Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Wakuu nawasalimia!
Kuna hii taasisi isiyo ya kiserikali inayoitwa Tanzania Mentors Action (TMA). Naomba kufahamu kama bado ina operate na je, wanalipa vizuri?
Yeyote mwenye uelewa kidogo a nisaidie.
Habari wana Jf,
kama kichwa cha habari kinavyojeleza, lengo la uzi huu ni kuwa endelevu, kuorodhesha startups mbalimbali na mawazo mbalimbali ya kuanzisha Startups hapa Tanzania ili kuletata hamsa ya ukuwaji wateknolojia yenye kuleta faida kwa jamii yetu na ulimwengu kwaujumla.
Kwanini...
TANZANIA THE STORY OF JULIUS NYERERE
From the pages of Drum
Picha ya kushoto ni mswada alionipa Jim Bailey mmiliki wa jarida la Drum kuhariri na kutafuta mchapaji yaani "publisher. "
Tulifanikiwa na kitabu kikachapwa na ndiyo hiyo picha ya pili.
Ni katika kazi hii ndipo nilipopata picha...
Tanzania nchi yenye kila aina ya raslimali nchi yenye nguvu kazi ya kutosha watu mil.60
Nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini wa kutupwa wamerundikiwa furushi la tozo kila mwananchi kalibeba furushi
Ili tuyaepuke hayo maisha ni muhimu katiba mpya...
Bosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100.
====
Mataka wa ATCL Ahukumiwa Jela Miaka 4
August 20, 2021
Mkurugenzi Mkuu wa...
Nimepata taarifa kwa rafiki yangu mmoja kwamba yeye na wenzake walipanga Tanzania lakini wanatakiwa kulipia Visa, baada ya kufungua mtandao wa Uhamiaji wanashindwa kupata huduma kila wakifanya kuomba wanapata error na muda wao wa likizo unakatika. Mimi mwenyewe nimejaribu kufuatalia nimekwama...
Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.
Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia.
Nashauri...
Habari za muda huu wanaJF!
Bila kupoteza muda kuna tetesi kuwa Vodacom hawasajili tena laini mpya za uwakala wa M-Pesa.
Mwenye taarifa tafadhali atueleze nini kimetokea huko.
Nawasalimu wote.
Moja kwa moja kwenye mada, Kama kichwa Cha uzi Hapo juu kinavyojieleza kwamba huu Ni mtazamo wangu TU na Kama nimepotoka nitakubali kushauriwa na kukosolewa kwa staha na matusi yote poa.
Kuna Mambo mawili ambayo huwa nayafikiria Sana lakini sipati majibu, na Mambo hayo ni...
Kila nikitazama mwenendo wa fani mbalimbali katika nchi yetu ninaona upo umuhimu mkubwa wa wataalamu kuanzisha umoja kwa wana taaluma mbalimbali kuweza kukaa pamoja kujadili changamoto na fursa zilizoko katika taaluma yao ili kwa umoja wao waungane kuleta maendeleo katika taaluma yao na Taifa...
Straightly forward, kuna mgogoro wa kisiasa nchini au hakuna? Kama kuna migogoro ya kisiasa tinajengaje uchumi wa nchi? Umewahi kuona wapi inawezekana hiyo?
Kama hakuna mgogoro wa kisiasa ni kwanini kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani nchini yupo ndani hadi sasa? Ni kwanini wanachama wake...
Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo mwenye umri wa miaka 38 katika pambano la kugombea mkanda wa ABU (African Boxing Union) uzito wa Super Welter katika ukumbi wa Kilimanjaro Hall, Ubungo Plaza, Dar-Es-Salaam.
Rekodi ya...
Habari ndugu?
1. Ni vitambulisho gani vinavyotakiwa kupata kwenye ofisi ya uhamiaji vitakavyoniwezesha kuishi Tanzania kwa amani na usalama kama mgeni (kutoka USA)?
2. Nifanyeje ili nipate uwanja na kujenga nyumba bila shida nchini Tanzania kama mgeni (immigrant)?
Hivi karibuni wizara ya afya ya Tanzania ilitoa takwimu za idadi ya watu waliopatiwa chanjo ya COVID-19 nchini humo imefikia laki 2.07, ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na janga la virusi vya Corona. Chanjo ya COVID-19 ilianza kutolewa nchini Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu kuzindua kazi...
Kwa madai ya askofu Gwajima ni kwamba kuna viongozi walipokea hongo ili chanjo ije, na akauliza walihongwa kiasi gani hicho mpaka kuwauza watanzania?
Askofu alidai pia viongozi hao wamechanjwa chanjo feki ili kuwahadaa wananchi.
Sasa basi kwakuwa Tayari Waziri kaelekeza TAKUKURU mumkamate na...
KUPATA UONGOZI KATIKA NGAZI YA NAFASI YA URAIS SIO JAMBO LA DAKIKA MBILI , UVUMILIVU , KUMUOMBA MUNGU , KUANDAA SERA SHIRIKISHI , KUPIGANIA DEMOKRASIA ,KUWA MAONO YA MBELE NI BAADHI VITU VINAVYOTAKIWA KUANGALIWA SANA WAKATI WA KUANDAA NJIA.
Rais Mpya wa Zambia na vikwazo alivyopitia kutoka...
Kuna chama nchini kimekua kikitumiwa kugawa Watanzania kijiografia na kitabaka. Nasema kinatumiwa kwa sababu umoja wa watanzania umekua kikwazo kikubwa kwa wale wenye nia ya kuligawa taifa kwa mizozo ili wamiliki kirasi uchumi wake.
Nchi kama Ethiopia imehangaika miaka mingi kujenga uzalendo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.