MECHI 3 GOLI 5 TANZANIA ONE WA MCHONGO

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
266
393
Mechi tatu za kimataifa.
Tuanze na SSC vs galax kwa mkapa kala tatu kisha kwa red arrow kala mbili na isingekuwa ile mimaji pale taifa idadi ingezidi
 
Fafanua sasa ueleweke bila mimaji ya kwa Mkapa zingeongezeka kwa SSC wangeshinda zaidi ya tatu,si ndio?
 
Mechi tatu za kimataifa.
Tuanze na SSC vs galax kwa mkapa kala tatu kisha kwa red arrow kala mbili na isingekuwa ile mimaji pale taifa idadi ingezidi
Kujamba Kuna ustaarabu wake. Huwezi kujamba mahali popote. Jifunze mkuu. Usijambe jambe hovyo.
 
Back
Top Bottom