tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania wanasemaje kuhusu mvua za El Nino?

    Weatherman wa Kenya wamesema kutokana na data za satelaiti, Mvua za El Nino zinazotarajiwa hazitakuwa kubwa kama ilivyotabiriwa hapo awali. Je, upande wa TMA wao data zao za satelaiti zinaonesha nini maana matangazo yao hayana ukweli bali pata potea. Tunaona halmashauri nyingi wapo busy...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

    Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku. Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki. Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
  3. JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa anayejenga Reli ya SGR adaiwa kuyumba kifedha, Serikali yatafuta mbadala kukamilisha ujenzi

    Mawaziri wa Fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Mradi wa Reli ya Standard Gauge (SGR) baada ya Mkandarasi Mkuu Kampuni ya #YapiMerkezi ya Uturuki kuonyesha dalili za kuwa na changamoto ya kifedha. Gazeti la The East African limedai...
  4. JamiiForums Tanzania Petroli Bei Juu Tanzania

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), iimetangaza bei kikomo za bidhaa za Mafuta zilizoanza kutumika leo Oktoba 4, 2023 ambapo kwa Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,281, Dizeli 3,448 na Mafuta ya Taa Tsh. 2,943 ikiwa na ongezeko la Tsh. 68 kwa kila Lita. Tanga, Petroli ni Tsh...
  5. B

    JamiiForums Tanzania General Manoj Pande wa jeshi la India yupo Tanzania kwa ziara ya kikazi

    Ziara ya general Manoj Pande kutoka India nchini Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=aIzo8AkcGxE Mkuu wa jeshi la ardhini la India, General Manoj Pande awasili kwa ziara ya kikazi Tanzania. General Manoj Pande amekutana na waziri wa ulinzi Dr. Stergomena Lawrence Tax, na mkuu wa majeshi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Kushirikiana Katika Eneo la Ufadhili wa Michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amafanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Michael Battle yaliyojikita katika kuendeleza Sekta za wizara hiyo. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Oktoba 3, 2023 jijini Dar es Salaam, Mhe. Dkt. Ndumbaro...
  7. JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    John Malecela Salim Ahmed Salim Mrisho Kikwete Balozi Mahiga Liberata Mulamula Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi) Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof) Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla. Kizazi...
  8. JamiiForums Tanzania Nakukumbusha: Zuhura na Salim Kikeke walikuwa miongoni mwa waliokosoa utawala wa Magufuli wakiwa BBC Swahili

    Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania: Kila anayeteuliwa anaitwa "Kitengo" hivi Wakulima na Wafanyakazi hawawezi kuteuliwa?

    Hii Nchi ni dhahiri sasa kwamba Wananchi wake wamechoka kuwaza , nadhani hali hii inatokana na dhiki zinazowakabili raia ikiwa ni pamoja na umasikini wa kutupwa pamoja na mgawo kabambe wa umeme . Yaani kila mtu ambaye siyo Mtoto wa kiongozi akiteuliwa kushika wadhifa wowote anaonekana ni...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kampuni ya Yapi Merkezi imekumbwa na ukata wa pesa hivyo kuathiri ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)au Serikali ya Tanzania inaficha ukweli?

    Tanzania inatafakari Mpango B kwa ajili ya mradi wake wa SGR huku kampuni ya Uturuki ikiachwa. Mawaziri wa fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa reli ya standard gauge (SGR) baada ya mkandarasi mkuu wa kampuni ya Uturuki Yapi Merkezi kuonyesha dalili...
  11. JamiiForums Tanzania 1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

    Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
  12. JamiiForums Tanzania IGP: Barabara za kuingia ndani ya Chuo cha Polisi Moshi Kilimanjaro,wajawazito wanashindwa kwenda kujifungulia zahanati ya chuo barabara ni mbovu.

    Kuna kila sababu ya kupeleka lawama Kwa IGP Tanzania kuhusiana ba barabara za kuingia chuo cha polisi Moshi, ikiwa ni pamoja a barabara zilizopi ndani ya chuo hicho. Barabara zote ni mashimo na gari yakiingia chuo ni hapo yanakuwayanavunjakila kifaa Kwa sababu ya mashimo na viraka vya lami...
  13. JamiiForums Tanzania StarLink internet ingekuwa msaada mkubwa kwa Tanzania

    Nchi nyingi zinaweza kuona faida katika kujiunga na mfumo wa Starlink kutokana na sababu kadhaa: 1. Kufikia maeneo ya mbali: Nchi nyingi zina maeneo ya vijijini au ya mbali ambayo hayajafikiwa na miundombinu ya intaneti ya ardhi. Kwa kujiunga na Starlink, nchi zinaweza kutoa huduma ya intaneti...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali na Huduma za Jamii Tanzania

    Binafsi ni mwana CCM kindakindaki tokea ilipobuniwa 1977, kabla ya hapo nilikuwa TANU Youth League. Ingawa ni mwana CCM lakini si kila jambo la serikali linaniridhisha, kuna ambayo tukipata nafasi tunayafikisha vikaoni lakini hivi sasa imekuwa ngumu sana kufikisha ujumbe kwenye ngazi za...
  15. JamiiForums Tanzania Ubunifu wa performance kwenýe majukwaa ya show za wasafi festival 2023 ni utajiri wa mabilioni kwa wasanii Tanzania, Diamond platnumz aheshimiwe sana

    Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania. Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yatangaza madini mkakati Ufaransa

    Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye rasilimali madini kwa wingi yakiwemo Madini Mkakati ambayo mahitaji yake yanazidi kuongezeka kutokana na kutumika kuzalisha aina tofauti za vyanzo vya nishati na teknolojia zinazohitaji aina mbalimbali za...
  17. JamiiForums Tanzania Ripoti: Kati ya 2018 hadi 2022 kulikuwa na Matukio ya Uhalifu 273,862 Nchini Tanzania

    Takwimu za Uhalifu Nchini Tanzania kwa kipindi cha miaka 5 (2018 - 2022) zimeonesha kulikuwa na jumla ya Matukio yaUhalifu 56,228 yaliyoripotiwa ambayo yalihusu Mauaji, Ubakaji, Ulawiti, Wizi wa Watoto, Kutupa Watoto, Unajisi na Usafirishaji Haramu wa Binadamu. Pia, kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pamoja AFCON 2027: Tanzania vs Kenya vs Uganda

    Time to put things in their perspective. Ring road in Dodoma U/C https://youtu.be/rU64ZWjGhUo?si=Jpaj_cip-MYwSz_C
  19. JamiiForums Tanzania Kwa elimu hii ya Tanzania tusahau kuhusu uvumbuzi

    Binafsi darasa la kwanza nilianza nikiwa na miaka 13. Hii ni kwasababu ya kimasingira na kimwamko. University nimemaliza nikiwa na miaka 30 na ushehe kidogo, kwakuwa nilipomaliza six nikahangahikia ajira kwanza, uamuzi ambao mpaka kesho naufurahia. Turudi kwenye mada. Tanzania tunasoma kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ateuliwa kuongoza Baraza la Habari Tanzania (MCT)

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga ametangaza kuachia wadhifa huo ndani ya miezi mitatu kuanzia juzi Septemba 28, 2023 baada ya kudumu kwenye wadhifa huo kwa miaka 15. Kutokana na uamuzi huo, Bodi ya wakurugenzi wa MCT imemteua Ernest Sungura, kushika wadhifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…