tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

    Kama Taifa hebu tutafakari haya: 1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB, 2. Ni lini...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa wadudu kama chakula cha mifugo na binadamu kilimo kilichokosa nafasi Tanzania

    Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe unaonekana kuwa wa chini sana ukilinganisha na nchi nyingine Duniani. Tanzania inaonekana kuwa nyuma sana...
  3. mama D

    JamiiForums Tanzania BoT - Mkutano wa 20 wa Taasisi za fedha Tanzania 25th & 26th November 2021

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Tupate muelekeo wa uchumi toka kwa Govana, Wizara na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Miradi yote inayolisha Tanzania ilianzishwa na Nyerere kweli au si kweli?

    Nisaidieni majibu ya hili swali la kweli au sikweli? Nilikua kwenye test ya maarifa ya jamii nikakutana na hilo swali. Miradi yote inayolisha Tanzania ilianzishwa na Nyerere kweli au si kweli?
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi unakua kwa kasi. Tumepunguza kiwango cha umasikini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha. Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live from The Grand Hyatt, Kilimanjaro Kempinsky- TotalEnergies Marketing Tanzania, Yazindua, Pure Lubricant, ni Funga Kazi!. Karibu Ushuhudie Live!

    Paskali
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Armed Robbery sasa ina dhamana Tanzania

    Kwa wale wanasheria wenzangu, mnakumbuka kesi ya Dickson Paulo Sanga, Rufaa ya madai Na.175 ya 2020 Mahakama ya Rufaa (DSM) ilitoa miezi 18 sheria kubadilishwa kwa ujambazi wa kutumia silaha ili iwe na dhamana, miezi hiyo 18 imeisha November, 2021, endapo kwa kipindi hicho sheria itakuwa...
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kuwa na Serikali mseto, vyama vyote yakubaliana Scholz kuwa Kansela, Tanzania bado hizi ni hadithi miaka 60 yaenda ya uhuru

    Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani. Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
  9. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaishawishi UNESCO kukienzi na kukieneza Kiswahili Duniani

    Mkutano Mkuu wa 41 wa UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani, azimio hilo limepitishwa na Nchi zote Wanachama wa UNESCO bila kupingwa leo November 23, 2021, Paris nchini Ufaransa. MY TAKE; Kenya msije mkasema hatukuwaambia kwamba Tanzania tukiamua Jambo...
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

    Summit for Democracy: Invited Participants Albania Angola Antigua and Barbuda Argentina Armenia Australia Austria Bahamas Barbados Belgium Belize Botswana Brazil Bulgaria Cabo Verde Canada Chile Colombia Costa Rica Croatia Cyprus Czech Republic Democratic Republic of Congo Denmark Dominica...
  11. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Tuangalie hizi video mbili fupi tujifunze juu ya busara ya kuiongoza Tanzania yetu

    Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya uongozi. Hotuba hizi mbili ni darasa zuri sana la uongozi.Tukizingatia kwa vitendo kinachosemwa humo...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

    Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki, demokrasia na uhuru anayeheshimika zaidi barani Africa, wachunguzi wa siasa za dunia wanamuweka Mbowe juu...
  13. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati umefeli Tanzania

    Wanabodi, Wengi wana uelewa kwamba katika nchi inayo minya haki, katika serikali inayo didimiza uhuru wa kujieleza, katika serikali inayo ingilia vyombo vya habari, uanaharakati ni njia muhimu katika kuhakikisha kwamba serikali inawajibika kwa maamuzi yote yanayofanywa. Katika kipindi hiki...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania ups stake for East African skies

    Air Tanzania ups stake for East African skies Air Tanzania is set to step up competition in the East African skies with the launch of flights on the Dar es Salaam-Nairobi route from November 26, and plans for Bujumbura later in the month. The airline’s first flight to Nairobi from Julius...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

    Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine. Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna...
  16. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Je, Mbowe kausaliti Upinzani Tanzania ?

    Jukwaa Huru ! Binafsi siamini kabisa kwamba Mbowe ana kesi yoyote ile, hii yote kwa maoni yangu ni geresha tu na siajabu hata Mbowe analala kwake na siyo Mahabusu. Kwa nini nasema hivi ? Iweje Mbowe awe na kesi na yuko Mahabusu kwa miezi sasa halafu kila mtu yuko kimya? I mean Askofu Shoo...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo stand up comedians wangu bora kwa sasa Tanzania

    Wasafi TV na programu yao ya cheka tu wamefanya mapinduzi makubwa sana kwenye Stand Up comedy Tanzania. Wamezalisha vizazi vipya. Kwa sasa hawa ndiyo comedians wangu bora kabisa. 1. Mc Madevu 2. Mc Eliud 3. Halleluya 4. Asma 5. Leonardo
  18. C

    JamiiForums Tanzania Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

    Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa? Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania System Developers EAC tumelala, huu mchongo wa Tanzania umeenda India, software $30 million USD

    Nawaza hapa kwa nia njema, wadau tunakesha tukiachia software za kishua tu huko nje zinatumika, ina maana hatujafikia kiwango cha kushawishi hizi serikali za ukanda huu, mpka ERP inafuatwa India kwa gharama ya milioni 30 dola za Kimarekani. Hela ndefu sana hiyooo. ========= A statement...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka msumari wa moto kwa Upinzani Tanzania

    Msingi wake ukiwa ni aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo wa kweli wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa ndani na nje ya nje Chama cha Mapinduzi kwa kipindi hiki kifupi tangu kuteuliwa kwake, Siasa zake za msimamo wa wastani na kuegemea zaidi kwenye kusikiliza...
Back
Top Bottom