Denmark kufunga balozi zisizokuwa na tija kwao, Tanzania ni mojawapo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Kwa wataalam wa haya madude ina maana Tanzania kwenye mambo ya kidiplomasia imefika kiasi cha kutemwa na mataifa ya maana kama Denmark, hii ina maana Watz watakua wanakuja Nairobi au Kampala, Uganda kwa huduma zozote zinazohusu ubalozi wa Denmark.
Mama Suluhu ana kazi kwa kweli, yaani mpaka airejeshe Tz kwa kiwango cha kujulikana tena naona ataloa jasho sana.
==============================
The Danish foreign service is to be restructured in order to be able to deliver on the Government’s priorities.
The restructuring means, among other things, that more of our missions will be bolstered, for example with regard to Denmark’s work in the EU, NATO, the UN, the Arctic, Africa, as well as with regard to our export initiatives. In all, 16 missions and 9 departments in the Ministry of Foreign Affairs’ headquarters in Copenhagen will be strengthened.

- My first priority as Minister of Foreign Affairs is to ensure the security and safety of the Danish people in a world where democracy, human rights, and our values are coming under increasing pressure. This reorganisation is to help us target the efforts we make, both here at home and out in the world, so that we can make the biggest possible difference. The grave development in Afghanistan the last couple of weeks calls for reflection, and we need time to digest and analyse this in cooperation with the Danish Parliament. Following that process, the government will at a later stage present a new foreign and security policy strategy, said Minister of Foreign Affairs Jeppe Kofod.

Prior to the reorganisation of the foreign service, the most comprehensive analysis of the work and the structure of the Danish foreign service since the Foreign Commission in 1989/90 at the end of the Cold War was carried out. The reorganisation will contribute to the implementation of Denmark’s new strategy for development cooperation "The world we share".
In connection with the reorganisation, the embassies in Argentina and Tanzania are also being closed, along with the Consulate General in Chongqing (China) and the trade mission in Barcelona (Spain). In addition, a number of efficiency measures will be carried out, for example in the areas of energy, procurement and properties.
For additional information press contact:
pressevagten@um.dk and tel. +45 61979247 (not SMS)

Siasa za kipumbavu za CCM zinai cost Tanzania.
Hii taarifa imeniuma sana. Hakina nchi mfadhili amekuwa mwaminifu kwa kuvhangia bajeti kama Dk. Huwa wanalipa 100% ya ahadi yao.
Dk amefadhili miradi mingi kupitia Danida.
Mimi ni miongoni mwa wafaidika wa wa nchi hii zaidi ya 12yrs.
Ccm inakuwa kensa, inaitafuna nchi hii taratibu.
 
Nanukuu:
"My first priority as Minister of Foreign Affairs is to ensure the security and safety of the Danish people in a world where democracy, human rights, and our values are coming under increasing pressure"

Hii ndiyo sababu ya balozi ya Denmark Tanzania kufungwa.
 
Wanebanwa kila kona, ukiona mzungu anakimbia kuna namna ameshikwa vibaya.
Daah bora hamza angepita na wewe.
Hivi unaweza kumbania nini Mdenimaki?
Wameilisha na kuifadhili serikali ya Tanzania kila bajeti kwa uaminifu 100% ya ahadi zao zaidi ya miaka 50.
Vijana wajinga wajinga mmejazwa matope na akina mwigulu na siasa chafu za jiwe mnahara hapa.
Waziri wa mambo ya nje Mulamula hadi amelia lkn wewe pimbi unahara hapa...fumbaf zako kabisa.
 
Unatunisha misuli kwenye mitandao ilhali Tanzania imeng'aka na kulialia, wizara imetoa taarifa za kulalamika maana sasa huko ni kutengwa mazima mazima Tanzania saddened by Denmark's decision to close Dar mission by 2024
Bro sio kuwa watu wanapenda iwe hivyo bali wanaiombea mabaya serikali ili ifeli angali ccm itoke.
Mimi mwenyewe natamani akina Hamza 100 hapa wainyoshe nchi, ccm inatesa watu sana kwa siasa chafu sana.
Natamani kuona uongozi mpya usiokuwa na hila na siasa chafu kama hizi za kuumizana za ccm kupitia dola.
Mbowe anateseka mwaka wa 6 kisa siasa chafu za ccm
 
Daah bora hamza angepita na wewe.
Hivi unaweza kumbania nini Mdenimaki?
Wameilisha na kuifadhili serikali ya Tanzania kila bajeti kwa uaminifu 100% ya ahadi zao zaidi ya miaka 50.
Vijana wajinga wajinga mmejazwa matope na akina mwigulu na siasa chafu za jiwe mnahara hapa.
Waziri wa mambo ya nje Mulamula hadi amelia lkn wewe pimbi unahara hapa...fumbaf zako kabisa.
Pimbi ni waliosuguana na kukatika mauno hatimae kutungwa kiumbe lamba makalio ya mzungu kiasi chako… mpaka Aibu naona mimi yaani, no wonder Kanye West responded to people of your kind addressing slavery as a matter of choice.
Wapo watumwa waliofurahia kuwa enslaved na wazungu, unashare nao DNA sio bure…
 
Huna lolote wanakufukua jalalani kwako
 
Nanukuu:
"My first priority as Minister of Foreign Affairs is to ensure the security and safety of the Danish people in a world where democracy, human rights, and our values are coming under increasing pressure"

Hii ndiyo sababu ya balozi ya Denmark Tanzania kufungwa.
Nadhani hii ndo sababu ya wadenish ku left
 
Wanebanwa kila kona, ukiona mzungu anakimbia kuna namna ameshikwa vibaya.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula leo Jumamosi Agosti 28, 2021 ameelezea masikitiko yake
 
Asikitike sana maana hata hivyo beneficiaries wakubwa wa miradi hii na misaada ni hao hao big fishes, masikini tunazidi kuwa masikini so there’s no point.
 
Huna lolote wanakufukua jalalani kwako,
Unahamu nn, nimefungwa pete usijesema sikukuambia by the time unableed kinyeo chako na hilo lisuti la kimagharibi…. Puppets are worse than murderers.
 
Kwa wataalam wa haya madude ina maana Tanzania kwenye mambo ya kidiplomasia imefika kiasi cha kutemwa na mataifa ya maana kama Denmark, hii ina maana Watz watakua wanakuja Nairobi au Kampala, Uganda kwa huduma zozote zinazohusu ubalozi wa Denmark.
Mama Suluhu ana kazi kwa kweli, yaani mpaka airejeshe Tz kwa kiwango cha kujulikana tena naona ataloa jasho sana.
==============================
The Danish foreign service is to be restructured in order to be able to deliver on the Government’s priorities.
The restructuring means, among other things, that more of our missions will be bolstered, for example with regard to Denmark’s work in the EU, NATO, the UN, the Arctic, Africa, as well as with regard to our export initiatives. In all, 16 missions and 9 departments in the Ministry of Foreign Affairs’ headquarters in Copenhagen will be strengthened.

- My first priority as Minister of Foreign Affairs is to ensure the security and safety of the Danish people in a world where democracy, human rights, and our values are coming under increasing pressure. This reorganisation is to help us target the efforts we make, both here at home and out in the world, so that we can make the biggest possible difference. The grave development in Afghanistan the last couple of weeks calls for reflection, and we need time to digest and analyse this in cooperation with the Danish Parliament. Following that process, the government will at a later stage present a new foreign and security policy strategy, said Minister of Foreign Affairs Jeppe Kofod.

Prior to the reorganisation of the foreign service, the most comprehensive analysis of the work and the structure of the Danish foreign service since the Foreign Commission in 1989/90 at the end of the Cold War was carried out. The reorganisation will contribute to the implementation of Denmark’s new strategy for development cooperation "The world we share".
In connection with the reorganisation, the embassies in Argentina and Tanzania are also being closed, along with the Consulate General in Chongqing (China) and the trade mission in Barcelona (Spain). In addition, a number of efficiency measures will be carried out, for example in the areas of energy, procurement and properties.
For additional information press contact:
pressevagten@um.dk and tel. +45 61979247 (not SMS)

Wamesema balozi zitabaki kwenye nchi zenye shida na machafuko ya amani hiyo ndio new foreign policy strategy waliyokuja nayo nchi zinazojiweza hawataweka balozi
 
Back
Top Bottom