tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kampeni yetu kwa Ajili ya Rais Samia isimdhalilishe na kutudhalilisha sisi pia. Tanzania Kwanza

    Tukiwa maeneo yetu tunaambiana kuwa tusikosoe awamu hii kwa sababu ni awamu ya... 1. Dini yetu 2. Jinsia yetu 3. Kabila letu 4. Asili yetu. Hapana. Mimi sikuwa nampinga Hayati Magufuli kwa sababu ya Dini yake. Mimi Dini yake inanihusu nini? Mimi nlishambulia matendo hatarishi. Lakini nlisifia...
  2. JamiiForums Tanzania Lini tutafika kama Taifa?

    Mwaka 1961, taifa letu pendwa la Tanganyika lilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza na kuamua kuanza safari yake ya kujitegemea katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ilipofika mwaka 1964 Taifa liliamua kuungana na taifa lingine lililokuwa huru la Zanzibar na kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Yangu Inavyo umizwa

    NCHI YANGU TANZANIA UNAUMIZWA Tanzania ni nchi pekee duniani katika Karne ya 21 ambapo kiongozi anaweza kuwahutubia wasomi chuoni akisema "someni kwa bidii Ila mkimaliza mjue mtajiajiri wapi, serikali Haina mpango wa ajira kwa ajili yenu" na akapigiwa makofi hadi maprofesa walioajiriwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Tanzania na namna ya kuyatatua

    Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:- Sekta ya Afya Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wananchi wapo kidigital, katiba iko kianalogia

    Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile.. Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania.. 1. Rais wa Tanzania 2. Makamu wa Rais 3. Waziri Mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

    Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile.. Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania.. 1. Rais wa Tanzania 2. Makamu wa Rais 3. Waziri Mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kukuza Uchumi wa Tanzania kupitia Elimu Endelevu

    Naitwa Dickson Hynes natamani kusimulia safari yangu ya usomaji mpaka kufikia chuo kikuu. Nimezaliwa Tanzania mkoa wa Kagera halmashauri ya wilaya ya Bukoba tarafa Bugabo kata Kaagya. Nimesomea Kaagya Shule ya msingi kipindi ambapo Shule za kata zilianza kufanya kazi mikoa yote Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa miji na majiji bora: Tufanye nini kuboresha majiji yetu hapa Tanzania?

    Habari zenu wanaJF na wadau wa jukwaa la ujenzi. Nimesoma mada nyingi humu kuhusu ujenzi wa makazi. Makazi yakizidi tunajikuta na miji na hatimaye majiji. Kama ilivyo kwa nyumba abayo ikipangiliwa vibaya 'livability' yake inakuwa ngumu, basi miji na majiji ni hivyo hivyo. Kama mkazi wa Dar na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Taifa la sasa lililokosa viongozi na wasomi wa kuliendeleza kiuchumi

    Kuna wakati unawaza na kujiuliza mambo mengi tu bila hata kupata chembe ya jibu , sasa unajiuliza hawa watu wanaojiita Maprofesa , Madaktari wa kisomi, Engineers wanafanya nini katika hili taifa ukiacha hao mprofesa kuna taasisi zinazojigamba kila siku kuwa ni best katika uchumi mfano REPOA...
  10. JamiiForums Tanzania 2018 - 2020 World Happiness report: Burundi ina furaha kuliko Tanzania

    Nchi zilizopo kwenye kumi bora kwa kuwa na furaha duniani kwa mwaka 2018 - 2020👇 Nchi zilizopo kwenye kumi bora kwa kukosa furaha duniani kwa mwaka 2021👇 Sources:Happiness, trust, and deaths under COVID-19
  11. K

    JamiiForums Tanzania HATARI: Hakuna Corona Tanzania linapokuja suala la mechi ya Simba na Yanga

    Nimefuatilia uhamasishaji wa mechi hizi za watani wa jadi (Ile iliyopita juzi juzi) na hii inayofanyika Jumapili hii kule Kigoma. Maswali ni mengi kuliko majibu linapokuja suala la jukumu la Serikali kupitia Wizara ya Afya/Habari na michezo/BMT/TFF kuhamasisha wananchi wajikinge na hili janga...
  12. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    UKIMWI ulikuwapo, upo na bado utaendelea kuwepo mpaka hapo mkono wa heri utakapofanyika tiba ili kukomesha janga hili. Kiufupi Ukimwi bado unayachukua maisha ya ndugu zetu makundi kwa makundi. Kwa ndugu zangu ambao ni waraibu wa ngono nakuaseni kwamba pindi tunapofanya basi tufanye kwa kinga na...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya betrays Tanzania again at UNESCO's delisting campaign on Selous GR!

    MY TAKE Kama kawaida snitches kutoka Kunyaland wametu-backstab!
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara ya upatu ilivyo hatarishi kwa vijana na Tanzania kiujumla

    Biashara ya upatu, ni uchangishaji fedha unaoweza kuendeshwa na mtu au kampuni kwa ahadi ya kuwapatia faida kubwa baada ya kipindi kifupi. Baadhi ya makampuni hujificha katika kivuli cha kuuza bidhaa fulani na mara nyingi huwa bidhaa za afya. Mwanachama hutakiwa kutoa kiasi fulani cha fedha...
  15. JamiiForums Tanzania Zile stori za Tanzania ina utajiri wa rasilimali nyingi ni uongo, au kuna shida mahali?

    Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta tunaona jinsi gani zilivyowasaidia, nchi kama south Africa na Botswana tunaona dhahabu na almasi...
  16. JamiiForums Tanzania Iko wapi Serikali ya wanyonge Tanzania?

    Nchi nyingi duniani zinajitahidi kurudisha uchumi ulioathiriwa na mlipuko wa Covid-19. Nchi nyingi zimepunguza kodi na kutoa motisha kufufua uchumi wa viwanda. Tanzania ndo nchi pekee duniani inayosema ni nchi wa wanyonge kumbe wanataka kuwaua kabisa raia wake kwa stress, pressure n.k. Just...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo ni nguzo mama kuelekea uchumi wa viwanda

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba.Kilimo kina maana pana sana inayojumuisha uzalishaji wa mimea,ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi.Tanzania takribani 70% ya wakazi wake hujishughulisha na kilimo. Zifuatazo ni faida za kilimo. Kupatikana kwa chakula :-Kilimo kinawezesha kupatikana...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi matangazo ya kazi katika Halmashauri za Tanzania yanavyowanyima fursa vijana waishio vijijini

    Tumaini langu mko salama, kunachangamoto kubwa sana kwa vijana wanaoishi kijiji kupoteza fursa za kazi ambazo Halmashauri huwa wanazitangaza, matangazo haya mara nyingi huwa hayawafikii vijana hawa mara nyingi fursa hizi ufaidika vijana waoshio makao makuu ya Halmashauri. Hii kutoka na miundo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Chama cha Upinzani bali wachumia tumbo

    Wananchi wengi wa kawaida na hata viongozi wa kada ya chini ya vyama wanaamini kuwa wanaviongozi wa upinzani mbele yao kumbe wanawasindikiza wachumia tumbo sikuzote hapa Tanzania. Kwanini basi: Tangia kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992 makanjanja kibao walitokea CCM na...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Abbas Talimba: Tanzania inahitaji maendeleo ya haraka

    Akisifu na kupongeza maamuzi ya Rais Samia Suluhu kuhusu tozo za miamala. Akiwa kwenye mahojiano katika luninga, EATV kipindi cha joto la asubuhi alisema "Watanzania wataumia kidogo kuliko manufaa watakayo yapata kwenye tozo za miamala" Pamoja na mengi aliyozungumza ni pamoja kwanini serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…