tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuwekeza Zanzibar

    Habari mdau! Nina Tamani sana kuwekeza Zanzibar. Nahitaji mawazo na ushauri kwa waoifaham vizuri. Pros and Cons Upatikanaji ardhi(beach Au inland) Service Demands Challenges. Nitashukuru sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa chanjo ya ‘mwendokasi’ ya COVID-19 haupo Tanzania pekee

    Duniani kote kuna vurugu patashika nguo chanika!! Kisa!! Watu wameishtukia chanjo ya corona!! Hali ni mbaya !! Watu wako tayari kufa kuliko kuchanjwa!! Vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza hali halisi ilivyo lakini watu wamejitolea kupita mitaani na magari ya matangazo kuhusu athari za...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania SADC ina faida gani kwa nchi yetu?

    Habari wakuu. Naomba kujuzwa faida za SADC kwa nchi yetu.
  4. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kurasimisha dawa asili kwa Tanzania ni zipi?

    Habari za wakati huu wadau wa jamvi hili, mimi ni mtaalamu wa tiba asili. Naomba kujuzwa juu taratibu zakufuata ili niweze kurasimisha dawa zangu za mitishamba. Msaada wadau.
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa upinzani Zambia uwe somo kwa polisi ya Tanzania na CCM

    Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanayanga SC mmemsikia na kumuelewa Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM na TvE?

    Unaenda Morocco Kwa siku 10. Siku 4 ni safari ya kwenda na kurudi. Siku moja ni mapumziko. Siku 5 ni Pre-Season! Sio Bangi kweli hii? Chanzo: Twita Akaunti yake.
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Magufuli mwingine aje kushughulika na kilimo Tanzania

    TUNAHITAJI MAGUFULI MWINGINE AJE KUSHUGHULIKA NA KILIMO, TANZANIA. Israel 🇮🇱 pamoja na udogo wake wa km 22,145 km wanaisaidia dunia nzima kwenye kilimo. Wanailisha dunia. Wanashangaa nchi ya Tanzania 🇹🇿 yenye 945,087 km² na yenye ardhi ambayo 49.7% inafaa kwa kilimo na nearly 61,500 km² about...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi waliotumwa kumuua Lissu waliaminishwa wakaamini tatizo la Tanzania ni Lissu?

    Najiuliza Ni doctrine gani waliyokuwa nayo wale waliokwenda kumfyatulia risasi Lissu. Najiuliza walidhani Lissu ndo tatizo la Tanzania ? Walidhani ugumu wao wa maisha unaletwa na Lissu? Waliaminishwa Nini Hadi wakaamua kuvaa nafsi ya mauaji? Lakini najiuliza waliowatuma waliaminishwa na Nini...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu juu ya muenendo wa chanjo ya COVID-19 Tanzania

    Leo wizara ya Afya imetangaza kuwa hadi jana, tarehe 14, jumla ya watu 207,391 wamechanjwa kati ya chanjo 1,008,400 tulizoletewa na watu wa Marekani. Chanjo zilizinduliwa rasmi tarehe 28 July, 2021, karibu wiki 3 zilizopita. Tathmini yangu inajikita kwenye muitikio wa watu kuchanjwa. Leo hij...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 20 tunashiriki uchaguzi, CHADEMA hatujakubalika, yaliyotokea Zambia hayawezi kutokea hapa Tanzania

    Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli. CHADEMA haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma. Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe...
  11. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Tangu Uhuru Tanzania ina Katiba 3 ambazo hazikushirikisha wananchi

    Tanzania ni nchi huru iliyopata uhuru wake mwaka 1961 Katiba ya kwanza iliandaliwa uingereza na kuleta tanganyika na kuanza kutumika baada ya kuonekana ina mapungufu. Mwaka 1962 waliteuliwa wabunge 71 wakaifanyia marekebisho bila kupata maoni na mapendekezo ya wananchi. Mwaka 1977 waliteuliwa...
  12. Kamamaa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mfungwa sio mnyama, alipwe, alipe kodi

    Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha. Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa za Mafuta na Gesi: A Performance Audit Report On Produced Graduates in Oil and Natural Gas Industry in Tanzania

    A PERFORMANCE AUDIT REPORT ON PRODUCED GRADUATES IN OIL AND NATURAL GAS INDUSTRY IN TANZANIA EXECUTIVE SUMMARY All personnel either directly or indirectly employed by International Oil and Natural Gas companies have to meet certain professional standards and levels of qualifications. Therefore...
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kazi nzuri kuiongoza Tanzania

    Mpaka sasa sijaona kosa alilofanya. Mambo yote aliyofanya ni sahihi. Ni muhimu kwamba usimkejeli rais kwa sababu ya maneno aliyosema huyu au yule. WEWE ndio uwe mwamuzi. Usikubali mtu akuambie rais hafai. Wasikilize watu wengine lakini uamuzi lazima uwe wako. Matatizo ya Katiba nadhani rais...
  15. successiful dreamer

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa elimu yetu ni upi?

    Habari ya uzima wanajamvi? Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Mimi ni mdau wa elimu nimekua nikifatilia kwa kiasi mijadala inayohusiana na elimu ya nchi yetu kwa kipindi kirefu sana bila kupata majibu sahihi. Kinachoniumiza zaidi ni...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Tanzania itapata haya...

    Kuna siku Tanzania itampata DPP anayeweza kujisimamia Kuna siku Tanzania itanpata IGP anayejitambua na kutumia akili zake mwenyewe Kuna siku Tanzania itaongozwa na Mkurugenzi wa TISS mwenye uwezo wa kusimamia maslahi ya Taifa Kuna siku Tanzania itampata Msajili wa vyama mwenye akili timamu...
  17. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Vifurushi vya mitandao Tanzania: Je, tutarajie nini?

    Wakuu habarini, Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi! Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu moja Tanzania imebakiza Kumsajili Mpiga Solo Dally Kimoko na Rapa bora kwa sasa DR Congo aitwae Gesac

    Kisha baadae huenda hata Jina lake likabadilika na ikaitwa Jangwani Mpili Utopolo Music Band a.k.a Mafuriko Original.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya kuwa alifanya uhalifu kwa amri ya mamlaka iliyomteua ni sababu kubwa kwa nini Tanzania tunahitaji mabadiliko ya Katiba

    Naamini kwa dhati kabisa kile alichosema Sabaya, kwamba matendo ya kihalifu aliyofanya Arusha ilikuwa maagizo toka mamlaka iliyomteua na alipaswa kutii. Sabaya ameenda mbali, akasema haikuwa mara ya kwanza kupewa maagizo kama hayo. Na ni wazi kwamba Sabaya kama Mkuu wa Wilaya nje ya Arusha...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan

Back
Top Bottom