Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Leo timu yetu ya Tanzania itapeperusha bendera ya Tanzania huko Afrika ya kusini na dunia yote itatazama. Tutumie uzi huu kuitakia ushindi Simba dhidi ya Kaizer chiefs.
Naitakia Simba ushindi wa kishindo!! Karibuni.
Nenda mahakamani sasa hivi utaona jinsi mahakama zetu zinavyo washughulikia vibaka na wezi wa kuku bila huruma hata kama mtuhumiwa ni dhoofu bin hali kwa njaa na umasikini.
Inapokuja suala la kushughulikia mambo ya msingi ya kulinda katiba, sheria za nchi dhidi ya serikali, utawala bora na haki...
Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania.
Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji...
Ofisi ya DPP pekee imetoa majaji wanne wa mahakama kuu ya Tanzania. Hawa ndio walikuwa engine ya kuvurugwa mfumo wa haki.
Je majaji wanashtakiwa? Kama awashtakiwi hii yakuwateua haiwezi kuwa njia yakuwaficha wasipambane na mkono wa dola?
Tufungue macho tusiwaamini sana wanasiasa, Wana njia...
Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii.
Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi.
Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
Wadau hivi Bongo ukiachana na Mortuary zilizopo ndani ya hospitali, Mbona hakuna Mortuary ambazo Mtu/Kampuni zinamiliki private? i.e high class/ VIP mortuary?
Mfano kwa wenzetu Kenya, hii fursa watu wameitumia kweli kweli na kuna private mortuaries nyingi tu watu wamezitengeneza, na wengi...
Marie Stopes Tanzania (MST), a Non-Governmental Organization, is a social enterprise and a leading provider of family planning, sexual and reproductive health care and allied services. MST is a partner of the Government of Tanzania and a member of the Marie Stopes International (MSI) Global...
Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia!
Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo.
Mbaya...
Tafadhali Mamlaka husika chukueni Tahadhari haraka kwani tayari Kirusi hatari na Kipya cha Corona kilichopo nchini India kimeanza Kusambaa Kwetu barani Afrika.
Mpaka sasa Kirusi hiko kimefika nchi za Nigeria, Algeria, Congo Brazaville, Kenya, Uganda, Morocco na Afrika Kusini kwa mujibu wa...
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan.
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho.
Idd Mubaraka.
Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa kesho ni siku ya mapumziko baada ya Usharika wa Waislamu nchini humo kutangaza kuwa kesho Mei 13, 2021 ni Eid El Fitri
Tangazo hilo lililotolewa na Wizara ya Utumishi wa Umma na Kazi limeeleza bayana kuwa kesho ni siku ya mapumziko kwa Watumishi wote wa Umma...
Nimefuatilia matangazo ya who nimegundua tanzania hatuhitaji chanjo na hili ndilo jambo ambalo wataalamu wetu wanatakiwa kujadili.
Who wanasema chanjo itaondoa "lockdown" na mtu aliyepata chanjo anaweza kupata maambukizi, anaweza kuambukiza na hivyo wanasema chanjo inazuia madhara...
Ushirikiano na Kenya usiangalie kingine ila maslahi ya Tanzania.
Rais Samia Suluhu Hassan ameitembelea Kenya katika ziara inayoelezwa kuwa imefungua ukurasa mpya wa mtangamano unaoashiria kuimarisha udugu na ujirani baina ya mataifa hayo.
Akiwa Nairobi anahutubia wafanyabiashara na wabunge wa...
Habari za wakati ndugu zangu wapendwa;
Andiko langu hili ninaliandika katika hali ya furaha na huzuni kwani najua kwamba kila atakaeseoma atatoa na tafakari yake.
Mimi ni Mtanzania ambaye kwa kiasi fulani huwa ninafuatilia siasa na uchumi wa nchi yetu.Kwa kipindi cha zaidi ya Miaka 30...
Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Sh35.37 bilioni zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyokubaliwa na kuridhiwa na mataifa hayo mawili.
Hayo yameelezwa leo Jumatano Mei 12, 2021 na Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba wakati...
Habari wadau!
Sasa kilio cha upungufu wa sukari kitapungua maana mama amefungua milango na kuamuru sukari iingie nchini.
Mubashara toka Kololo Uganda kupitia TBC 1 kwenye uapisho wa Rais Museveni .Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven leo katika hotuba yake amemshukuru Rais wa JMT mheshimiwa...
Job Description
We are looking for an experienced, driven Construction Supervisor with construction experience. To ensure success, the ideal candidate should be comfortable splitting their hours between the office, on-site visits and engaging the communities.
The Construction Supervisor plans...
Huduma hiyo inaanza ikiwa ni miaka miwili sasa imepita tangu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza maandalizi ya utoaji wa huduma hiyo ikiwemo kusomesha wataalamu na kuandaa jengo litakalotumika kutolea huduma hiyo.
Akizungumza bungeni leo Jumanne Mei 11, 2021 wakati akiwasilisha bajeti...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao.
Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.