tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

  2. JamiiForums Tanzania VAR haina msaada Tanzania; unazi unaanzia kwa viongozi

    Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa viongozi wanaongoza michezo na.Timu.Kubwa Kutoka hapo unazi wa marefa na timuzao kubwa jkumbuke refa...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo milima ya Congo DRC inavyoonekana ukiwa hapa Kigoma Tanzania

    Bado unayo nafasi ya kuitazama milima ya Congo DRC ukiwa hapa Kigoma, mlima tambalale uliyonyooka kwa mapana uliopakwa rangi ya blue ni nchi ya Zaire, utafika katika nchi hiyo kwa usafiri wa Boti, ni rahisi sana kutokea hapa kwetu Kigoma. Hapa ni Kigoma Karibu na Station Milima ya Blue...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

    Salaam, Shalom! Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia. Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  6. JamiiForums Tanzania Mabwana Shamba wa Tanzania hupotelea wapi baada ya kuajiriwa Serikalini?

    Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira. "Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini. Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma ya data recovery? Inagharimu kiasi gani?

    Habari wakuu sana. Hivi hapa kwetu huduma ya data recovery kitaalamu ikitokea mtu disk yake imeroga inapatikana wapi? Inagharimu kiasi gani huduma hiyo?
  8. JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania ni wazuri sana! Elezea kwa mifano

    Ni wakamilifu? Sijasema hivyo. Isitoshe, hakuna taasisi ya kibinadamu iliyo kamilifu! Pamoja na madhaifu yao, wana mengi sana mazuri. Shrikisha🙏 Usiandike madhaifu, bali mema tu. Elezea matukio yaliyowahi kufanywa na Polisi wa Tanzania, iwe ulishuhudia au umesimuliwa na mtu mwingine, ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kati ya nchi chache zenye usalama wa uhakika katika Aftica

    Sifa zote ni Kwa CCM. CCM ni chama imara. Tanzania ni Urusi ya Africa. Karibuni k vant kutoka leo mpaka 31 December.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msumbiji kujenga Bwawa la kuzalisha umeme. Litakamilika kabla ya JNHP

    MAPUTO, Msumbiji: MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme wa Mphanda Nkuwa wenye thamani ya Dola bilioni 5. Bwawa na kiwanda cha kuzalisha umeme wa maji kitajengwa kando ya mto Zambezi katika jimbo la Tete...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yawekwa kwenye uangalizi Maalumu hadi itekeleze ahadi ya Kupambana na Utakatishaji Fedha na Ufadhili wa Ugaidi

    Hatua hiyo imefanywa na Kitengo Maalum cha Kimataifa cha Udhibiti wa Fedha Haramu (FATF) kwa kuziweka Nchi 4 za Afrika Mashariki (Tanzania, Uganda, Sudan Kusini na DR-Congo) ambazo zimeahidi kuongeza hatua kali katika kupambana na Utakatishaji Fedha na Ufadhili wa Ugaidi na Kuenea kwa Silaha...
  12. JamiiForums Tanzania Hii Ndo sababu Ziwa Natron lilioko Kaskazini mwa Tanzania kuonekana na "Rangi na Rangi ya Damu" (Nyekundu) Badala ya kuwa na maji meupe au blue

    Waswahili wanasema Tembea Uone! Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake. Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yapata nafasi katika Obiti kwaajili ya Matumizi ya Satelaiti

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, amesema Tanzania imefanikiwa kupata nafasi katika 'Obiti' ambayo ni Nyuzi 16W itakayowezesha Matumizi ya Eneo la Anga Kidigitali ikiwemo urushaji wa Satelaiti. Endapo Urushaji wa Satelaiti utafanyika, Tanzania itaongeza uwanda...
  14. JamiiForums Tanzania Cape Town, Afrika Kusini ingekuwa Tanzania, yote ingekuwa ni Hifadhi

    Nimebahatika kutembelea miji mingi Duniani iliyoendelea nilichojifunza ni kwamba wazungu hawataki sisi tuendelee kwani wanachokifanya kwao kwetu wanakizuia, mifano mingi kuanzia kutenga maelfu ya square kilometers kwa ajili ya wanyama na “kutunza na kuhifadhi nature” mpaka uchafuzi wa mazingira...
  15. B

    JamiiForums Tanzania TANZANIA WON WORLD TRAVEL DESTINATION AWARD 2023

    15 December 2023 Dubai’s Burj Al Arab, Dubai UAE WORLD TRAVEL AWARDS GRAND FINAL GALA CEREMONY 2023 Tanzania won a World Travel Destination award for year 2023. https://m.youtube.com/watch?v=ERo7tdSy2iE Tanzania minister for livestock and fisheries Hon. Abdallah Ulega was very happy to receive...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wote wenye furaha nchini Tanzania hawana akili

    Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania. Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu. Huu ni utafiti
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania Inategemea Wahisani Kuendesha Bajeti ya Fedha

    Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 ni Tsh trilioni 44.38, sawa na $17.6 bilioni. Mafungu makubwa mawili ya fedha zilizotengwa ni ulipaji madeni na uendeshaji wa shughuli za utawala. Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 Katika fedha hizo Tsh trilioni 6.31 zitatumika kulipa deni la taifa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo

    Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika...
  19. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya maudhui ya vipindi vya redio nchini ni burudani na matangazo ya biashara

    Hi great Thinkers. Kwa utafiti wangu mdogo FM Radios za Tanzania zimejikita katika blabla kama ifuatavyo; 1. 40% ni matangazo ya biashara 2.30% ni habari za michezo 3. 20% ni Burudani. 4. 10% habari na elimu mbalimbali Ndiyo maana kuwa Radio presenter Tanzania ni kazi rahisi kuliko kazi zote...
  20. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania au ndiyo tabia za nchi za kiafrika kutopenda kutoa mrejesho wa matukio?

    katika tafiti zangu nimegundua kua chenye upinzani kinanguvu sana sababu hakina cha kupoteza wala kujitetea kwa watu ni kwamba mtu anaweza kutoa taarifa may be whistler blower ambaye anaweza kupata attettion kubwa public ila bahati mbaya sana akishamaliza kutoa taarifa bado hatowi mrejesho wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…