Make Tanzania Great Again"? Taifa lilikuwa linaielekea kubaya hadi 2015, na watu tulitaka mwelekeo mpya wa nchi yetu. Doctrine ya MATAGA ni kujenga nchi yenye sifa zifuatazo: Viongozi watakaoweka...
  19. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania hawana ndege ya Rais?

    Kila mara namuona Mama Samia akitumia ndege ya Air Tanzania kuzulu, tuseme hivi Tanzania hamna presidential plane ama vipi?
  20. msani

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenya, Suluhu Tanzania?

    UHURU KENYA SULUHU TANZANIA? Hii ni kauli ya Mh. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliokuwa Kenya kwenye ziara. Watanzania tumepewa ‘Uhuru’ wa kujivinjari Kenya bila visa wala kibali cha kazi, ni kauli iliyopokelewa kwa shangwe na ni kauli ilitoka papo kwa hapo na kwa lugha nyepesi...
Back
Top Bottom