Miaka mitano ijayo 'betting' itaigharimu Tanzania kama taifa

LellozWho

Member
Jul 13, 2021
89
121
Najivunia kuzaliwa kabla ya mapinduzi ya teknolojia ya simu za mkononi/mitandao ya kijamii kwa ujumla.

FACTS

• 70% of Tanzania population ni vijana under 24yrs.
• Nguvu kazi ya taifa ni vijana (40m)
• Ukosefu wa ajira bado upo
• Over 40m people use mobile phone
• Kila kijana anataka mafanikio.

BETTING IS A NEW CANCER IN TZ

Tangu 2014-2016 Betting company zimekusanya OVER 30BILLION tsh

• Nguvu ya matangazo ni kubwa
• Ushawishi ushameza vijana wengi

Sasa basi
Hili tabaka lisilo na kipato cha uhakika limeshamezwa na hii addiction.

vijana washaingia kwenye future of permanent credit crisis.

KINACHOFUATA.
• Depression
• Violence
• Corruption
• Strong unemployment

Naisikitikia nchi yangu.

UTAKUA MJINGA WA KUTUPWA KWA KUTEGEMEA MAFANIKIO KUPITIA KAMALI
 
kaa kwa kutulia kijana kama una ajira ni wewe tusio na ajira unataka tukajiuze ili kulisha familia zetu huwezi elewa ugumu wa maisha kama una ajira naomba tuache kabisa.Kamali ndo ajira yetu na ndo maisha yetu acha kufatilia maisha ya wacheza kamali fanya kazi kwa bidii
 
Hili ni janga kubwa sana kwa vijana,Mwenyezi Mungu atunusuru sisi na vizazi vyetu uko mbeleni
 
Aisee...ulila ukasahau kucashout nn mkuu ukakuta treni limedondoka.
JamiiForums-1629181481.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Najivunia kuzaliwa kabla ya mapinduzi ya teknolojia ya simu za mkononi/mitandao ya kijamii kwa ujumla.

FACTS

• 70% of Tanzania population ni vijana under 24yrs.
• Nguvu kazi ya taifa ni vijana (40m)
• Ukosefu wa ajira bado upo
• Over 40m people use mobile phone
• Kila kijana anataka mafanikio.

BETTING IS A NEW CANCER IN TZ

Tangu 2014-2016 Betting company zimekusanya OVER 30BILLION tsh

• Nguvu ya matangazo ni kubwa
• Ushawishi ushameza vijana wengi

Sasa basi
Hili tabaka lisilo na kipato cha uhakika limeshamezwa na hii addiction.

vijana washaingia kwenye future of permanent credit crisis.

KINACHOFUATA.
• Depression
• Violence
• Corruption
• Strong unemployment

Naisikitikia nchi yangu.

UTAKUA MJINGA WA KUTUPWA KWA KUTEGEMEA MAFANIKIO KUPITIA KAMALI

mikopo kwa vijana yenye masharti na fuu pia serikali kuongeza jitiada ya njia bora za maisha.
betting itakosa soko hapo
 
Najivunia kuzaliwa kabla ya mapinduzi ya teknolojia ya simu za mkononi/mitandao ya kijamii kwa ujumla.

FACTS

• 70% of Tanzania population ni vijana under 24yrs.
• Nguvu kazi ya taifa ni vijana (40m)
• Ukosefu wa ajira bado upo
• Over 40m people use mobile phone
• Kila kijana anataka mafanikio.

BETTING IS A NEW CANCER IN TZ

Tangu 2014-2016 Betting company zimekusanya OVER 30BILLION tsh

• Nguvu ya matangazo ni kubwa
• Ushawishi ushameza vijana wengi

Sasa basi
Hili tabaka lisilo na kipato cha uhakika limeshamezwa na hii addiction.

vijana washaingia kwenye future of permanent credit crisis.

KINACHOFUATA.
• Depression
• Violence
• Corruption
• Strong unemployment

Naisikitikia nchi yangu.

UTAKUA MJINGA WA KUTUPWA KWA KUTEGEMEA MAFANIKIO KUPITIA KAMALI
Mo mwenywewe anabet
 
Hiyo ni miaka 60 ya Uhuru! Mkolon akirud atacheka sana
 
Na kiuhalisia katika uongozi wa mwenda zake, betting ndo kiwanda ambacho kiliongezeka sana kwa idadi, mana zilizuka tatu mzuka, biko, etc
 
Back
Top Bottom