aroon dismon
Member
- Sep 20, 2024
- 28
- 66
Habari wana jamvi,
Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu,
Naona kama ndoto zangu zimekatika ,najihisi kukata tamaaaa, biashara yangu imeanguka sasa nawaza labda nkajichanganye Ata nikachimbe madini kibarua geita au chunya
Au wakuuu kama Kuna mtu anaweza nisaidia mchongo wa kunisogeza popote , na wowote naweza Fanya naombeni wakuuu
Unaweza nishauri pia nifanyaje??
Kipindi kama hiki