1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
335
658
Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
 
Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage
Ok. Baada ya 1998 ni miaka mingap imepita hko kitimu kinaingia tena HATUA HIO NGUMU KWAKE.
 
Ok. Baada ya 1998 ni miaka mingap imepita hko kitimu kinaingia tena HATUA HIO NGUMU KWAKE.
Hesabu miaka ambayo Yanga alikuwa bingwa toka 1998 akashindwa.mingine mweke kwenye kushindwa ubingwa wa tanzania.kuna klabu ilishinda ubingwa ndio ilshindwa kwa kuwa ni klabu moja tu aliwakirishal.hizo hesabu za std 4 ya kina Jemedari na Oruma msituambukize
 
Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage
Sasa mbona hawa mbumbumbu wanatamba sana utadhani wao ndio wakwanza?
 
Sio group stage tu

Watu wameshatinga nusu fainali..... Fuatilia historia rudi nyuma ya hiyo miaka 25 utawapata Lunyasi kucheza nusu fainali..

Karibuni Kiumeni, Jambo Lolote msilolijua tuulizeni sisi....Huku Simba ni Wazoefu group stage CL.
nyooooooh!
Mushaanza ujinga wenu mapema,
sio?
Mbona CAF hawalitambui hilo?
 
Nimeamini yanga ina mashabiki wapumbavu sana mwaka 1974 Simba ilicheza nusu fainali na Ghazl El Mahalla ya misri wakati huo ikiitwa African champions of cubs now ndo caf champions league
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimeamini yanga ina mashabiki wapumbavu sana mwaka 1974 Simba ilicheza nusu fainali na Ghazl El Mahalla ya misri wakati huo ikiitwa African champions of cubs now ndo caf champions league
Hii mipumbavu ya Uto inakera sana. Ila siwezi kuwalaumu;msemaji wao alishasema kule wenye akili ni wawili tu, na hajasema tena kama hiyo idadi ilishaongezeka.
 
Simba ilicheza semi-final ya African cup of champions clubs now caf champions league na Ghazl El Mahalla mwaka 1974 Dar Simba 1-0 Ghazl El mahalla.... Egypt Ghazl 1-0 Simba ....Simba akatolewa kwa penati 3 sifuri
 
Sio group stage tu

Watu wameshatinga nusu fainali..... Fuatilia historia rudi nyuma ya hiyo miaka 25 utawapata Lunyasi kucheza nusu fainali..

Karibuni Kiumeni, Jambo Lolote msilolijua tuulizeni sisi....Huku Simba ni Wazoefu group stage CL.
Acha kuwadanganya wenzako ,tembelea page za CAF,wenyewe hawakufaham kama ushawahi kufika nusu fainali.
Screenshot_20230913_212320_Instagram~2.jpg
 
Kiingereza kigumu hujaelewa zumbukuku.First ever "Total energies CAFL" semifinals ina maana gani?
Kwa sababu Total Energies imeanza kudhamini hayo mashindano 2016.Kwa hiyo kabla ya 2016 kulikuwa hakuna CAF Champions League?
Ujinga ni maradhi.
 
Back
Top Bottom